Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Hilo ndilo tatizo lako. Hivi kwa mawazo yako unafikiri Chadema wanaweza kupewa ridhaa na Watanzania kuongoza wakati hiki chama hakiwezi kuweka democracy kwenye uongozi wake?..ccm hamuwezi kutuelewa.
..wapinzani tuna jambo letu tunataka kuzungumza na IGP.
.."kiatu usichokivaa hujui kinabana vipi."
Ati mna jambo lenu unafikiri Tanzania ni ya wapinzani peke yao? (Je, sisi jambo letu?) IGP yupo pale kuona kwamba anatimiza kazi yake kwa mujibu wa sheria na kanuni ambazo ndio zinakubalika na kufuatwa na vyama vyote pamoja na raia wake. Hivi unaona ni haki kweli jinsi hii Sacos ie Chadema inavyoendeshwa? You guys are dreaming, Wacha JPM awanyooshe, mkiambiwa hivyo mnachukia kwa sababu mnaangalia matumbo yenu zaidi.
BTW huo ndio ukweli wenyewe mchungu kama pili pili manga. It should not be about Chadema or CCM but Tanzania as a country.