Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 857
- 2,241
- Thread starter
-
- #41
Watu 80 wenye silaha wanaweza kuingia bongo na kutoka kirahisi hivyo? Kama ni rahisi hivyo tungekuwa tunashambuliwa kila siku.Wale jamaa hawajakamatwa hata mmoja, kilichofanyika baada ya tukio askari mtwara walikuwa wanakamata watu ovyo kwa kuhisi.
Wahanga wanasema walikuja kama 80 walivyomaliza ishu zao wakasepa wote, hawa polisi wa bongo kuwaamini inahitaji PhD
Ukisema hivyo ina maana hiyo idadi ya magaidi 300 iliyotajwa na Sirro ilitoka wapi au unataka kusema hao wote hawakuvuka mpaka kuja bongo na badala yake walitokea humu humu ndani?Watu 80 wenye silaha wanaweza kuingia bongo na kutoka kirahisi hivyo? Kama ni rahisi hivyo tungekuwa tunashambuliwa kila siku.
Matukio mengi ya kigaidi yanaandaliwa taratibu sio kwa mkupuo kama hivyo, wanaingia wanakaa wanaishi na wahusika na kunakua na ushiriki na watu wa ndani.Ukisema hivyo ina maana hiyo idadi ya magaidi 300 iliyotajwa na Sirro ilitoka wapi au unataka kusema hao wote hawakuvuka mpaka kuja bongo na badala yake walitokea humu humu ndani?
Kaka ungejua kilichokuwa kinafanyika usingebisha, serikali wanaleta siasa unajua kitaya kwenye tukio pakoje, serikali inaleta siasa tu ni ukweli hali ni mbaya sanaWatu 80 wenye silaha wanaweza kuingia bongo na kutoka kirahisi hivyo? Kama ni rahisi hivyo tungekuwa tunashambuliwa kila siku.
Mkuu, mi nazungumza kwa mtazamo, lakini kama una ufahamu zaidi wa nini kilifanyika, hata kwa dondoo tuu tufahamishe, taarifa zaidi zinasaidia kuuweka majadala sawa.Kaka ungejua kilichokuwa kinafanyika usingebisha, serikali wanaleta siasa unajua kitaya kwenye tukio pakoje, serikali inaleta siasa tu ni ukweli hali ni mbaya sana
Walinzi wako bize kupiga kura za ndio huko Pemba ya Msumbiji ili FRELIMO itawale mileleAtakeye bishia hyo idadi ndiyo gaidi maana anajua fika wakati wanafanya tukio la uvamizi walikuwa wangapi.
Lakini upande wa pili wa shilingi watu 300 wanatoka upande mmoja wa nchi na kuingia upande mwingine wa nchi na kufanya uharifu basi ni wazi mipakani hakuna ulinzi wa kutosha kama tunavyoamini.
Nimekusoma, unajua geographical location ya Kitaya imekaa vibaya sana, alaf ni kijiji kikubwa sana.Mkuu, mi nazungumza kwa mtazamo, lakini kama una ufahamu zaidi wa nini kilifanyika, hata kwa dondoo tuu tufahamishe, taarifa zaidi zinasaidia kuuweka majadala sawa.
Mjonga hawa jamaa kuwagundua ni ngumu sana ila kila la kheriNatamani nikashiriki kuwahenyesha
Wengi wa kuhisiwa wenyewe wapo cabo delgado waende wakaokoa mateka wa TanzaniaHao waliodakwa wahenyeshwe vya kutosha mpk watoe taarifa zote huo uharibifu na mauaji siyo vya kuvumilika
Ulinzi wote anapewa mtu mmoja, sijui ana adui gani?Atakeye bishia hyo idadi ndiyo gaidi maana anajua fika wakati wanafanya tukio la uvamizi walikuwa wangapi.
Lakini upande wa pili wa shilingi watu 300 wanatoka upande mmoja wa nchi na kuingia upande mwingine wa nchi na kufanya uharifu basi ni wazi mipakani hakuna ulinzi wa kutosha kama tunavyoamini.
Naam. Hasa huko Zanzibar.Wamekusanywa wakasimamie (kutisha) uchaguzi.