IGP Sirro anajisikiaje Jeshi la Polisi kutumika kisiasa?

Benaya-

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2019
Posts
4,415
Reaction score
7,631
Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?

Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo kimsingi polisi ndio iliwatuhumu mfano Mdude nk.

Je, mzee wetu Sirro haoni kuwa si kila agizo analopewa au watu wake wanapoagizwa kuwafanyia raia ni wakati sasa wajiepushe nayo?

Haoni kuwa CV yake inachafuliwa?

Mzee wetu Sirro, kuna wakati ninakuhurumia sana.

USHAURI WANGU

1. Nashauri ajaribu kutumia hekima na busara. Anapopewa maagizo yanayovunja haki za msingi za wananchi kwa mujibu wa katiba

2. Njia bora ya kuwanyamazisha watu kama hawa wanaokusanyika kwa kudai katiba, ni kuwaita viongozi na kutumia diplomasia badala ya nguvu na kubambikia kesi.

3. Kumbuka huna miaka mingi kuwa ofisini na muda sio mrefu unarudi uraiani au kufanya kazi tofauti na hii kazi ya damu na laana hivyo jijengee mazingira ya kukumbukwa na historia.

Mwisho, mnayoyapanda yataota, yatakuwa, yatazaa na yatakomaa na kuiva; mwishowe mtavuna na kula matunda yake.
 
CV yanini,
Matumizi yake yameisha.
Jiulize CV ya Mahita inafanya kazi?
Hapo wamemharibia Mama na Wanawake wengine.
CCM kwa fitina huwajui,subiri kipindi cha uchaguzi utajua makundi yalivyo.
Ndani ya CCM wanashangilia yanayoendelea.Akina Nchimbi huko ni kicheko tu
 
Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?

Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo kimsingi polisi ndio iliwatuhumu mfano Mdude nk, Je mzee wetu Sirro haoni kuwa si kila agizo analopewa au watu wake wanapoagizwa kuwafanyia raia ni wakati sasa wajiepushe nayo?

Haoni kuwa cv yake inachafuliwa?
Mzee wetu Sirro, kuna wakati ninakuhurumia sana.
Akili zao huwa zinabakia mafunzoni
 
Imetumikaje kisiasa. Kwani wewe unaelewaje neno Siasa.
 
Katba mpya ndo ktu Cha muhim jesh liko chin ya CCM kwakua amiri jesh mkuu n rais alietoka ccm order akitoa yeye haipingwi hyo kwakua ana mamlaka makubwa hvyo hvyo hata mahakama
 
Anawaza posho,ngoja astaafu atakula ya moto.
 
Anatamani kungekuwa na cheo zaidi ya kile[emoji13]
 
Katba mpya ndo ktu Cha muhim jesh liko chin ya CCM kwakua amiri jesh mkuu n rais alietoka ccm order akitoa yeye haipingwi hyo kwakua ana mamlaka makubwa hvyo hvyo hata mahakama
Katiba ukidai unakuwa gaidi
 
Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?

Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo kimsingi polisi ndio iliwatuhumu mfano Mdude nk.

Je, mzee wetu Sirro haoni kuwa si kila agizo analopewa au watu wake wanapoagizwa kuwafanyia raia ni wakati sasa wajiepushe nayo?

Haoni kuwa CV yake inachafuliwa?

Mzee wetu Sirro, kuna wakati ninakuhurumia sana.

USHAURI WANGU

1. Nashauri ajaribu kutumia hekima na busara. Anapopewa maagizo yanayovunja haki za msingi za wananchi kwa mujibu wa katiba

2. Njia bora ya kuwanyamazisha watu kama hawa wanaokusanyika kwa kudai katiba, ni kuwaita viongozi na kutumia diplomasia badala ya nguvu na kubambikia kesi.

3. Kumbuka huna miaka mingi kuwa ofisini na muda sio mrefu unarudi uraiani au kufanya kazi tofauti na hii kazi ya damu na laana hivyo jijengee mazingira ya kukumbukwa na historia.

Mwisho, mnayoyapanda yataota, yatakuwa, yatazaa na yatakomaa na kuiva; mwishowe mtavuna na kula matunda yake.
Na yeye ni mhanga wa katiba mbovu kama tulivyo wengi. Freeman Mbowe aachiwe mara moja!
 
Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their individual thinking because of fear (amygdala)
 
Back
Top Bottom