IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Uzuri ni kwamba Kama ambavyo Kuna watu hawajauona uchaguzi wa 2025 vivyo hivyo Kuna watu hawataiona hukumu ya mbowe.
 
Sa

sasa T Lisu na G Lema wana aminika kweli?
Ni bora hata ya msigwa.
Lakini wale wawili ni wachumia tumbo
Hawawezi peqa ikuru.
Wewe umeifanyia nini Tanzania zaidi ya kula na ku....a! Pamoja na kuwa haujawahi kutoka nje ya mipaka ya Tanzania, siku ukifa ndiyo siku ya mwisho kujulikana kuwa uliwahi kuwepo duniani.
 
Sa

sasa T Lisu na G Lema wana aminika kweli?
Ni bora hata ya msigwa.
Lakini wale wawili ni wachumia tumbo
Hawawezi peqa ikuru.
Wachumia tumbo? Kwa hiyo mlishindwaje kuwanunua kama HAYO mliyoyajaza huko?
 
Nenda mkathibitishe mahakamani kua Mbowe anaonewa.
 
Hii kesi ya Mbowe Hawana USHAHIDI Ila Sabaya ametangulia kama Chambo ili kelele zisiwe nyingi ila Nia ni kumfunga Mbowe

Huu ni ugomvi kati ya SYSTEM VS MBOWE kutokukubali matakwa yao

Agent wa system ambao wameonyesha makucha yao ni

Cp Kingai
Lengai Sabaya

Sabaya kufungwa lakini ni mtu wa system yupo kazini, anafugwa ili kukamilisha mission yao
 
Hii kesi ya Mbowe Hawana USHAHIDI Ila Sabaya ametangulia kama Chambo ili kelele zisiwe nyingi ila Nia ni kumfunga Mbowe

Huu ni ugomvi kati ya SYSTEM VS MBOWE kutokukubali matakwa yao...
Kama hao ndiyo watu wetu wa system basi kazi tunayo [emoji134][emoji134][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Wewe umeifanyia nini Tanzania zaidi ya kula na ku....a! Pamoja na kuwa haujawahi kutoka nje ya mipaka ya Tanzania, siku ukifa ndiyo siku ya mwisho kujulikana kuwa uliwahi kuwepo duniani.
Sasa wewe una legacy gani hata hapo kitaaani kwako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…