IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

IGP Simon Nyankoro Sirro yupo 100% Mbowe ana koneksheni na bokoharam na alqaeda na wamminye mpaka ataje aliyemshambulia Kamanda Lissu.
CCM naona mna hamu mno na Ugaidi, muulizeni Kenyatta atawaeleza ugaidi ni nini? msituharibie nchi yetu.
 
Kichwa cha habari na Contents uliyoandika ni vitu viwili kabisa. Mbona hayo mambo unayosema wananchi gani hao wanao charuka, au unadhani wote ni manyumbu?? Tatizo lenu mtu unajificha na ID fake mia kidogo unafungua na kuchangia mada mwenyewe, alafu unakuja na justification za kishamba eti wananchi wamecharuka, nenda kwetu Nambilimbi kama wanahabari yeyote hata kama huyo unayomwita Mbowe kukamatwa kama wanataarifa hakuna hata anayejua. Pumpu kabisa wewe
 

Porojo hizi Sirro akawaambie ndege. Mbowe hatapambana peke yake kama ambavyo mngependa. Yote hapa chini ni thabiti:



Tuna ya kumwuliza Sirro wala si Mbowe.

Kwenye hili tambueni, kama ni disko basi kumeingia morani na sime lake. Asije mtu akasema laiti angelijua.

Hatuna haja ya kuendelea kukumbushana:


Gharama yote tuko tayari kuilipa na kiroho safi.
 
Reactions: BAK
Waislamu naomba Siro awekewe Fatwa, basi!
 
yaani wanaoona maisha yamewashinda wajarbu kuandamana watanyoooka hakuna nchi ya majaribio huyo mbowe ni gaidi mnamtetea mnamjuwa vizuri mbowe nyiee?
 
Wananchi gani waliocharuka😆😆😆😆
 
matusi, matusi, matusi, kama ni mazuri basi, basi hata baba yako au maa yako ni Pumpu
 

La kwanza la msingi binafsi niko tayari kupata hasara. Ila:

"Hakuna muamala hapa!"


Wanaipeleka nchi kubaya. Kwani hata kama ha wakujua, nasi je hatukuwaambia?!

Wanatuomba tuwe magaidi. Hatutaki kuwa magaidi. Ila waache waendelee kutulazimisha.

Tukilazimika kuwakubalia, tisije kulaumiana.
 
Reactions: BAK
Wananchi gani waliocharuka😆😆😆😆
utajuaje na muda wote uko JF? Umeangali CNN, BBC, Al Jazira? Wwe ni uhuru, Habari lea na Jarida la habari and the like
 
Reactions: BAK
utajuaje na muda wote uko JF? Umeangali CNN, BBC, Al Jazira? Wwe ni uhuru, Habari lea na Jarida la habari and the like
hao wananchi gani wameenda kucharuka bbc cnn al jazeera ? unaona ulivyo muongo halafu msahaulifu?
 
namuamini IGP Sirro mwenyekiti wenu haaminiki na machadema chama kinaelekea kuwafia mkononi.
 
namuamini IGP Sirro mwenyekiti wenu haaminiki na machadema chama kinaelekea kuwafia mkononi.
Kwa vile una akili kidog, basi maana seems hujui course of revolution in the fight for justice
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…