IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Kuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
 
Lazima uwe na tatizo ama upungufu wa akili ama unafiki, kuamini kwamba mpaka sasa kuna ushahidi wa maana uliotolewa mpaka sasa, labda kama atakuja kuutoa Siro siku ya kuhojiwa.
 
Unaleta utani pasipo na utani.
 
Umeandikwa kweli kabsaaaa,yaani jamaa anaozea jela.Ushahidi wa Urio umemamliza kila kitu!!
 
Kuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
Kweli mkuu, mbowe Ana nguvu mno yaani anaweza amrisha ulinzi wa makazi ya viongozi kuondolewa, anaweza amrisha kuiba cctv camera, anaweza amrisha polisi watepete kufanya uchunguzi, Hadi raisi aliye pita licha ya ubabe wake kwA mbowe alishindwa sema kitu juu ya jaribio hilo

Kuna uwezekano umeme kwa kichwa chako ni mdg sana ama hauna kabisa
 
Mtoa mada kaa kwa kutulia kwasababu kesi ipo mahakamani tuache ifanye kazi yake usiwe na mihemuko ya kipuuzi
 
Anna Makinda na wewe nani anaaminika na jamii?
 
Kweli tupu
 
Huyo Urio amepigwa Mbweni sana, na kupewa maelekezo ya nini cha kuongea
 
Polisi walifeli toka mwanzo.
1. Walitakiwa wampe Urio makachero wamdanganye Mbowe ndio makomandoo wa kumlinda

2. Walitakiwa wawape vitendea kazi kwa ajili ya kumrekodi

3. Urio asingesema kwamba zile pesa alizowapa akina Adam ni za nauli

Utasikia wanasema usitufundishe intelijensia
 
Kuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
Nilikuwa napinga sana kuwa Makalio hayawezi kutumika kama nyenzo ya kufikiri.

Nimebadili mawazo baada ya kusoma hii post.
 
Kuna mapungufu mengi sana. Kinachotolewa ni nia ya tendo na sio vitendo au hata materials.
Washtakiwa wanajeshi walilengeshwa walihamasishwa na Urio kisha wakakamatwa wao lakini urio akaachwa.
Je, bila urio wangeenda kwa Mbowe?
Kuna mashaka mengi tu na kumbuka ulikuwa mwaka wa uchaguzi na mgombea hakuwa Nbowe na unafikiri wananchi wakikuwa na sababu ya kufanya fujo?
 
Kwani kiongozi wa kambi ya upinzani nchini hawezi kujiandaa kuchukuwa madaraka endapo wakipata nafasi ?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…