Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weye ni mpuuzi mwingine.Huwa mnaanzisha ujingaujinga ili iweje?Kuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
Lazima uwe na tatizo ama upungufu wa akili ama unafiki, kuamini kwamba mpaka sasa kuna ushahidi wa maana uliotolewa mpaka sasa, labda kama atakuja kuutoa Siro siku ya kuhojiwa.IGP alieleza wazi tangu mwanzo kuwa Mbowe si malaika na kwamba ushahidi upo wa kutosha juu ya ushiriki wake kwenye ugaidi.
Tunayoyaona na kusikia mahakamani yanathibitisha ukweli kuwa kila binadamu ana siri kubwa moyoni mwake. Kamwe usisema fulani siyo au fulani hawezi kufanya hili wala lile. Yaliyo moyoni mwake ni giza tororo na ni siri yake.
Ushahidi unaotolewa kila kukicha kuthibitisha jinsi Mbowe alivyoshiriki kwenye njama za kufanya ugaidi zinatuacha midomo wazi. Ni aibu kwa waliofikiri Mbowe ni malaika. Muhimu ni kuiacha mchakato wa mahakama uendelee hadi mwisho na mbivu zitajulikana. Kwa ushahidi tunaoona, hatutashangaa tukisikia mtu anakula miaka 30 jela.
Unaleta utani pasipo na utani.IGP alieleza wazi tangu mwanzo kuwa Mbowe si malaika na kwamba ushahidi upo wa kutosha juu ya ushiriki wake kwenye ugaidi.
Tunayoyaona na kusikia mahakamani yanathibitisha ukweli kuwa kila binadamu ana siri kubwa moyoni mwake. Kamwe usisema fulani siyo au fulani hawezi kufanya hili wala lile. Yaliyo moyoni mwake ni giza tororo na ni siri yake.
Ushahidi unaotolewa kila kukicha kuthibitisha jinsi Mbowe alivyoshiriki kwenye njama za kufanya ugaidi zinatuacha midomo wazi. Ni aibu kwa waliofikiri Mbowe ni malaika. Muhimu ni kuiacha mchakato wa mahakama uendelee hadi mwisho na mbivu zitajulikana. Kwa ushahidi tunaoona, hatutashangaa tukisikia mtu anakula miaka 30 jela.
Umeandikwa kweli kabsaaaa,yaani jamaa anaozea jela.Ushahidi wa Urio umemamliza kila kitu!!IGP alieleza wazi tangu mwanzo kuwa Mbowe si malaika na kwamba ushahidi upo wa kutosha juu ya ushiriki wake kwenye ugaidi.
Tunayoyaona na kusikia mahakamani yanathibitisha ukweli kuwa kila binadamu ana siri kubwa moyoni mwake. Kamwe usisema fulani siyo au fulani hawezi kufanya hili wala lile. Yaliyo moyoni mwake ni giza tororo na ni siri yake.
Ushahidi unaotolewa kila kukicha kuthibitisha jinsi Mbowe alivyoshiriki kwenye njama za kufanya ugaidi zinatuacha midomo wazi. Ni aibu kwa waliofikiri Mbowe ni malaika. Muhimu ni kuiacha mchakato wa mahakama uendelee hadi mwisho na mbivu zitajulikana. Kwa ushahidi tunaoona, hatutashangaa tukisikia mtu anakula miaka 30 jela.
Kweli mkuu, mbowe Ana nguvu mno yaani anaweza amrisha ulinzi wa makazi ya viongozi kuondolewa, anaweza amrisha kuiba cctv camera, anaweza amrisha polisi watepete kufanya uchunguzi, Hadi raisi aliye pita licha ya ubabe wake kwA mbowe alishindwa sema kitu juu ya jaribio hiloKuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
Mtoa mada kaa kwa kutulia kwasababu kesi ipo mahakamani tuache ifanye kazi yake usiwe na mihemuko ya kipuuziIGP alieleza wazi tangu mwanzo kuwa Mbowe si malaika na kwamba ushahidi upo wa kutosha juu ya ushiriki wake kwenye ugaidi.
Tunayoyaona na kusikia mahakamani yanathibitisha ukweli kuwa kila binadamu ana siri kubwa moyoni mwake. Kamwe usisema fulani siyo au fulani hawezi kufanya hili wala lile. Yaliyo moyoni mwake ni giza tororo na ni siri yake.
Ushahidi unaotolewa kila kukicha kuthibitisha jinsi Mbowe alivyoshiriki kwenye njama za kufanya ugaidi zinatuacha midomo wazi. Ni aibu kwa waliofikiri Mbowe ni malaika. Muhimu ni kuiacha mchakato wa mahakama uendelee hadi mwisho na mbivu zitajulikana. Kwa ushahidi tunaoona, hatutashangaa tukisikia mtu anakula miaka 30 jela.
Tena na kuombewaInawezekana wewe ndo wa kuonewa huruma ila hujui.
Anna Makinda na wewe nani anaaminika na jamii?IGP alieleza wazi tangu mwanzo kuwa Mbowe si malaika na kwamba ushahidi upo wa kutosha juu ya ushiriki wake kwenye ugaidi.
Tunayoyaona na kusikia mahakamani yanathibitisha ukweli kuwa kila binadamu ana siri kubwa moyoni mwake. Kamwe usisema fulani siyo au fulani hawezi kufanya hili wala lile. Yaliyo moyoni mwake ni giza tororo na ni siri yake.
Ushahidi unaotolewa kila kukicha kuthibitisha jinsi Mbowe alivyoshiriki kwenye njama za kufanya ugaidi zinatuacha midomo wazi. Ni aibu kwa waliofikiri Mbowe ni malaika. Muhimu ni kuiacha mchakato wa mahakama uendelee hadi mwisho na mbivu zitajulikana. Kwa ushahidi tunaoona, hatutashangaa tukisikia mtu anakula miaka 30 jela.
Kweli tupuKweli mkuu, mbowe Ana nguvu mno yaani anaweza amrisha ulinzi wa makazi ya viongozi kuondolewa, anaweza amrisha kuiba cctv camera, anaweza amrisha polisi watepete kufanya uchunguzi, Hadi raisi aliye pita licha ya ubabe wake kwA mbowe alishindwa sema kitu juu ya jaribio hilo
Kuna uwezekano umeme kwa kichwa chako ni mdg sana ama hauna kabisa
Kalio tu kudadekiSijui unafikiri kwa kutumia nini
Yaani Basi tu Mungu anisamehe I wish ningemu......Weye ni mpuuzi mwingine.Huwa mnaanzisha ujingaujinga ili iweje?
Nilikuwa napinga sana kuwa Makalio hayawezi kutumika kama nyenzo ya kufikiri.Kuna siku tutagundua nyuma ya jaribio lililoshindw la kumuua Lissu upo mkono wa Kamanda Mbowe na makamanda wengine... Yetu macho na masikio
Kuna mapungufu mengi sana. Kinachotolewa ni nia ya tendo na sio vitendo au hata materials.IGP alieleza wazi tangu mwanzo kuwa Mbowe si malaika na kwamba ushahidi upo wa kutosha juu ya ushiriki wake kwenye ugaidi.
Tunayoyaona na kusikia mahakamani yanathibitisha ukweli kuwa kila binadamu ana siri kubwa moyoni mwake. Kamwe usisema fulani siyo au fulani hawezi kufanya hili wala lile. Yaliyo moyoni mwake ni giza tororo na ni siri yake.
Ushahidi unaotolewa kila kukicha kuthibitisha jinsi Mbowe alivyoshiriki kwenye njama za kufanya ugaidi zinatuacha midomo wazi. Ni aibu kwa waliofikiri Mbowe ni malaika. Muhimu ni kuiacha mchakato wa mahakama uendelee hadi mwisho na mbivu zitajulikana. Kwa ushahidi tunaoona, hatutashangaa tukisikia mtu anakula miaka 30 jela.
Huyo kajaza mavi kichwani
Kwani kiongozi wa kambi ya upinzani nchini hawezi kujiandaa kuchukuwa madaraka endapo wakipata nafasi ?!.IGP alieleza wazi tangu mwanzo kuwa Mbowe si malaika na kwamba ushahidi upo wa kutosha juu ya ushiriki wake kwenye ugaidi.