Guselya Ngwandu
Member
- Sep 17, 2021
- 39
- 84
Siku hizi kuna uwezekano wa mtu kuvaa koti la uanaharakati au kuwa mwanasiasa wa upinzani ili afanye uhalifu. Hiyo ni kwa sababu anajua akiguswa kidogo watu ambao hawaipendi Serikali wataanza kumtetea na kuitukana Serikali. Utasikia "fREE SOME ONE" bila hata kuhoji undani wa shutuma zake.
Ni kana kwamba wanasema mpinzani hawezi kuwa mhalifu.
Watu wanaoimba pambio za kusema Mbowe sio gaidi, kuna mahali wanakwera kwa kuongeza chumvi. Eti wanasema kwa muonekano Mbowe hawezi kuwa gaidi.
NABISHA. Mbowe ni mwanadamu, anaweza kuonekana mwema moyoni ana lake. Kwa kutazama tafsiri ya ugaidi kwenye sheria, anaweza kuwa gaidi.
Hadi sasa hatujui kama ni gaidi au sio gaidi, Mahakama iachwe huru kutueleza ukweli wa tuhuma zake.