IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Siku hizi kuna uwezekano wa mtu kuvaa koti la uanaharakati au kuwa mwanasiasa wa upinzani ili afanye uhalifu. Hiyo ni kwa sababu anajua akiguswa kidogo watu ambao hawaipendi Serikali wataanza kumtetea na kuitukana Serikali. Utasikia "fREE SOME ONE" bila hata kuhoji undani wa shutuma zake.
Ni kana kwamba wanasema mpinzani hawezi kuwa mhalifu.

Watu wanaoimba pambio za kusema Mbowe sio gaidi, kuna mahali wanakwera kwa kuongeza chumvi. Eti wanasema kwa muonekano Mbowe hawezi kuwa gaidi.

NABISHA. Mbowe ni mwanadamu, anaweza kuonekana mwema moyoni ana lake. Kwa kutazama tafsiri ya ugaidi kwenye sheria, anaweza kuwa gaidi.

Hadi sasa hatujui kama ni gaidi au sio gaidi, Mahakama iachwe huru kutueleza ukweli wa tuhuma zake.

mbowe-pc-data.jpg
 
View attachment 1988405

Mahakama unayotaka iachwe itoe haki ndio hiyo jaji anamuomba msamaha kwa kumkwaza shahidi wa upande wa serikali??
 
Tukathibitishe kwenye kesi ya kutunga!
Kuhusu kesi kua ni ya kutunga au la hilo no wazo lako binafsi, mahakama ndio yenye uwezo wa kutoa haki ikiwa kesi ni batili au sio. Wewe kama unao ushahidi nenda mahakamani ukasaidie mahakama kutoa hukumu ya haki. Kesi ni ushahidi ndugu yangu.
 
Mahakama hii imepoteza uwezo huo wa kutoa haki bila kuingiliwa.
 
Kifungu cha nne cha sheria ya kizuia ugaidi kifungu kidogo cha pili roman iii inatamka wazi. Kuilamisha serikali kufanya au kutofanya jambo lolote ni ugaidi.

Je, kwa jinsi tunavyohitaji Katiba mpya tutatoboa?
 
Serikali ni nini? Tuanzie hapo Mkuu.
 
Yani uchonge kinyago chako(serikali) halafu ukiogope.....?! Haipo hii.
 
Ugaidi lazima uwe na vifaa vya kufanyia kazi na si vinginevyo

Hivi kweli watuhumiwa hawana vilipuzi,hawana bunduki tofauti na bastola 1 na risasi tatu isiyo na fingerprints, madawa ya kulevya sijui walitaka kuwalisha wananchi nchi nzima walewe wafanyiwe ugaidi

Hawana maguruneti,hawana mapanga,mashoka,mikuki na marungu

Kuandamana nchi nzima ni ugaidi na ukiulizwa maandamano yangeanzia mikoa gani unasema nchi nzima

DPP ofisi yenu inachafua image ya nchi yetu kwa kweli kabisaa ,nyie ni wasomi huu ndo ugaidi kweli ambao unaandikwa kwenye vyombo vya habari kweli

Mpaka sasa hamna video na voice notes za kuwarekodi namna ya walivyokuwa wanafanya ugaidi

Serikali inahusika kuharibu image ya nchi yetu

Mstuharibie kodi zetu kwa mambo ya kishamba namna hii
 
Mhalifu ni muhalifu tu.
Mbowe na wenzake ni wahalifu/watuhumiwa kama walivyo wahalifu wengine.
Mbowe sio mtakatifu ni binaadamu kama wengine.
 
Back
Top Bottom