Narudia Tena, hujui lolote nyamaza hutachekwa! Kama kweli mahusiano yenu na nchi nyingine yaani diplomasia ni nzuri mnashindwaje kutumia Interpol kumkamata? Huoni unaiacha nchi yako uchi kwa kuandika usiyoyajua? Epuka spoon feeding information badala yake ishughulishe akili yako!Hakuna kinachoshindikana Kama kaweza kumficha dereva atashindwa kung'oa hizo CCTV
Huyo igp unahisi anajitambua ?
Ndio ujiulize Kama kweli serikali ilitaka kumuuwa wasingemkosa mwenye lile tukio na wangemuuwa popote alipo hata angekimbilia sayari ya Mars, serikali ina mkono mrefu ikikutaka haikukosi,sio mbowe amejaribu kumpoteza lisu kijinga mpaka kanusurikaNarudia Tena, hujui lolote nyamaza hutachekwa! Kama kweli mahusiano yenu na nchi nyingine yaani diplomasia ni nzuri mnashindwaje kutumia Interpol kumkamata? Huoni unaiacha nchi yako uchi kwa kuandika usiyoyajua? Epuka spoon feeding information badala yake ishughulishe akili yako!
Hadi kwenye nyumba ya waziri wa ccm Tena kutoka chato? Huna hoja, kalale!Hakuna kinachoshindikana Kama kaweza kumficha dereva atashindwa kung'oa hizo CCTV
Nchi Imekuwa Ya Kipumbavv Sana Mtu Mpaka Unatamani Hata Uikane Nchi Yako Ukapate Hata Uraia Wa Kwingine Potelea Mbali.Haya mambo yanakatisha sana tamaa
Tumefika hapa. Kutokana na aina ya wanasiasa tulio naoNchi Imekuwa Ya Kipumbavv Sana Mtu Mpaka Unatamani Hata Uikane Nchi Yako Ukapate Hata Uraia Wa Kwingine Potelea Mbali.
Wajinga kweli! Yani chadema ndo wawasaidie ccm kumuuwa kwa usaliti?Mawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.
kila mtu akipatwa na janga mnakuja na propaganda sasa hizo propaganda kwanini uwa hazifanyiwi kazi baada ya press?
Sawa Lissu mnamsubiri vipi kesi za wengine ambao wapo bongo? siro lazima uelewe kwanza unaongoza kizazi cha namna gani ni tofauti na kizazi chenu sisi tutahoji mpaka uvunguni mwa kitanda.
Mara Ben alipotezwa na Mbowe kwanini mbowe asifunguliwe mashitaka? Mara Lissu alishambuliwa na chama kwanin CCTV na walinzi watolewa eneo la tukio wakati ni walinzi wa serikali?
Siro acha kutumika kisiasa wanasiasa wanapita Tanzania itabaki.
Wewe hujiulizi kwa nini CCTV camera na video ziling'olewa na kufichwa? Mbona upelelezi wa Mbowe wamefikia conclusion bila ya kumuhoji Mbowe? Inakuwaje kwamba lazima wampate Lissu au dereva wakati CCTV wanazo wao? By the way Lissu si aliwapa ushahidi kamili wa watu wanaomfata kabla hata hajashambuliwa? Hawa wapelelezi watakuwa labda wanataka ushahidi wa Kinyamwezi!Mkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Na wananchi tulionao pia, maana mambo mengi si ya kawaida wengi wanaona ya kawaida. Ushabiki wa chama na maslahi ya tumbo yanawapofusha.Tumefika hapa. Kutokana na aina ya wanasiasa tulio nao
Kwa hali hii mimi hata nikisikia kuna kikundi cha kigaidi kuja kuwamaliza wasiojulikana naweza niwachangie pesa.Umemsahau "AKWILINA" ambae mwaka huu ndoto zake zingetimia zaku "GRADUATE" chuo kikuu, akitabasamu kwa bashasha huku akiwa amezungukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Kisha angetafuta ajira ili awasaidie na kuwakomboa wazazi wake ambao ni masikini.
Kuna watu mungu amewajaalia "UPOFU" wa tamaa ya madaraka na vyeo.
Yaani huwez kuchangia uz wowote bila kumtaja mboe? Umesoma kilichoandikwa kwenye slid au mekimbilia kukoment tu? Upo timamu kweli?Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Sirro anajidhalilisha kwa mara ya pili , Mara ya kwanza kujidhalilisha ilikuwa ni kwenye sakata la kutekwa Mo , ambapo aliokota gari lililopigwa jeki kutoka kutoka Yadi ya magari ya Msumbiji na kuja kudanganya umma , hata hivyo alishitukiwa na wadauMawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.
kila mtu akipatwa na janga mnakuja na propaganda sasa hizo propaganda kwanini uwa hazifanyiwi kazi baada ya press?
Sawa Lissu mnamsubiri vipi kesi za wengine ambao wapo bongo? siro lazima uelewe kwanza unaongoza kizazi cha namna gani ni tofauti na kizazi chenu sisi tutahoji mpaka uvunguni mwa kitanda.
Mara Ben alipotezwa na Mbowe kwanini mbowe asifunguliwe mashitaka? Mara Lissu alishambuliwa na chama kwanin CCTV na walinzi watolewa eneo la tukio wakati ni walinzi wa serikali?
Siro acha kutumika kisiasa wanasiasa wanapita Tanzania itabaki.
Natoa tu tahathari mkimkamata Tundu Lissu siku akirudi patachimbika tutaingia barabarani na tutakuwa hatuna cha kupoteza heri kufa umesimama.
Mkuu wanasiasa tunawaonea hasa hawa viongozi ambao kutwa kucha wanatembelea na kukaa rumande je umeshawahi kujiuliza tumewasaidiaje ktk mapambano??Tumefika hapa. Kutokana na aina ya wanasiasa tulio nao
Wajinga Sana hao POLICCM.Naam ni MPUUZI huyo tena MPUUZI MKUBWA TU!
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2019/02/1994639_Instagram_media_-_Bt2Krycj3b7.jpg
Imeniumiza kwa kweli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].Umemsahau "AKWILINA" ambae mwaka huu ndoto zake zingetimia zaku "GRADUATE" chuo kikuu, akitabasamu kwa bashasha huku akiwa amezungukwa na ndugu, jamaa na marafiki. Kisha angetafuta ajira ili awasaidie na kuwakomboa wazazi wake ambao ni masikini.
Kuna watu mungu amewajaalia "UPOFU" wa tamaa ya madaraka na vyeo.
Serikali ama inatest mihemko au inawadharau watanzania na mwisho eidha inataka liwalo na liwe ila viongozi wa dini umma unasoma haya yote na wale mnaowaombea madhabahuni wanaonekana.Mawazo, Azory, Ben Saanane, Lwejabe, Ney, Roma, Nondo, Mo, Mbowe, vipi Mangula?na wengine wote wanasubiriwa watoke wapi ili upelelezi wa kesi zao uweze kukamilika.
kila mtu akipatwa na janga mnakuja na propaganda sasa hizo propaganda kwanini uwa hazifanyiwi kazi baada ya press?
Sawa Lissu mnamsubiri vipi kesi za wengine ambao wapo bongo? siro lazima uelewe kwanza unaongoza kizazi cha namna gani ni tofauti na kizazi chenu sisi tutahoji mpaka uvunguni mwa kitanda.
Mara Ben alipotezwa na Mbowe kwanini mbowe asifunguliwe mashitaka? Mara Lissu alishambuliwa na chama kwanin CCTV na walinzi watolewa eneo la tukio wakati ni walinzi wa serikali?
Siro acha kutumika kisiasa wanasiasa wanapita Tanzania itabaki.
Natoa tu tahathari mkimkamata Tundu Lissu siku akirudi patachimbika tutaingia barabarani na tutakuwa hatuna cha kupoteza heri kufa umesimama.
Hapana si wakumpuuza noooHuyu sirro ni wa kumpuuza tyuuuh.