Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
- Thread starter
-
- #61
Hivi huko CCM hakuna mwenye akili akaona kuwa hawa vijana mliowaweka mitandaoni kukitetea chama wanafanya utoto na upumbavu mwingi unaoashiria kuwa CCM iko maji ya shingo kiasi hata haijui ifanye nini kipindi hiki?
Huu upumbavu kuna siku utasababisha umwagaji wa damu,
Hujuma yoyote itakayofanywa na watawala, itatusababishia mambo mabaya kama nchi.lissu atakuwa sababu ya kuanguka na kupona kwa ccm nasema hivi akipewa kijiti mmekwisha maana yule jamaaa siyo lowasa atakomaa mpaka mwisho wa gemu
Mkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Ndiyo mkataka kumuua washamba NyieLissu ni kijana mdogo tu aliyeingia kwenye siasa kichwa kichwa sasa anajuta
Ccm yote pamoja na wewe na mkeo, mkweo wa kike piaWw na Ukoo wako hapo sawa
Wakati Elbashir anatamba na madaraka hapo Sudan, viongozi wa vyombo vya dola pia alikuwa anawatumia hivyo hivyo kufanya atakalo. Ila leo yuko ndani, wale wote walioshirikiana naye kutekeleza uovu, hakuna hata mmoja anayemtetea. Hata hapa iko siku kila mtu atakabidhi hesabu. Mfano mrahisi wa kiburi cha madaraka ni Membe, wakati yuko madarakani alikuwa anaona tume ya uchaguzi ni huru, leo yuko nje anaouna uhalisia kuwa tume si huru!
Lisu akijua mbowe ni mastermind wa tukio lake sijui itakuwaje
Hawa wazee watakuja kulipa gharama za dhambi zao
Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Mbowe ndio Aliemficha dereva sio lisu
Huo ndio utaratibu kwa sababu kuna watu walitaka kumuua. TL kama mwanasheria analifahamu hilo hata waliomuwekea dhamana kawakimbia. Just imagine inamuwekea dhamana then unapata matatizo, uzuri wameondoa zile dhamana. Hivi vyama vya mfukoni ooops vyama vya Ukoo oops ni SACOS ina shida inamtajirisha Mbowe na familia yake pekee..
Mbowe ni mafia
Lissu arudi aje atoe ushahidi isije kuwa kuna kitu wanakificha
Mkishindwa hoja mnaanza vioja.
Tupo na udanganyifu wa lissu leo
Tindu lissu aliingia kichwa kichwa kwenye siasa anajuta sasa
Upumbavu mtupu! MATAGA akili ziko makalioni?Mkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Huna hoja wewe nenda mkagawane billioni 8 na Mbowe mnazowakamua Wabunge wenu. Na ndio mwisho wenu mwaka huu mnatoka mrisi.Upumbavu mtupu! MATAGA akili ziko makalioni?
Hii nchi ina vituko vya kipumbavu sana.
Unashindwa kuwakaba askari waliokuwa zamu pale Area D unasema unamsubiri lisu.
Mwabuduni tu huyo Magufuli ila ipo siku mtafukiwa makaburini
Na mahakama inamsubiri kwa hamu.
Waulize ndugu zako kama wanakuona upo sawasawa. Maana ulivyoandika ni ile typical ya mtu aliyepatwa na uwendawazimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanawashwa sana.
Mnaojua kukuna njooni huku muwakune haswa.
Sisi wengine ni haramu kwetu.
[/QUO
Si wazima waache wajikune wenyewe
Ulitaka aumie,unashangaa kutoumia kwa dereva wake hushangai kwa nini Lisu hakufa.Swali Kwanini dereva wake hakuumia?
We ni tako CCTV camera walizitoa za nn??
Punguan