Hawezi dhalilisha taifa kwa mwamvuli wa uwana siasa,aje akakae jela na Mdude Nyangali a.k.a wakuwekewa mtego wa mbunye.
Kumbe ndio tabia yako! khe khe khe khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeNenda kafilwe
Uliza kwanza nani aliondoa walinzi wa serikali paleMkuu lile shambulio lina utata
Hujiulizi Kwanini dereva hakuumia?
Mataga Lissu mmeshamshindwa kwa hoja na kwa risasi.Hapana mimi lissu nampiga kwa hoja tu
Tukio la kushambuliwa yeye lina utata sana walipomficha dereva nikapata walakini
Huu upuuzi wa kusema kwa nini dereva hakuumia. Nani asiyejua ndo ulikuwa mpango ili dereva awe mtuhumiwa? Zile CCTV na aliyewatoa walinzi wasiwepo ndio maneno. Tuanzie hapo.Swali Kwanini dereva wake hakuumia?
Ok waje tu ili wananchi tujue ukweli wa Jambo tumeshachoka ngonjeraWanarudi October si mbali,
Mkuuu rudi kule kwenye Jukwaa la Urusi na USA, USA vs Iran..Mamaae
Huwezi mshambulia Rais wa nchi alafu wananchi tukafulai.never.Kuna tofauti kubwa sana kati ya serikali na taifa, jitahidi kujua tofauti ya hivi vitu viwili. Tuhuma za Lisu ni juu ya serikali. Ila wanaotuhumiwa wanajificha kwenye mgongo wa taifa.
Mlikuwa wapi kuunda hiyo tume mnayoililia?
Zee pumbavu sana hiloAmesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Atadakwa kwa kosa la kunusurika kuuawa. Hiyo naona imekaa vizuri.Amesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Wasiache kutoa ripoti tuOk waje tu ili wananchi tujue ukweli wa Jambo tumeshachoka ngonjera
Kutokana na tume hii kutokuwa huru, ccm wanakuwa wengi bungeni. Na ccm haitaki tume huru ya uchaguzi maana wanajua hawakubaliki hivyo na wananchi, kwahiyo wanatumia wingi wao vibaya kuzuia tume huru. Ila kwa hapa tulipofikia, njia za amani haziwezi tena kuleta tume huru ya uchaguzi. Plan B tu ndio italeta time huru ya uchaguzi, na katiba mpya.
Lakini hata hili mapolisi wetu wameahindwa kulifanya.Mkuu kuna utata hujiulizi kwanini dereva wake hakuumia? Polisi ichunguze maadui wa lissu ndani ya chama na kwenye biashara zake
Watatoa tu si kila kitu kitakuwa kwa mahakamaWasiache kutoa ripoti tu
Lisu anatunyima usingizi sisi ccmAmesema hata akae miaka mingapi huko akirudi watamdaka tu ili wapate chochote kitakachowasaidia kwenye malalamiko yake
Amesisisitiza na mtu akisema uwongo anasukumwa ndani
Maoni yangu: Kwanini lissu amemficha dereva wake wanaficha nini?
Huu upuuzi wa kusema kwa nini dereva hakuumia. Nani asiyejua ndo ulikuwa mpango ili dereva awe mtuhumiwa? Zile CCTV na aliyewatoa walinzi wasiwepo ndio maneno. Tuanzie hapo.