kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
sisi bongo ndio kwanza tunawatumia wasanii kulaghai watu kuwa wanajiponyesha wenyewe, so ugonjwa huu ni simple tu ukiupata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ila kama una asili ya kizungu lazima ukukomeshe!sisi bongo ndio kwanza tunawatumia wasanii kulaghai watu kuwa wanajiponyesha wenyewe, so ugonjwa huu ni simple tu ukiupata
Wenzetu wamepiga marufuku kutoka nje jimbo la Califonia Bongo ndio bado mnaruhusu watalii waje ili watumalize duh! Argentina nayo imepiga marufuku watu kutoka nje Bongo ndio kwanza leo watu walikuwa wamejazana misikitini hii imekaaje?
Nimecheka sana
Wabunge gani bwashee?!Wabunge wajadili hili suala kwa dharura!
Na kiongozi mmoja mkubwa tu katangaza ataendesha mikutano. Akivunjwavunjwa mifupa anajua kabisa hakuna tena kwenda Ubelgiji.Wenzetu wamepiga marufuku kutoka nje jimbo la Califonia Bongo ndio bado mnaruhusu watalii waje ili watumalize duh! Argentina nayo imepiga marufuku watu kutoka nje Bongo ndio kwanza leo watu walikuwa wamejazana misikitini hii imekaaje?
Mataga mmejaa matope kichwani.Hamia huko mkuu! Sisi siyo copy & paste! Tunafanya kitu kwa maslahi ya TZ siyo ya Wamarekani.
Umechagua upumbav kuwa sehemu ya maisha yako!Na kiongozi mmoja mkubwa tu katangaza ataendesha mikutano. Akivunjwavunjwa mifupa anajua kabisa hakuna tena kwenda Ubelgiji.
Kama ulivochagua kuwa Msukule maisha yako yote.Umechagua upumbav kuwa sehemu ya maisha yako!
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Simon Sirro amesema jeshi hilo limejipanga imara kwenye mipaka ili kuhakikisha kwamba watu wanaoingia nchini wanafuata utaratibu na endapo wakibainika kuwa na viashiria vya virusi vya Corona basi hatua zinachukuliwa kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
Akizungumza na ITV Online IGP Sirro amesema kwa sasa hakuna haja ya kufungwa kwa mipaka lakini kama kutakuwa na sababu ya moja kwa moja vyombo vya usalama vilivyopo katika mipaka vitashauri lakini kutokana na Intelijensia walizozipata hakuna tishio kubwa kiasi hicho mpaka kufikia kufungwa mipaka.
"Sasa elimu tumeshaipata kilichobaki ni sisi watanzania kutekeleza hiyo elimu ambayo tumeipata, manaake ukiipata hiyo elimu, usipoitumia hiyo elimu ukabaki kufanya mambo yako ya zamani mwisho wa siku utaangamiza jamii ya Watanzania" Alisema.
Credit: ITV