IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

Toka lini waziri akawa amiri jeshi? Hilo likiruhusiwa kuna siku waziri atatoa order kwa jwtz ivamie nchi nyingine. Mawaziri wajifunze namna ya kufanya kazi.

Kwani wale wanaokamatwa kwenye mikutano ya Mawaziri Jaffo, Awesu, Majaliwa nk papo kwa papo huwa inakuwa je?

Wale waliokuwa wanasukumwa ndani na yule mwamba wa Tabora nao je?

Karatasi zipi zilikuwa zinasainiwa au jinai ipi ilikuwa ikiangaliwa kabla ya habari?
 
ila SIRRO pia sku zako zahesabika!

Hii ni namba ya Musoma/Mara Mkuu. Waziri alisema atasaini tamko lake tatizo liko wapi IGP anaposubiri barua? Kumbuka hapo hajasema Mh Rais ni Waziri tena wakati huo Amiri Jeshi Mkuu akiwa nje ya nchi. Nani atakubali kufanywa Sabayosi kirahisi rahisi? Sabayosi is a game changer kwa utendaji wa hivi vyombo vya ulinzi na Usalama. Hakuna atakaye jipeleka kichwa kichwa ili baadaye ageukwe.
 
Back
Top Bottom