Huu mjadala nimeupenda....
Ni kweli hicho kitu hakiwezekani CDF atii amri kutoka kwa NIKKI WA PILI[emoji23][emoji23]
Lakini nimeshawahi kuona kwenye mkuu wa wilaya akipigiwa salute na mwanajeshi (Hawa wenye vyeo vyeo) nadhani ilikuwa kisarawe Kama sikosei
Hii ipoje?
Au Mara nyingi tumeshaona mawaziri wakitembea na wanajeshi kwenye misafara yao, je hawawezi kupokea amri kutoka kwa waziri?
Lakini Mara kibao tumeona wakuu wa mikoa/wilaya wakitoa amri kwa polisi Tena haswa kwenye mikutano ya hadhara....hii ipoje?
Sent from my Nokia 2.1 using
JamiiForums mobile app