Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Huyo zero ni kubwa jinga fulani. Zile wanazoita amri kutoka juu huwa kuna barua?
IGP hawezi kujiropokea, damage control hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo zero ni kubwa jinga fulani. Zile wanazoita amri kutoka juu huwa kuna barua?
Nijuavyo mimi mbunge kama mbunge ana sheria zake kukamatwa sasa wakimkamata hovyo hovyo anaqeza waumbua kama anaijua sheria kingine hata wakisema wampandishw kizimbani bado atawashinda kwa mfano akiwauliza hayo maneno aliyazungumzua wapi ma awrikali imjibu kanisani je?serikali si imesema haina dini? imekuwaje tena inatambua hiloIGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake.
Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya kuyatekeleza hayo maelekezo ya Waziri wa afya kwani serikali inakwenda kwa maandishi.
Sirro pia amesema wataangalia kama kweli kuna jinai au lah ambayo ina haja ya kufungua mashitaka...
Na ameendelea kusema pia kama hatokuta jinai watashauri jinsi ya kumaliza hilo swala katika njia nzuri.
Source: Clouds FM
Pia soma:
- #COVID19 - Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19
Uzuri mmoja anaongekea kanisani angekuwa kaongelea hilo kwenye kampeni au jukwaani ndio sheria ingembamba kiulainiGwajima hakamatiki, wakizubaa Jumapili ataendeleza zoezi la kupambana na chanjo ya corona, safari hii atamshughulikia Dorothy [emoji1787]
Sirro huyuhuyu anayewakamata CHADEMA kila siku ndo unasema yupo smart au Siro yupi?IGP yuko smart Sana. Watu wameshindwa hoja wanakimbilia polisi, vya bure gharama.
OvaAtuonyeshe na maandishi ya maelekezo ya Kawekamoo .
Duuuuh!Huyu mupe yure muruke
Yapi hayo? Ya mkuu wa wilaya kumuamrisha mkuu wa majeshi au?Unaishi Tanzania hii?
Una umri gani?
Kua uyaone.
Sirro inabidi atenguliwe,anambishia Mwanamke?Kwa hivyo tuhuma mama kula mlungula kurusu chanjo ni jambo la kupuuza?
Nani anayo hayo mamlaka?Waziri hana mamlaka ya kuamrisha mtu akamatwe kiholela namna hiyo
Huu mjadala nimeupenda....Yapi hayo? Ya mkuu wa wilaya kumuamrisha mkuu wa majeshi au?
Huu upuuzi kawahadithie wazee wenzako kwenye kahawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani askofu Gwajima anatoa matamshi ya kumtuhumu Rais aliyeko madarakani kuwa amepokea rushwa kuruhusu chanjo kuingiziwa nchi halafu IGP haoni kuwa kuna jinai hapo. Hii ni dhahiri kuwa zero anatumika na Sukuma Gang kumhujumu Rais Samia.IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake.
Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya kuyatekeleza hayo maelekezo ya Waziri wa afya kwani serikali inakwenda kwa maandishi.
Sirro pia amesema wataangalia kama kweli kuna jinai au lah ambayo ina haja ya kufungua mashitaka...
Na ameendelea kusema pia kama hatokuta jinai watashauri jinsi ya kumaliza hilo swala katika njia nzuri.
Source: Clouds FM
Pia soma:
- #COVID19 - Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19
Ndio maana nimewahi kusema humu katba ibadilishwe jeshi letu lisiongozwe na wanasiasa iwe na mwakilishi anaetoka jeshini Hawana haja ya waziri kwani jeshini hamna wasomi?Toka lini waziri akawa amiri jeshi? Yaani waziri atoe amri kwa jeshi? Tukiendekeza hilo kuna siku we waziri Mulamula ataamrisha jwtz ivamie Malawi!