Kupitia hoja za SIRRO inatakiwa tutambue kwamba si kila kiongozi anaweza kuamuru viongozi wa ngazi ya taifa kiusalama kwa maneno tu(ndiomaana akadai maandishi).
Lakini pia kwakua kuna wengine ambao walishawahi kukamatwa bila barua, basi tujue kwamba Amri ilitoka kwa kiongozi ambaye hahitaji maandishi Ili kutii amri yake namaanisha AMRI JESHI MKUU.
Hapo ndo utasikia ile kauli ya kusema "Ni maagizo kutoka juu"
Lakini kizembekizembe tu,eti waziri tena sio mkuu amtume SIRRO kwa mdomo jukwaani wakati ambao hata Mkuu wa nchi hayupo,awapi...[emoji23]