IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

Endelea kuchangia nimekupa mifano ya wazi kabisa, tatizo lako kumpa mtu amri unafikiri labda iwe ni amri ya kutangaza vita!! Hata mtu akikwambia tu kaa chini hiyo ni amri tayari!
View attachment 1896277
Tafuta hiyo video yake!
Hivi uliielewa hoja ya niliyemquote? hizo hoja za Amri ya kukaa chini hazikuwa target ya mwenye comment. Kimsingi hoja si amri hoja ni namna amri inavyotolewa, ndiomaana hata Sirro hajakataa kumkamata Gwajima ila amekataa namna ambavyo amri imetolewa kwake. Yupo anaeweza kumuamuru kwenye jukwaa kwa maneno bila maandishi Ila sio huyo waziri wa wizara, kama hiyo amri ingetoka kwa Samia mpaka Sasa Gwajima angekuwa ndani.
 
Naomba utumie maneno haya "Mh Rais wa JMT Samia SH."
 
Hivi uliielewa hoja ya niliyemquote? hizo hoja za Amri ya kukaa chini hazikuwa target ya mwenye comment. Kimsingi hoja si amri hoja ni namna amri inavyotolewa, ndiomaana hata Sirro hajakataa kumkamata Gwajima ila amekataa namna ambavyo amri imetolewa kwake. Yupo anaeweza kumuamuru kwenye jukwaa kwa maneno bila maandishi Ila sio huyo waziri wa wizara, kama hiyo amri ingetoka kwa Samia mpaka Sasa Gwajima angekuwa ndani.
Unaelewa kuna aina ngapi za amri?
Hakuna lolote zaidi ya sub standard. Pia anahofia kupigwa madongo na Gwajima. Je wote wanaokamatwa nchi hii huwa wanasubiri wapatiwe waraka wa maandishi au hadi amri kutoka kwa Rais?
Subiri Mh Rais atakaporejea ndio utajua hujui!!
 
Kupitia hoja za SIRRO inatakiwa tutambue kwamba si kila kiongozi anaweza kuamuru viongozi wa ngazi ya taifa kiusalama kwa maneno tu(ndiomaana akadai maandishi).

Lakini pia kwakua kuna wengine ambao walishawahi kukamatwa bila barua, basi tujue kwamba Amri ilitoka kwa kiongozi ambaye hahitaji maandishi Ili kutii amri yake namaanisha AMRI JESHI MKUU.

Hapo ndo utasikia ile kauli ya kusema "Ni maagizo kutoka juu"

Lakini kizembekizembe tu,eti waziri tena sio mkuu amtume SIRRO kwa mdomo jukwaani wakati ambao hata Mkuu wa nchi hayupo,awapi...😂
 
Kupitia hoja za SIRRO inatakiwa tutambue kwamba si kila kiongozi anaweza kuamuru viongozi wa ngazi ya taifa kiusalama kwa maneno tu(ndiomaana akadai maandishi).

Lakini pia kwakua kuna wengine ambao walishawahi kukamatwa bila barua, basi tujue kwamba Amri ilitoka kwa kiongozi ambaye hahitaji maandishi Ili kutii amri yake namaanisha AMRI JESHI MKUU.

Hapo ndo utasikia ile kauli ya kusema "Ni maagizo kutoka juu"

Lakini kizembekizembe tu,eti waziri tena sio mkuu amtume SIRRO kwa mdomo jukwaani wakati ambao hata Mkuu wa nchi hayupo,awapi...[emoji23]
Hii haimwondolei wala haimsafishi Sirro kuwa ametumia mamlaka yake vizuri kwa kudai uthibitisho, bali bado imemtia doa kwa vile tayari ameshakamata wengi tu bila kudai huo uthibitisho. Hata alipoamriwa na Makonda amkamate Gwajima huyo huyo kwani alidai huo uthibitisho kipindi kile!?
 
Kwa hivyo tuhuma mama kula mlungula kurusu chanjo ni jambo la kupuuza?
Kenya wananunua chanjo
Tanzania inapewa bure na beberu mjomba baada ya Tz kumtukana Uncle kmfululizo 5yrs
Hii kitaalamu imekaaje?!!!!
Kuna kitu cha bureeee kabsaaaaa
Hebu Watanganyika tuamkee!!
 
Dah noma kweli, Basi ninavyoona msafara wa mkuu wa majeshi ulivyo mzito kumbe hafui dafu kwa mkuu wa wilaya...

Itifaki imezingatiwa [emoji119]

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Sikiliza mpangilio wa kiitifaki wa Rais akiwa mkoa wowote ule anapoanza kutaja kama kuna mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Hiyo iko wazi sana. RC, DC mamlaka za uma ndio kitu kinachowabeba kuliko wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Hebu fungua hii link [emoji116]usikie mwenyewe!
 
Kwa maneno mengine Doroth kazodolewa!

Waziri utaamuruje jeshi limkamate mbunge?
 
Hii haimwondolei wala haimsafishi Sirro kuwa ametumia mamlaka yake vizuri kwa kudai uthibitisho, bali bado imemtia doa kwa vile tayari ameshakamata wengi tu bila kudai huo uthibitisho. Hata alipoamriwa na Makonda amkamate Gwajima huyo huyo kwani alidai huo uthibitisho kipindi kile!?
Kama alikuwa nao angedai nini tena?

Labda makonda alitamka kwa mdomo na barua ikafuata?
 
Alafu pia tukumbuke Gwajima ni mbunge!

Hivi unawezaje kuamrisha mbunge akamatwe hovyo tu?

Nashauri Samia ampumzishe huyu mama
 
Kwahiyo wanapo kamatwa wale wanaombambikiwa kuna maandishi rasmi ya maelekezo sio,basi tuonyeshwe maelekezo hayo ya Kamata Kamata yanayoelekezwa kwao tasafali.au ndio mwendo ya maigizo ya sang.
Huyu siro huwa anatumia masaburi kufikiri
 
Alafu pia tukumbuke Gwajima ni mbunge!

Hivi unawezaje kuamrisha mbunge akamatwe hovyo tu?

Nashauri Samia ampumzishe huyu mama
Hivi unaonaje kauli ya Makonda aliyoitoa dhidi ya wabunge wa upinzani alivyomwamrisha IGP kuwa wakionekana ndani ya Dar wakamatwe au wale hawakuwa wabunge?
Double standard sio!
 
Je, walikamatwa?

Na unakumbuka majibu ya wale wabunge?
 
Back
Top Bottom