Sasa huoni hapo kuna kosa la kuhodhi ardhi ambalo vyombo vingine vinahusika, Gwajima amefanya kosa gani?View attachment 1896212
Huyu Katambi ni DC au RC wa wapi? Mbona katoa amri ya mwananchi kuwekwa ndani?
Maana ya kuzurura ni ipi? Na je kama mtu ana kazi inayojulikana inayomweka mjini (hadhi) je ni mzururaji?Walikua wanazurula Dar, imebidi wakamatwe kwa amri ya mkuu wa mkoa.
Achana na mjadala wa kosa, jamaa amedai mawaziri hawawezi kutoa amri kwa vyombo vya ulinzi, isipokuwa ma DC na RC kwa sababu ni wawakilishi wa Rais. Ndio maana nikataka kujua, Katambi alipotoa amri alikuwa DC au RC?Sasa huoni hapo kuna kosa la kuhodhi ardhi ambalo vyombo vingine vinahusika, Gwajima amefanya kosa gani?
Kwenye mijumuiko ya watu wengi kuna suala la kiusalama ambapo ni wajibu wa polisi kuhakikisha upo, raia yeyote anaweza kutoa taarifa kama kuna uvunjifu wa amani.Achana na mjadala wa kosa, jamaa amedai mawaziri hawawezi kutoa amri kwa vyombo vya ulinzi, isipokuwa ma DC na RC kwa sababu ni wawakilishi wa Rais. Ndio maana nikataka kujua, Katambi alipotoa amri alikuwa DC au RC?
Kwani wewe inaishia nchi gani ambavyo Mkuu wa wilaya anaweza kumpa amri mkuu wa majeshi kuitisha majeshi, Afghanistan au?Unaishi nchi gani?
Kama aliyeko kwenye local government ana mamlaka basi aliyeko kwenye central government ana mamlaka zaidi.Achana na mjadala wa kosa, jamaa amedai mawaziri hawawezi kutoa amri kwa vyombo vya ulinzi, isipokuwa ma DC na RC kwa sababu ni wawakilishi wa Rais. Ndio maana nikataka kujua, Katambi alipotoa amri alikuwa DC au RC?
Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba unahisi kutoa amri ni lazima iwe kama amri ya kutangaza ama kusitisha vita lakini hata mkuu wa wilaya akimwambia CDF au IGP sogea hapa hiyo ni amri. Elewa hilo.Kwani wewe inaishia nchi gani ambavyo Mkuu wa wilaya anaweza kumpa amri mkuu wa majeshi kuitisha majeshi, Afghanistan au?
Kwenye mijumuiko ya watu wengi kuna suala la kiusalama ambapo ni wajibu wa polisi kuhakikisha upo, raia yeyote anaweza kutoa taarifa kama kuna uvunjifu wa amani.
Gwajima Dorothy ajiuzulu[emoji23][emoji23][emoji23] hapo Gwajiboy kapata pa kupumzkia atamuandama uyo Dorothy mpaka aombe pooh. Akili ya Gwajiboy na manara ni moja wote ni waropokaji na hawachagui neno.
Sio watu wa kubishana nao hao ni kuwapuuza tu .
Hakuna sehemu ambayo nimepinga uwezo wa mkuu wa wilaya kuamuru Hawa police uchwara au baadhi ya wanajeshi wanaokabidhiwa kwao kwaajili ya usalama,kimsingi kila kiongozi atakuwa na mamlaka juu ya police aliye kwenye himaya yake.Huu mjadala nimeupenda....
Ni kweli hicho kitu hakiwezekani CDF atii amri kutoka kwa NIKKI WA PILI[emoji23][emoji23]
Lakini nimeshawahi kuona kwenye mkuu wa wilaya akipigiwa salute na mwanajeshi (Hawa wenye vyeo vyeo) nadhani ilikuwa kisarawe Kama sikosei
Hii ipoje?
Au Mara nyingi tumeshaona mawaziri wakitembea na wanajeshi kwenye misafara yao, je hawawezi kupokea amri kutoka kwa waziri?
Lakini Mara kibao tumeona wakuu wa mikoa/wilaya wakitoa amri kwa polisi Tena haswa kwenye mikutano ya hadhara....hii ipoje?
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
[emoji115][emoji115][emoji115]Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba unahisi kutoa amri ni lazima iwe kama amri ya kutangaza ama kusitisha vita lakini hata mkuu wa wilaya akimwambia CDF au IGP sogea hapa hiyo ni amri. Elewa hilo.
Makonda alishawahi kumpa amri IGP kuzuia utumiaji wa shisha ndani ya Dar na alitekeleza au ile amri ya Gwajima kulala central pia ilitoka kwa Makonda. Jokate alishampa amri CDF Mwamunyange kuhusu mradi wa maji Kisarawe hata IGP pia kuhusu kukamilisha ujenzi kituo cha polisi Kisarawe. Je una la zaidi??
Hakuna sehemu ambayo nimepinga uwezo wa mkuu wa wilaya kuamuru Hawa police uchwara au baadhi ya wanajeshi wanaokabidhiwa kwao kwaajili ya usalama,kimsingi kila kiongozi atakuwa na mamlaka juu ya police aliye kwenye himaya yake.
Hoja ninayopinga ni uwezo wa mkuu wa wilaya kutoa amri kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi kwa ngazi ya taifa , namaanisha mkuu wa wilaya aamke tu eti ampe amri SIMON SIRRO au MABEYO kama jamaa mmoja huko anavyodai[emoji23][emoji23].
Kupitia hoja za SIRRO inatakiwa tutambue kwamba si kila kiongozi anaweza kuamuru viongozi wa ngazi ya taifa kiusalama kwa maneno tu(ndiomaana akadai maandishi).Ndiyo maana tunasema hii ya Sirro kuwa kumkamata mtu ni mpaka:
1. Apate barua rasmi iliyowekwa sahihi na mhusika.
2. Ajiridhishe kama kuna jinai.
Ni mapya kuwahi kuyasikia. Ni kinyume cha uhalisia, kinyume na ambavyo wengine wamekuwa wakitendewa.
Umeielewa hoja mkononi?
Ngoja ninyamaze😂😂😂.Unachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba unahisi kutoa amri ni lazima iwe kama amri ya kutangaza ama kusitisha vita lakini hata mkuu wa wilaya akimwambia CDF au IGP sogea hapa hiyo ni amri. Elewa hilo.
Makonda alishawahi kumpa amri IGP kuzuia utumiaji wa shisha ndani ya Dar na alitekeleza au ile amri ya Gwajima kulala central pia ilitoka kwa Makonda. Jokate alishampa amri CDF Mwamunyange kuhusu mradi wa maji Kisarawe hata IGP pia kuhusu kukamilisha ujenzi kituo cha polisi Kisarawe. Je una la zaidi??
Endelea kuchangia nimekupa mifano ya wazi kabisa, tatizo lako kumpa mtu amri unafikiri labda iwe ni amri ya kutangaza vita!! Hata mtu akikwambia tu kaa chini hiyo ni amri tayari!Ngoja ninyamaze[emoji23][emoji23][emoji23].
kosa la Gwajima ni lipi mpaka akamatwe?Ndiyo maana tunasema hii ya Sirro kuwa kumkamata mtu ni mpaka:
1. Apate barua rasmi iliyowekwa sahihi na mhusika.
2. Ajiridhishe kama kuna jinai.
Ni mapya kuwahi kuyasikia. Ni kinyume cha uhalisia, kinyume na ambavyo wengine wamekuwa wakitendewa.
Umeielewa hoja mkononi?
Kwahiyo Leo ndio Sirro amefahamu utatatibu? Siro anaogopa kilichomtokea SabayaUnited Banana Republics sishangai.
Naomba kujua Kati ya CDF na DC Nani anakuwa juu ya mwenzie kiitifakiUnachoshindwa kuelewa wewe ni kwamba unahisi kutoa amri ni lazima iwe kama amri ya kutangaza ama kusitisha vita lakini hata mkuu wa wilaya akimwambia CDF au IGP sogea hapa hiyo ni amri. Elewa hilo.
Makonda alishawahi kumpa amri IGP kuzuia utumiaji wa shisha ndani ya Dar na alitekeleza au ile amri ya Gwajima kulala central pia ilitoka kwa Makonda. Jokate alishampa amri CDF Mwamunyange kuhusu mradi wa maji Kisarawe hata IGP pia kuhusu kukamilisha ujenzi kituo cha polisi Kisarawe. Je una la zaidi??