IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

Pamoja na weledi, majibu ya IGP yanaonesha wazi kuwa hana nia ya kuhangaika na Gwajima kwa sababu anazozijua yeye
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba, hata kama Gwajima wa ufufuo na uzima ana uhuru kuhusu chanjo, maneno yake kwa ujumla yana dharau fulani kwa uamuzi wa serikali (Rais).
IGP alitakiwa ajibu tu kwamba wamelisikia na watashughulikia kwa mujibu wa Sheria na taratibu za kiserikali.
 
Watu wanakamatwa hovyo kila kukicha bila barua hata huyo sabaya leo yupo ndani huko alikovamia alienda bila barua watu wanafanya uharifu na Siro upo bada madarakani wakati ilitakiwa uwe ushajiuzuru kwa hilo tukio ni vile upo Banana Republic...
 
View attachment 1896435

Nakumbuka Makonda amewahi kuwaagiza polisi kumkamata Mbowe baada ya kumtaja kwenye orodha ya madawa ya kulevya. Sirro hakusubiri maandishi. Makonda huyohuyo akaagiza Aabdul Nondo akamatwe kwa tuhuma za kujiteka. Sirro hakusubiri maandishi, licha ya kwamba yalikua maelekezo ya Mkuu wa mkoa tu. Leo Waziri katoa maelekezo anasema anasubiri maandishi?

Anyway ni barua gani Sirro alipewa kuwakamata vijana wa Chadema waliokua ibadani huko Mwanza juzi jumapili? Je Sirro alipewa barua na nani kumkamata Askofu Mwamakula na Prof.Azavel Lwaitama usiku wa manane hotelini kama majambazi na kuwaweka rumande bila hatia? Sirro alipewa barua na nani kuwakamata vijana wanaokwenda mahakamani kufuatilia kesi ya Mwenyekiti Mbowe? Why these double standards?

Credit: Malisa GJ
RC na DC wanamamlaka ta kuliamuru Jeshi la Polisi kamata fulani weka ndani na sio Waziri. Waziri pekee mwenye mamlaka hiyo ni Waziri wa mambo ya Ndani.

Polisi ni chombo cha dola kilichopo chini ya kundi la majeshi, kinaendeshwa kwa amri kutoka juu. Kitaifa amri ni inatoka kwa rais, ambaye ni CinC na kumuagiza IGP. Mwanasiasa pekee anayeweza kutoa amri ya kitaifa kwa IGP, Jeshi la Polisi likamate yoyote ni Waziri wa Mambo ya Ndani. Wakuu wa mikoa ni wawakilishi wa rais kwenye mikoa husika, na ndio wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa hivyo nao wana deraitive powers za kutoa amri kwa Polisi wa mkoa husika kumkamata yoyote. Ma DC nao ni kama ma RC, kwa wilaya zao. Viongozi wengine wote wa serikali, hawana mamlaka ya kidola kuamrisha Jeshi la Polisi kumkamata yoyote, bali wana uwezo wa kuripoti jinai yoyote na Jeshi la Polisi linawajibika kufanya uchunguzi wa kijinai, kutegemeana na jinai husika, uamuzi wa kukamata na kuseka ndani ni uamuzi wa kipolisi na sio amri ya Waziri. Alichofanya Waziri Gwajima ni kuripoti tuu kisiasa in public kuliagiza Jeshi la Polisi kumchunguza Askofu Gwajima. Tangazo lile linatakiwa kufuatiwa na barua rasmi kutoka Wizara ya Afya kwenda kwa IGP yenye tuhuma specific na Jeshi la Polisi ndio litaamua kama tuhuma hizo zinamstahili mtuhumiwa kukamatwa au la. Kinga ya mbunge kusema chochote bila kukamatwa ni kauli za wabunge ndani ya Bunge. Mbunge akifanya jinai yoyote nje ya Bunge anakamatwa tuu kama mhalifu mwingine yoyote!. Ila kama uhalifu huo umefanyika kipindi cha vikao vya Bunge vinaendelea na mbunge huyo yuko Bungeni kuhudhuria vikao na anatakiwa kukamatiwa Bungeni, then Spika lazima aarifiwe ndio atoe idhini kwa Jeshi la Polisi kumkamata mbunge akiwa viwanja vya Bunge . Kwa vile mbunge ni mtumishi wa Bunge, akifanya jinai yoyote popote, mwajiri wake pia anaarifiwa. Hivyo kwa vile sasa Bunge liko kwenye vikao vya kamati, kama ni kweli serikali imedhamiria kumshughulia Askofu Gwajima na sio utani wa mtu na shemeji yake, then kauli ile ya kisiasa ya Waziri wa Afya itafuatiwa na barua rasmi ya Wizara ya Afya kwa Jeshi la Polisi yenye tuhuma rasmi itatua mezani kwa IGP cc. Spika wa Bunge, na ndipo Polisi waifanyie kazi. Waziri wa Afya au Waziri mwingine yoyote nje ya Waziri wa mambo ya Ndani, hawezi kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kumkamata yoyote.
P
 
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama.

Waziri ni mwanasiasa wa kawaida.
 
Kwa hiyo waziri hajui mipaka yake?
Kama ndo hivyi basi hatuna waziri tuna comedian.Huwezi fanya kazi ambayo hujua mipaka yako.
 
Ile ni just à political statement itafuatiwa na an exécutive order in black and white (maandishi).
P
 
hatuna rais nchi hii, ni basi tu tunaenda kwa Neema za Mungu
Kama IGP anaweza Pinga amri ya Serikali basi hakuna Rais kwa sasa na itakuwa ni udhaifu mkubwa Sana kwa mamlaka ya uteuzi.

Nasubiria kuona mwisho wa siku itakuaje, ngoja nimeze maneno.
 
RC na DC wanamamlaka ta kuliamuru Jeshi la Polisi kamata fulani weka ndani na sio Waziri. Waziri pekee mwenye mamlaka hiyo ni Waziri wa mambo ya Ndani.

Polisi ni chombo cha dola kilichopo chini ya kundi la majeshi, kinaendeshwa kwa amri kutoka juu. Kitaifa amri ni inatoka kwa rais, ambaye ni CinC na kumuagiza IGP. Mwanasiasa pekee anayeweza kutoa amri ya kitaifa kwa IGP, Jeshi la Polisi likamate yoyote ni Waziri wa Mambo ya Ndani. Wakuu wa mikoa ni wawakilishi wa rais kwenye mikoa husika, na ndio wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa hivyo nao wana deraitive powers za kutoa amri kwa Polisi wa mkoa husika kumkamata yoyote. Ma DC nao ni kama ma RC, kwa wilaya zao. Viongozi wengine wote wa serikali, hawana mamlaka ya kidola kuamrisha Jeshi la Polisi kumkamata yoyote, bali wana uwezo wa kuripoti jinai yoyote na Jeshi la Polisi linawajibika kufanya uchunguzi wa kijinai, kutegemeana na jinai husika, uamuzi wa kukamata na kuseka ndani ni uamuzi wa kipolisi na sio amri ya Waziri. Alichofanya Waziri Gwajima ni kuripoti tuu kisiasa in public kuliagiza Jeshi la Polisi kumchunguza Askofu Gwajima. Tangazo lile linatakiwa kufuatiwa na barua rasmi kutoka Wizara ya Afya kwenda kwa IGP yenye tuhuma specific na Jeshi la Polisi ndio litaamua kama tuhuma hizo zinamstahili mtuhumiwa kukamatwa au la. Kinga ya mbunge kusema chochote bila kukamatwa ni kauli za wabunge ndani ya Bunge. Mbunge akifanya jinai yoyote nje ya Bunge anakamatwa tuu kama mhalifu mwingine yoyote!. Ila kama uhalifu huo umefanyika kipindi cha vikao vya Bunge vinaendelea na mbunge huyo yuko Bungeni kuhudhuria vikao na anatakiwa kukamatiwa Bungeni, then Spika lazima aarifiwe ndio atoe idhini kwa Jeshi la Polisi kumkamata mbunge akiwa viwanja vya Bunge . Kwa vile mbunge ni mtumishi wa Bunge, akifanya jinai yoyote popote, mwajiri wake pia anaarifiwa. Hivyo kwa vile sasa Bunge liko kwenye vikao vya kamati, kama ni kweli serikali imedhamiria kumshughulia Askofu Gwajima na sio utani wa mtu na shemeji yake, then kauli ile ya kisiasa ya Waziri wa Afya itafuatiwa na barua rasmi ya Wizara ya Afya kwa Jeshi la Polisi yenye tuhuma rasmi itatua mezani kwa IGP cc. Spika wa Bunge, na ndipo Polisi waifanyie kazi. Waziri wa Afya au Waziri mwingine yoyote nje ya Waziri wa mambo ya Ndani, hawezi kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kumkamata yoyote.
P
Ile ni just à political statement itafuatiwa na an exécutive order in black and white (maandishi).
P
Asante kwa ufafanuzi ,ila nyongeza ni je Kamata Kamata hasa zile zihusianazo na siasa hapa kwetu zinazingatia taratibu kwakiasi gani, au kwa kuwa hili la sasa lina agenda mficho ndani aka maslahi /agenda ya kundi fulani ndani ya sirikali?
 
RC na DC wanamamlaka ta kuliamuru Jeshi la Polisi kamata fulani weka ndani na sio Waziri. Waziri pekee mwenye mamlaka hiyo ni Waziri wa mambo ya Ndani.

Polisi ni chombo cha dola kilichopo chini ya kundi la majeshi, kinaendeshwa kwa amri kutoka juu. Kitaifa amri ni inatoka kwa rais, ambaye ni CinC na kumuagiza IGP. Mwanasiasa pekee anayeweza kutoa amri ya kitaifa kwa IGP, Jeshi la Polisi likamate yoyote ni Waziri wa Mambo ya Ndani. Wakuu wa mikoa ni wawakilishi wa rais kwenye mikoa husika, na ndio wenyeviti wa kamati za ulinzi za mikoa hivyo nao wana deraitive powers za kutoa amri kwa Polisi wa mkoa husika kumkamata yoyote. Ma DC nao ni kama ma RC, kwa wilaya zao. Viongozi wengine wote wa serikali, hawana mamlaka ya kidola kuamrisha Jeshi la Polisi kumkamata yoyote, bali wana uwezo wa kuripoti jinai yoyote na Jeshi la Polisi linawajibika kufanya uchunguzi wa kijinai, kutegemeana na jinai husika, uamuzi wa kukamata na kuseka ndani ni uamuzi wa kipolisi na sio amri ya Waziri. Alichofanya Waziri Gwajima ni kuripoti tuu kisiasa in public kuliagiza Jeshi la Polisi kumchunguza Askofu Gwajima. Tangazo lile linatakiwa kufuatiwa na barua rasmi kutoka Wizara ya Afya kwenda kwa IGP yenye tuhuma specific na Jeshi la Polisi ndio litaamua kama tuhuma hizo zinamstahili mtuhumiwa kukamatwa au la. Kinga ya mbunge kusema chochote bila kukamatwa ni kauli za wabunge ndani ya Bunge. Mbunge akifanya jinai yoyote nje ya Bunge anakamatwa tuu kama mhalifu mwingine yoyote!. Ila kama uhalifu huo umefanyika kipindi cha vikao vya Bunge vinaendelea na mbunge huyo yuko Bungeni kuhudhuria vikao na anatakiwa kukamatiwa Bungeni, then Spika lazima aarifiwe ndio atoe idhini kwa Jeshi la Polisi kumkamata mbunge akiwa viwanja vya Bunge . Kwa vile mbunge ni mtumishi wa Bunge, akifanya jinai yoyote popote, mwajiri wake pia anaarifiwa. Hivyo kwa vile sasa Bunge liko kwenye vikao vya kamati, kama ni kweli serikali imedhamiria kumshughulia Askofu Gwajima na sio utani wa mtu na shemeji yake, then kauli ile ya kisiasa ya Waziri wa Afya itafuatiwa na barua rasmi ya Wizara ya Afya kwa Jeshi la Polisi yenye tuhuma rasmi itatua mezani kwa IGP cc. Spika wa Bunge, na ndipo Polisi waifanyie kazi. Waziri wa Afya au Waziri mwingine yoyote nje ya Waziri wa mambo ya Ndani, hawezi kutoa amri kwa Jeshi la Polisi kumkamata yoyote.
P
Umeandika vizuri Sana.

Kwa kifupi, Waziri Gwajima haelewi protocols za kazi yake ya uwaziri.
 
I love this. IGP Siro ni mkongwe hataki kuingizwa kingi.
 
Kumbe anayo mamlaka Sasa, muhimu I we tu kwenye maandishi, au sijaelewa!

Ambalo pengine mama hajalifahamu ni kwamba anazungukwa na watu wenye nia ovu juu yake, muda utaongea.
Kabisa mkuu na uzuri wameanza kufichua sura zao hadharani ila kwakuwa muda ni hakimu wa haki ngoja tusubiri
 
A

Unaweza kuchambua Mambo,ila tangu ukose Ubunge na Gwajima akaukwaa naona Kama una mtima nyongo naye🤩🤩
 
Back
Top Bottom