IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

Tujiulize wajumbe humu wapi mliwahiona mtto was polisi emekuwa daktari,injinia,hakimu,rubani nk. Hawa ni wa2 waliolaanika kwa matendo yao ya dhambi. Bora kuwa na mtto Kama Hamza Mana amejionesha kuwa alikuwa brave enough.
Rubani Mkuu wa Rais ni mtoto wa Polisi aliyewahi kuwa IGP wa Tanzania miaka ya huko nyuma. Naamini kauli za ujumla jumla hazitusaidii.
 
Iliyoko Pasiansi? Kumbe ni hotel ya Sirro? Basi kuna ufisadi mahali, huwezi kujenga kwa mshahara wa u IGP!
Fuatilia background yake usikute jamaa alishahudumu huko Interpol ambapo wanalipwa mishahara minono,usikute kesha hudumu katika misheni mbalimbali za ulinzi wa amani.Tunawadharau tu hawa jamaa ila wanasehemu nyingi zakupatia chambichambi.

Swali:mishahara ya polisi ipoje?
 
Tujiulize wajumbe humu wapi mliwahiona mtto was polisi emekuwa daktari,injinia,hakimu,rubani nk. Hawa ni wa2 waliolaanika kwa matendo yao ya dhambi. Bora kuwa na mtto Kama Hamza Mana amejionesha kuwa alikuwa brave enough.
Upo sayari ipi jamaa?[emoji1]
 
bold kabisa, wachache wamekuelewa.
 
Kwahiyo unahalalisha hizo kauli za Sirro? kwanini usione kuwa Sirro pia nae kakosea?

Mwambie basi atuambie Mkewe Sirro alizaa vp wanae ili watanzania wajifunze jinsi ya kuzaa vizuri ili wapate watoto wakamilifu kama yeye?


Hayo maneno si kitu kabisa unapolinganisha na kosa kubwa alofanya Msomali la kuua watu wasio na hatia!

Uhai wa binadamu unathamani kubwa sana isiyo mithiri.

Uhai wa mwanadamu ukishapotea hauwezi kupatikana popote Duniani hata kwa kuuzwa !

Acheni chuki jamani !
 
mbona na yeye alizaa toto wa hovyo hovyo ndo maana imeshindikana kuolewa, labda awe amempata mwanaume jana
 
Kuna siku nilishangaa sana kuna mdau alikuwa anamsimulia mwenzake anasema kuna rafiki yake askari polisi wa cheo cha konstebu alipata shavu la kwenda mishen nje kuna mishen ambazo kwa mwezi unalipwa mpaka dola 4500 na huko wao hukaa mwaka mzima na mishahara yao iko pale pale.

Nikasema jamaa kumbe wanachance wanaweza kutusua huku mtaani tukisema mafisadi.

Sasa assume mtu kama sirro ndo kaenda mara tatu nne si unaweza sema fisadi
 
Hawajiulizi kwanini Mkomavu anamiliki gari kali.
 
Hebu fikiri nje ya kisanduku, kwamba Je,Ni watu wangapi wameuawa na Polisi bila kuwa na hatia?,Ni watu wangapi wamedhurumiwa haki zao na hao Polisi unaowatetea?,Ni watu wangapi wamembambikiziwa kesi na hao Polisi?. Halafu njoo hapa tena.
 
Hii iko Tegeta kwa mpemba/AzaniaView attachment 1914300
Kumbe ni msaza kodi zetu, mnufaika wa ccm,thus uilinda ccm kwa jasho na damu.
Baada ya kustaafu biashara huwa zinakufa maana uendeshaji wake unategemea ofisi.
Hawana ujanja wa kuishi nje ya mshahara hawa.
Malori,mabus,mahoteli,nk hufa yanakufa mshahara ukigota.
Akistaafu mpe miaka 10 uone kama hizo bizness zinaendelea.
 
Kauli hii ilishtua mpaka mishipa ya damu ilisisimka kwani sikuamini kauli hiyo inaweza kutolewa na mtu anayemuamini Mungu.Ni kauli tata sana ya Bwana mkubwa huyu ya kututaka tuwe makini tusizae watoto wa ovyovyo.
Mkuu Siro,kila mtu anapenda azae mtoto mzuri mwenye faida si kwa wazazi wake tu hata kwa jamii nzima.Kama tulivyosikia kule Chunya jinsi Hamza alivyokuwa na msaada kwa jamii iliyokuwa ikimzunguka.
Tukio lile lililohusisha kupotea nafsi za WATU lilikuwa baya ila tumuombe Mwenyezi Mungu Mungu ajaalie ile kauli ya afande Siro iwe imetoka kwa bahati mbaya na amsamehe.Na vilevile amjaalie mkuu awe na watoto wazuri,wenye nidhamu na kukubalika na mfano mzuri katika jamii.
 
So far nazifahamu logdes zake kama Dar ziko 3, Mwanza, Mara na Arusha hii bado mbichi ni kubwa inatisha, Iko Njiro wanaita maeneo ya Kwa Igp
 
Soma comment za wakuu juu tayari ana toto tundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…