IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

Acheni kuwatoa watu kwenye mstari wa kujadili Ugaidi kwa kumnyooshea kidore IGP.

Msomali asingefanya ule Ugaidi IGP asingeyasema hayo na ameyasema kwa uchungu mkubwa kitendo kile cha kuua wale watu kinauma sana!
Mbona kupigwa risasi kwa Lisu akuongea kwa uchungu. na uchunguzi kakataa kuufanya acha unafiki wa kijinga
 
Siro ukimwangalia mwonekano wake kimwili utadhani ni mtu wa kuheshimika sana!

Hapana, kuna wakati hata matamshi yake yalionekana kuwa ya mtu mwenye busara.

Haieleweki ni kitu gani hasa kimembadilisha akili kiasi hiki alivyokuwa sasa?

Unajua, inasemekana damu za binaadam zikimwagwa kwa uonevu tu, hazimwachi mtu anayesababisha zimwagike, ni lazima atadhurika tu kwa njia moja au nyingine.

Siro ni mhanga wa umwagaji wa damu za waTanzania ambao hawakustahili kuuliwa au kuumizwa.

Maisha yake ya uhai wake uliosalia yatakuwa ya matatizo tupu.
Kuna bangi pia!
 
Tujiulize wajumbe humu wapi mliwahiona mtto was polisi emekuwa daktari,injinia,hakimu,rubani nk. Hawa ni wa2 waliolaanika kwa matendo yao ya dhambi. Bora kuwa na mtto Kama Hamza Mana amejionesha kuwa alikuwa brave enough.
Wanalishwa pesa za dhulma na wazazi wao wanawapa laana tu kwa makosa ya baba zao
 
Kumbe Siro Ni muwekezaji wa ndani.
Mwanza ana lodge tatu.
Shinyanga ana kiwanda Cha unga.
Chanika ana hoteli
Tegeta ana Lodge.
Kuna mengine tusiyoyajua.
Hivi kwa mshahara upi huyu Kaka amewekeza kiasi hicho?
 
Siro ukimwangalia mwonekano wake kimwili utadhani ni mtu wa kuheshimika sana!

Hapana, kuna wakati hata matamshi yake yalionekana kuwa ya mtu mwenye busara.

Haieleweki ni kitu gani hasa kimembadilisha akili kiasi hiki alivyokuwa sasa?

Unajua, inasemekana damu za binaadam zikimwagwa kwa uonevu tu, hazimwachi mtu anayesababisha zimwagike, ni lazima atadhurika tu kwa njia moja au nyingine.

Siro ni mhanga wa umwagaji wa damu za waTanzania ambao hawakustahili kuuliwa au kuumizwa.

Maisha yake ya uhai wake uliosalia yatakuwa ya matatizo tupu.
Huyu kamanda wa makamanda alijitakia mwenyewe kwa haya yanayomkuta.Aliwahi kudhaniwa kuwa na utu,uungwana na ujasiri wa kutosha ukamanda mkuu lakini akakubali kutumika na wanasiasa uchwara waliokosa ushawishi kwa wananchi.Walitumiwa kufifisha demokrasia kwa taarifa za kiintelijensia biased.Hivyo yeye na taasisi yake wanalipia matendo yao.
Angekuwa muungwana sana akaomba kupumzika Mara tu mwendazake alipotutoka.Sikio la kufa....
 
Tujiulize wajumbe humu wapi mliwahiona mtto was polisi emekuwa daktari,injinia,hakimu,rubani nk. Hawa ni wa2 waliolaanika kwa matendo yao ya dhambi. Bora kuwa na mtto Kama Hamza Mana amejionesha kuwa alikuwa brave enough.
Tusihukumu watoto kwa dhambi za baba zao.

Mimi nimeshashuhudia mtoto wa RPC(mstaafu kwa sasa) alikua rubani rafiki yangu sana ila alifariki miaka michache iliyopita. Kaka yake nae kapanda panda vyeo toka enzi za Mwendazake na baba huyo mstaafu yuko CCM saiv kwa kina Lema

Ila tukirudi kwenye mada tumuongelee huyu wa Makongo😂😂
 
Msalimie kamanda Z. Steve.

Ila huyu nae ana kijana wake ajinyonga akiwa Kule Udom.
 
Hahaha ni kweli wewe unawafahamu ila umechanganya madesa kidogo.

Mimi wengi wao nimekua nao toka watoto wa Mahita nawajua vizuri sana

Ndomaana nimesikitika sana kauli ya huyu mkuu wakati kwake nako kuna shida na tunajua
 
Back
Top Bottom