Wapi nimesema kuhusu sheria za Rwanda au huyo tundu lissu,umechanganyikiwa wewe.Seleman ni bwawa yako aliniambia ukiongea ufala nikuambie umpigie acha kutumikia bwawa zako kuja na Sheria za Rwanda kuwaonea watu badala ya kutumia katiba na Sheria za Nchi, umehongwa wewe mbweha hadi umejitoa fahamu zote ukafikri kila mmoja anahongwa kama wewe acha ufala wako Tambua kuwa Tundu lisu ni mpinzani anafanya kazi ya kuikosoa Serikali
Wewe mbweha mie nakataa Nchi isichafuliwe kwa IGP kutangaza ugaidi cha ajabu unanipingaHao mnaowaita magaidi mnawatengeneza wenyewe kwa sababu ya chuki zenu mnawafanya baadhi ya watu wanaonewa hivyo wanatakiwa wapambane.
Nchi zote hufanya hivyo kuna wale waarabu wanamuminika Sana tanzania kwa mgongo wa kusaidia msikitini kumbe Wana ajenda nyingine
Wewe unavuta Bangi gheto unawezaje kujua nilichoandika?Wapi nimesema kuhusu sheria za Rwanda au huyo tundu lissu,umechanganyikiwa wewe.
Halafu jifunze kuandika ndio uje tena.
Huyu Sirro vipi?IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro ameeleza hayo wakati akizungumzia ziara yake ya siku nne nchini Rwanda na kusema wamejifunza hilo kutoka huko, hivyo ni vyema wapite kwenye maneno hayo kujua malengo ya mafunzo yanayotolewa.
“Tumeona wenzetu hizi shule za dini, kwa mfano haya Madrasa, kwa mfano hizo Sunday schools kuna kikosi maalum kuona mafunzo yanayofundishwa. Je! Mafunzo yale yanatolewa kwa ajili ya uzalendo, au ni mafunzo yanayotolewa kwa ajili ya kuharibu nchi,” amesema Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Sirro ameeleza utaratibu huo ni mzuri na kwamba watawashirikisha viongozi wa dini na timu ya kupambana na makosa ya kigaidi kuona namna ya kupitia mafunzo yanayofundishwa kwenye shule za dini na shule za elimu dunia, hadi ngazi ya vyuo vikuu, kuona kama mafunzo yanawajenga au yanawabomoa vijana.
Aidha, ameitaka jamii kutoa taarifa endapo itabaini kuna mtu ana tabia au mwenendo kinyume na jamii husika, na kwamba sio lazima mhusika afungwe, bali wanaweza kumsaidia kuwa mtu mwema na akaendelea na shughuli zake.
Visomo vitaanza kote kuanzia Pemba hata kote baraAnachokitafuta huyo IGP dhidi ya waisilamu atakipata. Asilete akili za kipolisi kwenye nyumba za Mwenyezi Mungu. Hako kacheo chake kacmfanye akajiona mungu mtu, ipo siku ataingia mtaani na atakutana na wajanja zaidi yake.
Tangu lini nyumba za ibada zikafundisha ugaidi!!!! Au polisi wake ndiyo magaidi!!!! Huyu ni mtanzania kweli!!!!!!
Sasa ajaribu kuwareta hao polisi njaa misikitini, sehemu ya ibada, iliyo nadhifu na haitaki mtu mchafu mchafu na mlevi.
Kama nikweri kayaongea hayo, bac Mama samia kuwanae makini sana huyu kiumbe, atavuruga amani ya nchi. Na ikiwezekana mtimue kabla hajaaribu.
Polisiccm wametumwa na mabeberu kuiponza CCMHuyu Sirro vipi?
Yaani anategemea kweli Sunday schools na Madrasa kufundishwa Uzalendo...!! I can't believe his thinking.
Fuatilia vizuri si kuongea tu Jambo ambalo hulijui au hujafanyia utafiti. Hao wapo huko Kila siku wanajua wanachokiongea. Mimi nikiwa chuo mwaka 2012 niliyasikia hayo kwa watu wa mtaani. Wanayajua Sana tu kuwa Kuna mambo yanaendelea huku mtaani si mazuri walisema watoto wa sekondari wanasajiliwa kwenye makundi ya kigaidiTunajua nyumba za ibada wanazozilenga. Lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu anajifunzia ugaidi msikitini, sio Tanzania labda nchi nyingine huko.
Badala ya kutafuta sababu za msingi na vyanzo halisi vya ugaidi wao wanaanza kutafuta chuki na uhasama na dini fulani. Upumbavu nao ni kipaji.
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro ameeleza hayo wakati akizungumzia ziara yake ya siku nne nchini Rwanda na kusema wamejifunza hilo kutoka huko, hivyo ni vyema wapite kwenye maneno hayo kujua malengo ya mafunzo yanayotolewa.
“Tumeona wenzetu hizi shule za dini, kwa mfano haya Madrasa, kwa mfano hizo Sunday schools kuna kikosi maalum kuona mafunzo yanayofundishwa. Je! Mafunzo yale yanatolewa kwa ajili ya uzalendo, au ni mafunzo yanayotolewa kwa ajili ya kuharibu nchi,” amesema Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Sirro ameeleza utaratibu huo ni mzuri na kwamba watawashirikisha viongozi wa dini na timu ya kupambana na makosa ya kigaidi kuona namna ya kupitia mafunzo yanayofundishwa kwenye shule za dini na shule za elimu dunia, hadi ngazi ya vyuo vikuu, kuona kama mafunzo yanawajenga au yanawabomoa vijana.
Aidha, ameitaka jamii kutoa taarifa endapo itabaini kuna mtu ana tabia au mwenendo kinyume na jamii husika, na kwamba sio lazima mhusika afungwe, bali wanaweza kumsaidia kuwa mtu mwema na akaendelea na shughuli zake.
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro ameeleza hayo wakati akizungumzia ziara yake ya siku nne nchini Rwanda na kusema wamejifunza hilo kutoka huko, hivyo ni vyema wapite kwenye maneno hayo kujua malengo ya mafunzo yanayotolewa.
“Tumeona wenzetu hizi shule za dini, kwa mfano haya Madrasa, kwa mfano hizo Sunday schools kuna kikosi maalum kuona mafunzo yanayofundishwa. Je! Mafunzo yale yanatolewa kwa ajili ya uzalendo, au ni mafunzo yanayotolewa kwa ajili ya kuharibu nchi,” amesema Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Sirro ameeleza utaratibu huo ni mzuri na kwamba watawashirikisha viongozi wa dini na timu ya kupambana na makosa ya kigaidi kuona namna ya kupitia mafunzo yanayofundishwa kwenye shule za dini na shule za elimu dunia, hadi ngazi ya vyuo vikuu, kuona kama mafunzo yanawajenga au yanawabomoa vijana.
Aidha, ameitaka jamii kutoa taarifa endapo itabaini kuna mtu ana tabia au mwenendo kinyume na jamii husika, na kwamba sio lazima mhusika afungwe, bali wanaweza kumsaidia kuwa mtu mwema na akaendelea na shughuli zake.
Wewe na wauwaji wenzio hamjachoka kuua watu na kuwatupa baharini sio! Basi tafuteni mbinu nyingine sio hizo za kutoa namba za simu umwambie mtu apige kwani umesikia natafuta namba ya mtu,jinga sana.Wewe unavuta Bangi gheto unawezaje kujua nilichoandika?
Haha Gestapo walikuwa na section ya religious sect ku-monitor makanisa naona tumefika huko sasa polisi wa ulinzi na usalama wa raia ma mali zao wamekuwa political police kama gestapo
Naunga mkono hojahawa vibaka wa tanpol wataishia Kuiba sadaka na matoleo ya misa takatifu ... God forbid
Hizo ni hekaya tu.Fuatilia vizuri si kuongea tu Jambo ambalo hulijui au hujafanyia utafiti. Hao wapo huko Kila siku wanajua wanachokiongea. Mimi nikiwa chuo mwaka 2012 niliyasikia hayo kwa watu wa mtaani. Wanayajua Sana tu kuwa Kuna mambo yanaendelea huku mtaani si mazuri walisema watoto wa sekondari wanasajiliwa kwenye makundi ya kigaidi