IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

Hajui anachokisema, eti kayasikia kwa watu wa mtaani 😁😁😁 uhakika wa jambo hana
Kweli jamii forums imevamiwa. Hivi umesoma nilichokiandika? Nimelichangia mada kwa hoja ya kwamba watanzania tuwe tunafanya utafiti kabla hatujaongea na huo ndio msingi wa hoja yangu. Hivi ni kwa nini tunachangia hoja kwa mihemko na si kwa hoja ambazo tuna uhakika nazo?

Mfano mimi nilitoa mfano wa moja ya tetesi ambazo nilizipata kwa watu kutoka kwenye hizo nyumba za ibada na ndiyo sababu iliyonifanya niseme tuwe tunafuatilia mambo kwa umakini. Pia nikasema hawa watu ambao wapo kwenye hizo field ndio wenye data za hayo mambo.

Hivi wewe upo huku JF unashindwa kujua hata taarifa zilizo mtaani kwako tu lakini unajifanya unajua kila jambo katika nchi hii. Lakini kuna watu ambao wana taarifa nyingi sana katika nchi kutokana na nyadhifa zao mfano Rais atakuwa na taarifa nyingi za muhimu kuhusu nchi lakini wewe huwezi kujua mengi ya msingi kuhusu nchi kuliko Rais wa nchi.
 
Anachokitafuta huyo IGP dhidi ya waisilamu atakipata. Asilete akili za kipolisi kwenye nyumba za Mwenyezi Mungu. Hako kacheo chake kacmfanye akajiona mungu mtu, ipo siku ataingia mtaani na atakutana na wajanja zaidi yake...
Kama hayo hayapo kwenye hizo nyumba za ibada mnahangaika nini sasa.
 
Sheikh Anafundisha Surrat~Zubaa Mpaka Police Ajue
 
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.

Chanzo: Swahili times

My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti...
Nilijua hii choko choko ya ugaidi wanalengwa waislamu, kwanini sijasikia makanisha kutajwa hapo juu. Nashauri waislamu wakafanya dua maalum (halbadiri) kila jeshi ataegusa madrasa atokemee. Akiingia asione mlango wa kutokea !
 
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa lintakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa...
Mambo ya makaburu yanakuja Tanzania, ccm mkwmeeni Siro
 
Mimi mtotot wa nchungaji nimepata wasiwasi sana baada ya kupata taarifa hii kutoka kwa mtu mwenye dhamana ya ulinzi na usalama wa raia wa taifa hili IGP.
Inamaana kanisa nyumba ya Mungu si salama kuliko nje.
 
Wacheze kote ila sio kwa huyu🤣👇
images (99).jpeg
 
Nchi ina viongozi mazwazwa ilibidi baada ya kutoa kauli hiyo aondolewe haraka
 
Mimi mtotot wa nchungaji nimepata wasiwasi sana baada ya kupata taarifa hii kutoka kwa mtu mwenye dhamana ya ulinzi na usalama wa raia wa taifa hili IGP.
Inamaana kanisa nyumba ya Mungu si salama kuliko nje.

Amesema yake. Ili waaamini wasiwe na wasi. Mana Mimi na wewe mutoto wa Mchungaji tuna hakika hakuna baya. Hivi mkuu Unajua kuwa hawa mapolisi wazungu wanafunguo za nyumba zetu. Jaribu kupiga simu wakati hujiwezi kitandani utawaona hawa hapa. Hata milango Yao iko hivyo. Ya Ndani haigusani na ya nje.

By the way. Kuna mambo huwa yanafanyika. Worry out. Only the Guilty are afraid.
 
Siku zote wapo sema tu haikuwa rasmi.

Kama ambavyo wenye biashara kubwa mitaani wanavyojiita machinga lakini sasa ni rasmi na wao wahesabiwe kulipa kodi.
 
Back
Top Bottom