Warejeshe kwanza zile cctv ziangaliwe,waliowaamrisha walinzi wasiwepo kazini mida hiyo,ujio wa Makonda Dodoma jioni ile kabla ya tukio,na vielelezo vingine kadha wa kadha wahusika waweze kukamatwa na kuhojiwa.Kwa nini Lissu hataki kwenda kuhojiwa?
Niliona IGP anapanic. Nikajua hii ni damu ya Lisu inazunguka kichwani mwa IGPodemba kidogo achomwe jicho jana!
Hivi kinachokwepwa haswa ni nini? Kwaiyo mnataka ufanyike uchunguzi pasi kuwahoji wenyewe walikawa eneo la tukio? Dereva mmemkimbiza kwa kisingizio atauawa hamtaki ahojiwe kweli?Huyu hajui anachokisema
Kwa hio tuseme lissu angekufa siku hio na uchunguzi ndio ungeishia siku hio!?...
Kwani likiendelea Kuna mambo yanasimama?[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hili tukio la TL nalo ifike wakati liishe na watu wafanye mambo mengine.
Wakikujibu hili naomba unitag.Endapo Lisu angekuwa ameuawa siku ya tukio IGP angempigia simu nani,?
Camera za nyumbani kwa Kalemani zilitolewa punde baada ya tukio.Hahahaha akwambie nini wakati CCTV camera [emoji327] mlizing'oa [emoji23][emoji23][emoji23] angeanza na walinzi wa mageti kwanza
Kila kukicha Siro ana haribu. Yaani intelijensia yake naonekana ilikuwa ya mabavu. Kuua, kupoteza watu na kesi za kubambikizia.IGP angestaafu tu abakie na heshima yake ya kuwa IGP
Utaratibu wa kufuata mshambuliwa akiwa amefariki ni tofauti na akiwa hai ...maiti unaweza chukua simu yake ... unaweza ukaomba taarifa zake binafsi...unaweza uifanyie postmortem lakin akiwa hai huwezi pata hii access ... Lissu kama anataka kesi yake itatuliwe inabidi ashikiane na polisi la sivyo aendelee kuitumia kama mtajiWakikujibu hili naomba unitag.
Utofauti wake upoje kwenye kupeleleza, mbona billionea msuya akuitwa akasaidie upelelezi na polisi walifanikiwa kuwakamata wauajiKuna utofauti mkubwa kati ya kesi ya mauaji na kesi ya kujeruhiwa
Yani ndiyo sirro anamuita Lissu kituoni umuhoji katikati ya ratiba za mikutano ya kampeni za urais??Utaratibu wa kufuata mshambuliwa akiwa amefariki ni tofauti na akiwa hai ...maiti unaweza chukua simu yake ... unaweza ukaomba taarifa zake binafsi...unaweza uifanyie postmortem lakin akiwa hai huwezi pata hii access ... Lissu kama anataka kesi yake itatuliwe inabidi ashikiane na polisi la sivyo aendelee kuitumia kama mtaji