Yamemkuta madhila makubwa sana bwana yule, kila mtu anajua lakini alipoanza kuyatumia kama mtaji... anafanya watu waanze kumfananisha na wale ombaomba ambao wanatembea kuonyesha vidonda au magonjwa ila wakitokea wasamaria wakuwapeleka hospitali, wanakimbia
Pumbavu kwa nini unamtukana mwenzio kakosea niniMama yako au baba yako au kaka yako au dada yako au hata wewe ungepigiwa.
Nyumbu mkubwa
kwani suala la kuhojiwa wakati wa upelelezi ni la hiari? ukikataa inakuwa basi,?Utaratibu wa kufuata mshambuliwa akiwa amefariki ni tofauti na akiwa hai ...maiti unaweza chukua simu yake ... unaweza ukaomba taarifa zake binafsi...unaweza uifanyie postmortem lakin akiwa hai huwezi pata hii access ... Lissu kama anataka kesi yake itatuliwe inabidi ashikiane na polisi la sivyo aendelee kuitumia kama mtaji
Lisu yeye ni wa kutendewa tu lakini yeye kutenda hataki kabisa..sio sahihi kusema hayo.
..tutangulize UBINADAMU ktk suala hili.
..anachodai Lissu ni kutendewa HAKI.
..bila kumtendea haki, polisi, serikali, au ccm, hawana uhalali wa kumtuhumu Lissu kwamba anatumia tukio lile kama mtaji.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Lisu yeye ni wa kutendewa tu lakini yeye kutenda hataki kabisa
Point yako ni ipi mbona huelewekiAlafu aliposhambuliwa ndiyo akaje kufanya kampeni kwa miezi 3
Nyieee Muogopeni Mungu jamani. NyieeKuna utofauti mkubwa kati ya kesi ya mauaji na kesi ya kujeruhiwa
Mzee unahitaji very broad mind to discern things sio hii unayoitumia kwenye hii kituSijui wananchi wenzangu nani amewaroga??? Angekua anahofia uhai wake angerudi kufanya kampeni na changanyikeni ile tena korona ikiwa ya moto ... nyuma akiwa na mlinzi mmoja mwenye mkuki kama Mmasai??
IGP ambaye baada ya kutuhumiwa na Bashite kuwa ni mla rushwa na anahusika na biashara ya madawa ya kulevya, akawa baridi kama amemwagiwa maji baridi...hatujawahi kuwa na IGP bogus kama afande Sirro...IGP amekosea kutoa kauli za kumkashifu Tundu Lissu.
Kwa kweli Diallo kasema ukweli kuwa akili za wengi wa viongozi wetu wa taasisi mbali mbali inafaa zichunguzwe kwani inawezekana wengi wana vyeti vya Mirembe...kwa kutoa kauli hovyo kama hiyo, IGP Sirro ni mojawapo!..kusema Lissu anatumia hilo tukio la kushambuliwa kujipatia kipato na kulelewa na wazungu sio sahihi.
IGP ambaye baada ya kutuhumiwa na Bashite kuwa ni mla rushwa na anahusika na biashara ya madawa ya kulevya, akawa baridi kama amemwagiwa maji baridi...hatujawahi kuwa na IGP bogus kama afande Sirro.
Kwa kweli Diallo kasema ukweli kuwa akili za wengi wa viongozi wetu wa taasisi mbali mbali inafaa zichunguzwe kwani inawezekana wengi wana vyeti vya Mirembe...kwa kutoa kauli hovyo kama hiyo, IGP Sirro ni mojawapo!
Siro nimhuni kama wahuni wengine.Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Siro mhuni kama wahuni wengine.Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.
Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358
Namuhurumia aliyekushauri ukimbie shule.Unafuatiliwa alafu unakuja kufanya kampeni
Yaani kuna majitu ni mapopoma acha kabisa.Taarifa ya kufuatiliwa aliitoa kabla hajashambuliwa, usiwe popoma Kiasi hicho.