Yamemkuta madhila makubwa sana bwana yule, kila mtu anajua lakini alipoanza kuyatumia kama mtaji... anafanya watu waanze kumfananisha na wale ombaomba ambao wanatembea kuonyesha vidonda au magonjwa ila wakitokea wasamaria wakuwapeleka hospitali, wanakimbia
..sio sahihi kusema hayo.
..tutangulize UBINADAMU ktk suala hili.
..anachodai Lissu ni kutendewa HAKI.
..bila kumtendea haki, polisi, serikali, au ccm, hawana uhalali wa kumtuhumu Lissu kwamba anatumia tukio lile kama mtaji.