IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

Yamemkuta madhila makubwa sana bwana yule, kila mtu anajua lakini alipoanza kuyatumia kama mtaji... anafanya watu waanze kumfananisha na wale ombaomba ambao wanatembea kuonyesha vidonda au magonjwa ila wakitokea wasamaria wakuwapeleka hospitali, wanakimbia

..sio sahihi kusema hayo.

..tutangulize UBINADAMU ktk suala hili.

..anachodai Lissu ni kutendewa HAKI.

..bila kumtendea haki, polisi, serikali, au ccm, hawana uhalali wa kumtuhumu Lissu kwamba anatumia tukio lile kama mtaji.
 
Utaratibu wa kufuata mshambuliwa akiwa amefariki ni tofauti na akiwa hai ...maiti unaweza chukua simu yake ... unaweza ukaomba taarifa zake binafsi...unaweza uifanyie postmortem lakin akiwa hai huwezi pata hii access ... Lissu kama anataka kesi yake itatuliwe inabidi ashikiane na polisi la sivyo aendelee kuitumia kama mtaji
kwani suala la kuhojiwa wakati wa upelelezi ni la hiari? ukikataa inakuwa basi,?
 
IGP alikuwa anahojiwa serious ndio akasema hivyo, au alikuwa kwenye maigizo?
 
..sio sahihi kusema hayo.

..tutangulize UBINADAMU ktk suala hili.

..anachodai Lissu ni kutendewa HAKI.

..bila kumtendea haki, polisi, serikali, au ccm, hawana uhalali wa kumtuhumu Lissu kwamba anatumia tukio lile kama mtaji.
Lisu yeye ni wa kutendewa tu lakini yeye kutenda hataki kabisa
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.

Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.
View attachment 1849358

😂😂 viongozi wa serikali wajifunze ukiongelea swala la lissu unaonekana mjinga huwezi kushinda au kuonekana bora kwenye hili swala. Kubalini kuchemsha kweli hili basi yaishe
 
Kuna haja ya kuchunguza Afya ya akili kwa viongozi wanaoongoza taasisi za serikali isije ikawa tunaongozwa na vichaa wenye mafaili mirembe kama alivyosema Diallo
 
Lisu yeye ni wa kutendewa tu lakini yeye kutenda hataki kabisa

..IGP amekosea kutoa kauli za kumkashifu Tundu Lissu.

..kusema Lissu anatumia hilo tukio la kushambuliwa kujipatia kipato na kulelewa na wazungu sio sahihi.
 
Sijui wananchi wenzangu nani amewaroga??? Angekua anahofia uhai wake angerudi kufanya kampeni na changanyikeni ile tena korona ikiwa ya moto ... nyuma akiwa na mlinzi mmoja mwenye mkuki kama Mmasai??
Mzee unahitaji very broad mind to discern things sio hii unayoitumia kwenye hii kitu
 
..IGP amekosea kutoa kauli za kumkashifu Tundu Lissu.
IGP ambaye baada ya kutuhumiwa na Bashite kuwa ni mla rushwa na anahusika na biashara ya madawa ya kulevya, akawa baridi kama amemwagiwa maji baridi...hatujawahi kuwa na IGP bogus kama afande Sirro.
..kusema Lissu anatumia hilo tukio la kushambuliwa kujipatia kipato na kulelewa na wazungu sio sahihi.
Kwa kweli Diallo kasema ukweli kuwa akili za wengi wa viongozi wetu wa taasisi mbali mbali inafaa zichunguzwe kwani inawezekana wengi wana vyeti vya Mirembe...kwa kutoa kauli hovyo kama hiyo, IGP Sirro ni mojawapo!
 
Waziri wa mambo ya ndani, wakati huo Mwigulu Nchemba, alisema kwamba gari yenye namba ambazo Tundu Lissu alidai inamfuatilia ilionekana Arusha.

..Na waziri wa mambo ya ndani akadai kwamba wamewahoji wahusika na wamejiridhisha kwamba gari hiyo haikuwahi kufika D'Salaam.

..IGP Sirro anadai Lissu hakuwahi kutoa taarifa kituo cha polisi kuhusu kufuatiliwa. Vilevile IGP anadai polisi hawana taarifa zozote kuhusu Lissu kufuatiliwa na " watu wasiojulikana. "

..Sasa katika mazingira kama hayo tumuamini nani? Je, Waziri wa mambo ya ndani alidanganya? Je, IGP anadanganya?
 
IGP ambaye baada ya kutuhumiwa na Bashite kuwa ni mla rushwa na anahusika na biashara ya madawa ya kulevya, akawa baridi kama amemwagiwa maji baridi...hatujawahi kuwa na IGP bogus kama afande Sirro.

Kwa kweli Diallo kasema ukweli kuwa akili za wengi wa viongozi wetu wa taasisi mbali mbali inafaa zichunguzwe kwani inawezekana wengi wana vyeti vya Mirembe...kwa kutoa kauli hovyo kama hiyo, IGP Sirro ni mojawapo!

lissu ni rika la baba yake makonda,ulitaka amjibu ule upuuzi halafu iweje!!!!kama unakumbuka alipanda cheo baada ya hapo,hata huyo lissu anajua kabisa hatajibiwa baada ya hapa.

kama viongozi wengi wa ccm ni wagonjwa,vipi dialo mwenyewe!! amerhibitishwa na nani kwamba yuko timamu??

IGP kaongea ambacho alikifanya,lakini kama kawa nyumbu,mbuzi na nguruwe ni mwendo wa kelele mwanzo mwisho.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo.

Sirro amesema Tundu Lissu anatumia hilo shambulio kama njia ya kujipatia kipato na kuweza kulelewa na wazungu Ulaya.

View attachment 1849358
Siro nimhuni kama wahuni wengine.
 
Siro mhuni kama wahuni wengine.
 
Back
Top Bottom