IGP Sirro: Polisi hatuna taarifa kuwa Tundu Lissu ametishiwa kuuawa

IGP Sirro: Polisi hatuna taarifa kuwa Tundu Lissu ametishiwa kuuawa

Kama hamkuwa na taarifa za kushambuliwa kwake Jijini Dodoma sishangai kutokuwa na taarifa za vitisho. Lakini ikitokea kwa mtu wa CCM taarifa mnazo na watuhumiwa hujulikana.

Elewa Igp kuna maisha ya duniani ambayo hutawaliwa na dharau na kiburi cha madaraka lakini kuna maisha baada ya kuondoka hapa duniani.
 
Halafu unakuta mtu aliyetoa maagizo ya kufanya huo uovu,anaingia kanisani like a saint na kushiriki sacrament kabisa!
Kubwa Lao ndo katili balaa kanisani anakula sakramenti utafikiri mtu kumbe shetani muuwaji mwongo mgombanishi kiburi mtu wa kudharau visasi ndi moyo wake umetamalaki mpenda sifa asizostahiri anahisi atatawala Milele kama mobutu seseseko. Anasema wenzie vyeti feki yeye chaguzi zake matokeo fekifeki tu na anajua
 
Sahihi, Lisu ni mwanasheria anajua taratibu za kuchukua. Badala ya kwenda kwenye vyombo husika kutoa taarifa analalama mitandaoni. Kwa nini asitoe taarifa polisi. Anajua akienda polisi ataambiwa aonyeshe vielelezo vya kutishiwa maisha. Vielelezo vinaweza kuwa ni msg, alizotumiwa au call record.

Ni hakika kwamba hapo yeye anazusha ili apate huruma. Namshauri awe makini na mabwana zake maana ameshindwa kuwakamilishia lengo lake. Kwa kauli hiyo inaweza kuwapa hatua mbele ya kumdhuru ili kuaminisha umma kwamba kadhuriwa na serikali.
 
Duhhhhh! Basi sawa, ngoja tusubiri kusikia pia ubalozi wa ujerumani pia watasema nini
Nadhani hata ubalozi watakuwa wamemshtukia...lengo ni kashaona Hana dili lolote Tanzania Sasa anataka akaishi ubelgiji, hata huko ubelgiji wakifuatilia vizuri hata huo Urais hawampi...kwa lipi Sasa...hivi inakuwaje mtu anayetafutwa yaani wanted.

Akaja akafanya kampeni nchini mwake kwa siku 60 kwa usalama wa Hali ya juu na kulindwa..then eti baada tu ya kuona kashindwa anatunga uongo watu wanataka kumuua...hahahaha..hata mtoto wa nursery school atamcheka..
 
Kubwa Lao ndo katili balaa kanisani anakula sakramenti utafikiri mtu kumbe shetani muuwaji mwongo mgombanishi kiburi mtu wa kudharau visasi ndi moyo wake umetamalaki mpenda sifa asizostahiri anahisi atatawala Milele kama mobutu seseseko. Anasema wenzie vyeti feki yeye chaguzi zake matokeo fekifeki tu na anajua
Hahaha jomba...we ndie yule aliyekua anapiga dili za kontena kule bandarini au siyo wewe...umefanana nae. Nenda hata ukalime nyanya kule Mbalizi jomba..hizo dili. Hazirudi tena
 
Nadhani hata ubalozi watakuwa wamemshtukia...lengo ni kashaona Hana dili lolote Tanzania Sasa anataka akaishi ubelgiji...hata huko ubelgiji wakifuatilia vizuri hata huo Urais hawampi...kwa lipi Sasa...hivi inakuwaje mtu anayetafutwa yaani wanted .akaja akafanya kampeni nchini mwake kwa siku 60 kwa usalama wa Hali ya juu na kulindwa..then eti baada tu ya kuona kashindwa anatunga uongo watu wanataka kumuua...hahahaha..hata mtoto wa nursery school atamcheka..
Tuliza papa
 
Usishangae kuwa polisi haina taarifa kuwa alishawahi kupigwa risasi.

Shit!
Ni kwanini walimkamata Ubalozini na kumpeleka Central? Ni kwanini walimuachia kwa shinikizo la maofisa wa Ubalozi?
 
Lisu msanii tu, anataka kukimbia kesi zake!
Iweje afanye kampeni miezi 2 bila kuchomwa na mwiba, leo analeta story za kuuana!
Aliwahi kusema hivi hivi kuwa kuna watu wanamfuatilia wamuue, mkamkebehi matokeo yake akashambuliwa kweli! Kwanini tusimuamini wakati tayari ilishatokea kabla?

Wakati wa kampeni ilni ngumu kumshambulia kwani mgombea urais anapaswa kupewa ulinzi na jeshi la polisi, lakini pia anaambatana na kundi kubwa muda wote!

Tumieni akili zenu!
 
Unajua historia ya ben saanane? Mpaka wanamuua? Hao hao askari alireport kwao.
Kumbe ndio hao hao waliokuja kumuua.
Washenzi tu.
Ila hata wao watakuja kufa tu
Unamuua mwenzako kama wewe utaishi milele!Mkapa yuko wapi leo? Ameenda kukutana na wale aliowaua Zanzibar!
 
Mbowe ni mshukiwa wa kwanza kwenye vitisho kwa Lissu.
 
Sirro utashimdwa vipi kujua mpango nb huu haramu wakati watekelezaji ni askari wako?
 
Nadhani hata ubalozi watakuwa wamemshtukia...lengo ni kashaona Hana dili lolote Tanzania Sasa anataka akaishi ubelgiji...hata huko ubelgiji wakifuatilia vizuri hata huo Urais hawampi...kwa lipi Sasa...hivi inakuwaje mtu anayetafutwa yaani wanted.

Akaja akafanya kampeni nchini mwake kwa siku 60 kwa usalama wa Hali ya juu na kulindwa..then eti baada tu ya kuona kashindwa anatunga uongo watu wanataka kumuua...hahahaha..hata mtoto wa nursery school atamcheka..
Tundu keshanasa mtegoni kwa uroho wake wa urais, sasa anahaha kujikwamua.
 
Mimi hainiingii akilini kuwa lissu anatishiwa kuuawa,hao wauaji wakulikuwa wapi kumtishia au hata kumuua kabisa wakati wa kampeni hadi wasubiri muda huu ambapo mtu mwenyewe ana mawazo na stress nyingi,

Mimi naamini ni wafuasi wa chama cha CHADEMA ambao aliwaaminisha kuwa anao uwezo wa kuchukua nchi na kukipatia chama wabunge wengi matokeo yake kakididimiza chama,sasa hawa wafuasi kindaki ndaki wanahasira juu yake na ndo hao wanataka roho yake.
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Lissu msanii tu, anataka kukimbia kesi zake!
Iweje afanye kampeni miezi 2 bila kuchomwa na mwiba, leo analeta story za kuuana!
Ipunguzie nafsi yako unafiki! Sidhani Kama huu unafiki unaouvaa Kama unakuongezea lolote! Kama una akili timamu utanielewa na kujirekebisha!
 
Back
Top Bottom