Ukimaanisha nafasi ya urais haimfai yeyote zaidi ya magu? Hebu funguka kunasa huko kunafananaje?Tundu keshanasa mtegoni kwa uroho wake wa urais, sasa anahaha kujikwamua.
Ukimaanisha nafasi ya urais haimfai yeyote zaidi ya magu? Hebu funguka kunasa huko kunafananaje?Tundu keshanasa mtegoni kwa uroho wake wa urais, sasa anahaha kujikwamua.
Kajileta mwenyewe.Ukimaanisha nafasi ya urais haimfai yeyote zaidi ya magu? Hebu funguka kunasa huko kunafananaje?
Ipo siku isiyo na jina atakuja kuumbuka na kuhukumiwa kwa matendo take hapahapa duniani kwani Mungu asiyedhihakiwa hujibu ukiwa ungali hai!Halafu unakuta mtu aliyetoa maagizo ya kufanya huo uovu,anaingia kanisani like a saint na kushiriki sacrament kabisa!
.Wewe ndo unaakili sanaaa?Ipunguzie nafsi yako unafiki! Sidhani Kama huu unafiki unaouvaa Kama unakuongezea lolote! Kama una akili timamu utanielewa na kujirekebisha!
Nilikuwa nakusoma humu nikiamini u muungwana kumbe Bure kabisa! Katiba ya jmt ipo wazi kuhusu kugombea nafasi yoyote ya kisiasa kwa kutaja vigezo! Ulishawahi kuvisoma vifungu hivyo? Na Kama ndiyo, Lissu alikosa sifa ipi ya kikatiba iliyomzuia kugombea?Kajileta mwenyewe.
Jisome na uone unavyounganisha maneno! Ni kweli huna akili kabisa!.Wewe ndo unaakili sanaaa?
Na mimi nilikuwa nakusoma humu nikiamini u muungwana kumbe bure kabisa!Nilikuwa nakusoma humu nikiamini u muungwana kumbe Bure kabisa!
Naona mkuu wa kikosi kazi cha mauwaji umekuja kuleta blablaLissu msanii tu, anataka kukimbia kesi zake!
Iweje afanye kampeni miezi 2 bila kuchomwa na mwiba, leo analeta story za kuuana!
Hata kipindi kile mlibisha sana humu kabla ya kwenda kumpiga risasi dodomaKesi zake Kisutu lini? Kampeni zimeisha na urais amekosa aache janja janja ya kutoroka nchini. Wadhamini wake wamfuate hapo Ubalozi wakamkabidhi Kisutu kazi iendelee.
Aache kuuawa wakati wa kampeni alizofanya hadi usiku aje atishiwe saizi akiwa loser. Ana madhara gani? Na hao Wajerumani wehu tu na hawatafanikiwa kuichafua Tanzania.
Mwendo ni uleule wauwaji wakubwa nyie. Hata kipindi kile mlijaa mitandaoni kubishabisha mkaenda kumpiga risasiAna kesi kaambiwa aripoti mahakamani tarehe 30 mwezi huu Sasa kaona Amsterdam hataki hizi kesi anataka kesi kuhusu kuibiwa kura kaona aingie mitini.
Hata siku anaenda ubelgiji apelekwe na gari la balozi.
Mnatetea ujinga hapa huku mkijua fika nyie ndio wauwaji.Ninyi mnateswa na watengeneza visa ili wapate uhalali wa kuwa Asylum Seekers!!! Na mtateseka nao kweli!! Wamewafanya ngazi bahati mbaya mnajiona ninyi paa la Nyumba!!!
Yeye ndio victim wa tukio la Dom muulize toka amerudi amewahi kwenda kutoa maelezo yake kuhusiana na kilichompata?. Je unajua kwamba alichoweza kufanya ni kwenda central police Dom kuomba apewe gari lake na si kujua kuhusu progress ya upelelezi wa kesi yake?Hata kipindi kile mlibisha sana humu kabla ya kwenda kumpiga risasi dodoma
Walisema wanamtaka atoe maelezo jinsi alivyoshambuliwa! Wao waliona kama igizo la sinema ya Rambo kwani muigizaji hapotezi fahamu.Si ajabu hata ukiwauliza kama wana taarifa za Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 wakakwambia hawana taarifa.
Hakuna unafikiIpunguzie nafsi yako unafiki! Sidhani Kama huu unafiki unaouvaa Kama unakuongezea lolote! Kama una akili timamu utanielewa na kujirekebisha!