IGP Sirro: Polisi hatuna taarifa kuwa Tundu Lissu ametishiwa kuuawa

IGP Sirro: Polisi hatuna taarifa kuwa Tundu Lissu ametishiwa kuuawa

Aliwahi kusema hivi hivi kuwa kuna watu wanamfuatilia wamuue,mkamkebehi matokeo yake akashambuliwa kweli!
Kwanini tusimuamini wakati tayari ilishatokea kabla?
Wakati wa kampeni ilni ngumu kumshambulia kwani mgombea urais anapaswa kupewa ulinzi na jeshi la polisi,lakini pia anaambatana na kundi kubwa muda wote!
Tumieni akili zenu!
Tangu lini risasi zinapigwa upande wa kushoto matobo yapo upande wa kulia na dereva wake upande wa kulia hana mchubuko wa risasi?
Na dereva anafichwa kila mahali?

Tumieni akili, Lisu ni comedian
 
Tangu lini risasi zinapigwa upande wa kushoto matobo yapo upande wa kulia na dereva wake upande wa kulia hana mchubuko wa risasi?
Na dereva anafichwa kila mahali?
Tumieni akili, Lisu ni comedian
Aisee,wewe nawe umetokea wapi? Muulize Mwigulu aliyemsindikiza Lissu kupandishwa ndege, au muulize Samia Suluhu aliyeenda Nairobi kumuona!

Hizi akili za kuvukia barabara ziache huko huko Facebook!
 
Hahaha ni kawaida yao, hata alipopigwa risasi walisema wanamtaka Lisu na Dereva wake wawahoji, zaidi ya hapo hawakuwa na ushahidi wala uwezo wakupata ushahidi.

Hili sio jipya kwa serikali hii.
 
Siro acha unafiki, hata vitisho vya mwanaharakati Musiba huzioni kwenye mitandao? Taarifa ya kupigwa risasi Lisu ulizipata wapi, ulifanya nini hadi wakati huu? Toa majibu
 
Hakuna unafiki
Lisu hana uzalendo kwa nchi yake
Anaishi kwa uongouongo tu
Ni yupi mkweli unayemjua ukiweka pembeni ushabiki na itikadi? Kama Hawa viongozi wa dini mnaokwenda kuabudu na kutubu kwao wamegeuka kuwa waongo watakatifu itakuwa huyo Lissu unayemtuhumu?
 
Huo ndio ukweli, pia Mbowe nae hamtaki kasikia anataka uenyekiti hivyo lazima afukuzwe kama Zitto chadema au akimbie kama sumaye, Mwambe, au afe Kama Wangwe. Hai wote waliutaka uenyekiti.
Kundi la 'wakaskazini' walimkosakosa ile mara ya kwanza baada ya kuona anatishia maslahi yao ndani ya chama, kama anautaka uenyekiti basi hapana shaka jamaa hawatarudia makosa!
 
Taarifa za kuwepo maandamano na kuzuia mikutano kutokana na intelijensia wanazo ila za vitisho hawa! So Suprising!
 
. Kweli wewe hujielewi kabisa
Naijua jf Bado uko kiunoni mwa babako
Na unaonekana Ni maskini
Hayo ndiyo yaliyojaa ndani ya ubongo wako so, hushangazi! Yaani ni Bora huyo unayemuita baba angejipigia punyeto tu kuliko kumzalisha mamako na kuzaliwa wewe usiyejielewa! Anyway, shukuru kwa kuzaliwa takataka!
 
Hivi unajua kuwa wazazi wako wanajuta kukuzaa sh..a wewe jielewe kubwa zima jinga kubwa

Kima 2 ndo Sichongi naye
 
Hivi unajua kuwa wazazi wako wanajuta kukuzaa sh..a wewe jielewe kubwa zima jinga kubwa

Kima 2 ndo Sichongi naye
Dogo Rudi fb humu utakondesha vidole!
Hivi hii kazi ya kuwatukana watu humu ndio uliyotumwa na polepole? Angalia, utanyimwa kaujira ka buku Sana na hujajipanga namna ya kuishi bila hiyo!
 
Hata kupigwa risasi kwa Lissu Mambosasa anasikia tu kwa watu, hana uhakika kama kweli alipigwa risasi.

#Sinemazetu #Channel No. CCM
 
Dogo Rudi fb humu utakondesha vidole!
Hivi hii kazi ya kuwatukana watu humu ndio uliyotumwa na polepole? Angalia, utanyimwa kaujira ka buku Sana na hujajipanga namna ya kuishi bila hiyo!
Cjawahi kufanya kazi na Mwafrica keshiyo usijitekenye mwenyewe utafute kucheka

Mmiliki wa FB ndo tajiri dunia inamjua wewe ambaye hutumii unajulikana hata na mungu?
Balozi wa Danduri wewe
 
Mimi hainiingii akilini kuwa lissu anatishiwa kuuawa,hao wauaji wakulikuwa wapi kumtishia au hata kumuua kabisa wakati wa kampeni hadi wasubiri muda huu ambapo mtu mwenyewe ana mawazo na stress nyingi.

Mimi naamini ni wafuasi wa chama cha CHADEMA ambao aliwaaminisha kuwa anao uwezo wa kuchukua nchi na kukipatia chama wabunge wengi matokeo yake kakididimiza chama, sasa hawa wafuasi kindaki ndaki wanahasira juu yake na ndo hao wanataka roho yake.
Idiotic comment ever!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa sasa una upofu wa fikra, ngumu kung'amua!!
 
Kubwa Lao ndo katili balaa kanisani anakula sakramenti utafikiri mtu kumbe shetani muuwaji mwongo mgombanishi kiburi mtu wa kudharau visasi ndi moyo wake umetamalaki mpenda sifa asizostahiri anahisi atatawala Milele kama mobutu seseseko. Anasema wenzie vyeti feki yeye chaguzi zake matokeo fekifeki tu na anajua
Kanisani si eneo takatifu...madhabahu ni eneo husafisha waliojaa dhuluma..

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
POLISI HATUNA TAARIFA KUWA LISSU AMETISHIWA KUUAWA​

Jeshi la Polisi limesema halina taarifa ya madai yaliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa ametishiwa kuuawa na watu ambao hawajajitambulisha.

Akizungumza na Gazeti ya Mwananchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema kuwa mwanasiasa huyo hajatoa taarifa hiyo kwenye chombo cha usalama na wala hawana taarifa za yeye kukimbilia kwenye Ubalozi wa Ujerumani jijini Dar es Salaaam.

"Mimi nasikia kama ulivyosikia wewe. Muulize mwenyewe kama ameshawasiliana na chombo chochote cha usalama kama kuna shida hiyo," IGP Sirro ameliambia gazeti hilo.

Sirro ameongeza kuwa wamesikia kwamba mwanasiasa huyo aliyegombea Urais wa Tanzania anahojiwa na Ubalozi wa Ujerumani, lakini hajasema chochote.

"Yeye anajua nipo, haji kunijulisha. Tunakutana naye katika magazeti. Si anatafuta hifadhi, sisi tutasemaje?"

Akizungumza na vyombo vya habari kwa nyakati tofauti Lissu amesema aliomba hifadhi ubalozini hapo tangu Jumatatu na kwamba ataendelea kukaa humo hadi hapo usalama wake utakapoimarika.

Usipitwe na habari na matukio like page yetu
Anaongea hovyo utafikiria kala kichuri chenye uharo wa binadamu
 
Tatizo ni kwamba walisema haya haya kabla ya Lissu kupigwa risasi na mpaka leo hakuna lipya
 
Back
Top Bottom