Kubwa Lao ndo katili balaa kanisani anakula sakramenti utafikiri mtu kumbe shetani muuwaji mwongo mgombanishi kiburi mtu wa kudharau visasi ndi moyo wake umetamalaki mpenda sifa asizostahiri anahisi atatawala Milele kama mobutu seseseko. Anasema wenzie vyeti feki yeye chaguzi zake matokeo fekifeki tu na anajuaHalafu unakuta mtu aliyetoa maagizo ya kufanya huo uovu,anaingia kanisani like a saint na kushiriki sacrament kabisa!
Nadhani hata ubalozi watakuwa wamemshtukia...lengo ni kashaona Hana dili lolote Tanzania Sasa anataka akaishi ubelgiji, hata huko ubelgiji wakifuatilia vizuri hata huo Urais hawampi...kwa lipi Sasa...hivi inakuwaje mtu anayetafutwa yaani wanted.Duhhhhh! Basi sawa, ngoja tusubiri kusikia pia ubalozi wa ujerumani pia watasema nini
Hahaha jomba...we ndie yule aliyekua anapiga dili za kontena kule bandarini au siyo wewe...umefanana nae. Nenda hata ukalime nyanya kule Mbalizi jomba..hizo dili. Hazirudi tenaKubwa Lao ndo katili balaa kanisani anakula sakramenti utafikiri mtu kumbe shetani muuwaji mwongo mgombanishi kiburi mtu wa kudharau visasi ndi moyo wake umetamalaki mpenda sifa asizostahiri anahisi atatawala Milele kama mobutu seseseko. Anasema wenzie vyeti feki yeye chaguzi zake matokeo fekifeki tu na anajua
Tuliza papaNadhani hata ubalozi watakuwa wamemshtukia...lengo ni kashaona Hana dili lolote Tanzania Sasa anataka akaishi ubelgiji...hata huko ubelgiji wakifuatilia vizuri hata huo Urais hawampi...kwa lipi Sasa...hivi inakuwaje mtu anayetafutwa yaani wanted .akaja akafanya kampeni nchini mwake kwa siku 60 kwa usalama wa Hali ya juu na kulindwa..then eti baada tu ya kuona kashindwa anatunga uongo watu wanataka kumuua...hahahaha..hata mtoto wa nursery school atamcheka..
Aliwahi kusema hivi hivi kuwa kuna watu wanamfuatilia wamuue, mkamkebehi matokeo yake akashambuliwa kweli! Kwanini tusimuamini wakati tayari ilishatokea kabla?Lisu msanii tu, anataka kukimbia kesi zake!
Iweje afanye kampeni miezi 2 bila kuchomwa na mwiba, leo analeta story za kuuana!
Wanasema Hawana taarifa kwa sababu hao hao ndio wanamtishia kumuua.Ni kwanini walimkamata Ubalozini na kumpeleka Central? Ni kwanini walimuachia kwa shinikizo la maofisa wa Ubalozi?
Unamuua mwenzako kama wewe utaishi milele!Mkapa yuko wapi leo? Ameenda kukutana na wale aliowaua Zanzibar!Unajua historia ya ben saanane? Mpaka wanamuua? Hao hao askari alireport kwao.
Kumbe ndio hao hao waliokuja kumuua.
Washenzi tu.
Ila hata wao watakuja kufa tu
Si walimkamata nje ya ubalozi wa Ujerumani, wakaenda kumhoji, lazima aliwambia kisa cha yeye kutaka hifadhi ubalozini. Wasijifanye hawana taarifa.Kwa hiyo ole ilikuwa ni kiki ua kuondokea baada ya kushindwa ichaguzi sio?
Ninyi mnateswa na watengeneza visa ili wapate uhalali wa kuwa Asylum Seekers! Na mtateseka nao kweli!! Wamewafanya ngazi bahati mbaya mnajiona ninyi paa la Nyumba!Polisi hawa nani wa kuwaamini?
Tundu keshanasa mtegoni kwa uroho wake wa urais, sasa anahaha kujikwamua.Nadhani hata ubalozi watakuwa wamemshtukia...lengo ni kashaona Hana dili lolote Tanzania Sasa anataka akaishi ubelgiji...hata huko ubelgiji wakifuatilia vizuri hata huo Urais hawampi...kwa lipi Sasa...hivi inakuwaje mtu anayetafutwa yaani wanted.
Akaja akafanya kampeni nchini mwake kwa siku 60 kwa usalama wa Hali ya juu na kulindwa..then eti baada tu ya kuona kashindwa anatunga uongo watu wanataka kumuua...hahahaha..hata mtoto wa nursery school atamcheka..
Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.Mimi hainiingii akilini kuwa lissu anatishiwa kuuawa,hao wauaji wakulikuwa wapi kumtishia au hata kumuua kabisa wakati wa kampeni hadi wasubiri muda huu ambapo mtu mwenyewe ana mawazo na stress nyingi,
Mimi naamini ni wafuasi wa chama cha CHADEMA ambao aliwaaminisha kuwa anao uwezo wa kuchukua nchi na kukipatia chama wabunge wengi matokeo yake kakididimiza chama,sasa hawa wafuasi kindaki ndaki wanahasira juu yake na ndo hao wanataka roho yake.
Ipunguzie nafsi yako unafiki! Sidhani Kama huu unafiki unaouvaa Kama unakuongezea lolote! Kama una akili timamu utanielewa na kujirekebisha!Lissu msanii tu, anataka kukimbia kesi zake!
Iweje afanye kampeni miezi 2 bila kuchomwa na mwiba, leo analeta story za kuuana!