Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Taratibu gani za Serikali hazikufuatwa???Wewe unataka serikali ifanye kama anayotoka lisu na watu wake wakati wao hawataki kufata utaratibu wa serikali. unajua kuna vitu vingine nibora angevifanya raia wa kawaida ambaye hajui tratibu zinakuwaje lakini sio kwa wakina lissu.
Hata sheria ya NGOs hujui!Ina maana siku hizi donors kutuma hela kwa wadau hairuusiwi tena kwan mboga mboga mnaogopa nini
Na IHP hakuwaita CCM awahoji kuwa ,pesa ya kununua wapinzani wamezitoa wapi?Kwani Fungu la Ununuzi wa Wabunge na Madiwani kwa Jina la "Kuunga Juhudi" lilitoka wapi?
IGP Sirro ndo alitoa ukomo wa budget ya kituo?IGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje.
Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takribani Tsh bilioni 6 kutoka nje hivyo Jeshi linataka kujiridhisha uhalali wa fedha hizo zisijekutumika kwa nia ovu ikiwemo ugaidi na utakatishaji.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Maendeleo hayana vyama!
Za matibabuTaratibu gani za Serikali hazikufuatwa???
Waza nje ya box, kwa nini hela hizo ziingizwe mwaka huu wa uchaguzi? Halafu kosa la Sirro ni kutuhabarisha?Ina maana siku hizi donors kutuma hela kwa wadau hairuusiwi tena kwan mboga mboga mnaogopa nini
Bn 6 kuna vituo vya afya vya maana 12Hela zimetoka kwa mabwana zenu kwa ajili ya kampeni itapendeza zaidi serikali izitaifishe [emoji23]
Kama hawapendi wala wasingekisajili.KITUO CHA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU, kuna watu hawapendi kabisa kusikia hilo neno.
Rudi shule kajifunze namna ya kujenga hojaKikawaida walipaswa kutumiwa shilingi ngapi?
Laki tano, milioni moja , kumi au vipi?
Hama basi.Nchi hii imekuwa ya hovyo kabisa
CCM inahusikaje hapo?Ndio maana CCM wanafeli!
MkuuHawa Polisi wakikwambia 10 usishike hata moja. Ndiyo hawa hawa wanabambikia kesi FAKE Watanzania wengi wasio na hatia hivyo hata huu ushahidi wao pia unaweza kuwa ni FAKE. Kumbukeni kesi chungu nzima FAKE walizobambikiwa Watanzania mbali mbali ikiwemo yule Kabendera na kusababisha kifo cha mama yake mzazi.
johnthebaptist,
Mrakuwa stunned na matokeo ya uchunguzi mtachoka.Dah hii ni Tanzania.Kaka yangu Ole Ngurumwa hata wakizuia Pesa.lazima tutawanyoosha tu kwenye sanduku la kura ije jua ije mvua.
Sometime transfers kama hizi hutumika katika utakatishaji pesa na kufund vikundi vya kigaidi.
Siyo jambo baya kuchunguza ila tu kwa nchi yetu ilipofikia itaonekana kama vile kuna rafu inataka kuchezwa.
Polisi wetu kumbe wanaweza kuchunguza matukio ya watu kupokea fedha kutoka nje,na hawana uwezo wa kuchunguza matukio ya mauaji yanayofanyika hapa hapa Tz na hata jaribio la mauaji ya Lisu?Hawa Polisi wakikwambia 10 usishike hata moja. Ndiyo hawa hawa wanabambikia kesi FAKE Watanzania wengi wasio na hatia hivyo hata huu ushahidi wao pia unaweza kuwa ni FAKE. Kumbukeni kesi chungu nzima FAKE walizobambikiwa Watanzania mbali mbali ikiwemo yule Kabendera na kusababisha kifo cha mama yake mzazi.
johnthebaptist,
Kuchunguza sawa, lakini kwa nini wafunge account za asasi tena kinyume cha sheria kana kwamba kulikuwa na dharura?Sometime transfers kama hizi hutumika katika utakatishaji pesa na kufund vikundi vya kigaidi.
Siyo jambo baya kuchunguza ila tu kwa nchi yetu ilipofikia itaonekana kama vile kuna rafu inataka kuchezwa.
Naona una hofu hadi unakaribia kuchanganyikiwa. Kama hujui miradi yao umezuiliwa kwenye ofisini kwao kuangalia miradi yao??? Umeshindwa hata kufungua website yao tu????
Bilioni sita pesa ya mboga nchi gani?