Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania.
βNitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa amani asijaribu atulie tuache viongozi wetu waishi vizuri lakini tutashughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote vitakavyokwenda kinyume na maadiliβ
- Amesema IGP Camillus Wambura.
========
Mama SSH hata kama ulikua na hasira hapa ungetufikiria watoto wako aisee maisha yatakua very magumu
Polisi wa nchi za wenzetu wapo kwa ajili ya kulinda raia na mali zao. Sisi wa kwetu jukumu lao kubwa ni kuwalinda viongozi wa ccm waliopo madarakani na pia kukilinda chama chao ili kibakie madarakani kizazi na kizazi.
Wala haishangaizi kuona wakiitwa na baadhi ya watu; policcm.
Yeye ameteuliwa kuhakikisha viongozi wanaishi vizuri, wasikosolewe, wasikemewe and the like! Maovu yote yaliyobaki Ruksa, ali mradi usiwaguse viongozi!
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania...
Viongozi wa mtumishi wa umma yeyote yule anayefanya kazi ndani ya JMT ni Watanzania wote ambao Katiba ya JMT imempa mtumishi huyo mamlaka na majukumu ya kuwatumikia
Sasa mnaopinga onyo la IGP mna ajenda ya kuumiza viongozi kwani? Ni sahihi viongozi wetu wanahitaji utulivu ili watumikie taifa na sisi raia wao! Ni nini shida hapo? π€·ββοΈπ€·ββοΈπ€·ββοΈ
Sasa mnaopinga onyo la IGP mna ajenda ya kuumiza viongozi kwani? Ni sahihi viongozi wetu wanahitaji utulivu ili watumikie taifa na sisi raia wao! Ni nini shida hapo? [emoji2369][emoji2369][emoji2369]