othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
!!Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania.
“Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa amani asijaribu atulie tuache viongozi wetu waishi vizuri lakini tutashughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote vitakavyokwenda kinyume na maadili”
- Amesema IGP Camillus Wambura.
========
Mama SSH hata kama ulikua na hasira hapa ungetufikiria watoto wako aisee maisha yatakua very magumu
Huyo IGP mbona mwepesi tu sidhani kama niya yake ni kupambana na wazalendo wa tz dhidi ya wahuni ...kama ni hivyo basi kazi anayo tena kubwa sanaMkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania
Kuna kadalili fulani 👹Eti kweli IGP mpya anakula sana ndumu?
Duuh sidhani kama kuwa kiongozi ni kuishi vizuri.
Kiongozi ni mtumishi wa wananchi.
Hii mindset ndio inaharibu mambo mengi sana hapa nchini.
Mbona umepanic mapema na ndo kwanza mechi imeanza dkt ya 1 usimlishe maneno IGP.@Moderators njooni muunganishe huu uzi kule zilipo nyuzi zingine zinazo hoji kauli ya IGP mpya.
Upuuzi mtupu, nyie ndio mnaofanya hili jukwaa lionekane ni la vilaza. Ukiingia upande wa JF kwa upande wa wakenya hauwezi kukuta thread za kijinga jinga hivi.Mbona umepanic mapema na ndo kwanza mechi imeanza dkt ya 1 usimlishe maneno IGP.
Kilichokuuma nini bando yangu simu yangu wazo langu na wewe anzisha uzi wako tatizo mnataka tuishi katika akili zenu😀😀😀😀 yaani mwenye akili hutoa hoja siyo matusi na kashfa heri yako wewe usiwe kilaza kama jambo dogo kama hili pia unashindwa kung'amua ngoja nikae kimya.Upuuzi mtupu, nyie ndio mnaofanya hili jukwaa lionekane ni la vilaza. Ukiingia upande wa JF kwa upande wa wakenya hauwezi kukuta thread za kijinga jinga hivi.
Iliisha vipi pamoja na tambo nyingi?Ilo ni onyo kwa Mbowe na wafuasi wake,rejea kesi yake ya ugaidi kuwa alipanga kuwadhuru viongozi wa kitaifa.
Iliisha vipi pamoja na tambo nyingi?
Iliishia Mbowe kutolewa gerezani na kuitwa Ikulu.Serikali huwa haishindwi kitu!Iliisha vipi pamoja na tambo nyingi?
Hapa DCI KingaiVibaka na mateja mshaanza kujam..ba jam.ba kabla kazi haijaanza.
Huku kamanda Murilo, kule IGP Wambura big combination.