SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Umesahau mkuu, kushiriki wizi wa kuraPolisi wa nchi za wenzetu wapo kwa ajili ya kulinda raia na mali zao. Sisi wa kwetu jukumu lao kubwa ni kuwalinda viongozi wa ccm waliopo madarakani na pia kukilinda chama chao ili kibakie madarakani kizazi na kizazi.
Wala haishangaizi kuona wakiitwa na baadhi ya watu; policcm.