Kuandamana ndio kuzuia kuuzwa au ni kuleta machafuko kwanza ilo halina mjadala alieuza ni mhaini au sio ila kuandamana hawawezi 😀Kwa hiyo wanaouza bandari za tanganyika sio wahaini ila wanaopinga uuzwaji ndo wahaini. Ooooh my tanzania
Polisi hawajui kwamba wao ndio wanaongeza attention ya watu, wau wanamfanyia mama makusudi, pengine ni njama za kutaka kumuangusha kweli kweli, ohooo
viongozi wa upinzani ndiyo wameichoka amani wewe kiongozi mzima na akili zako utawaambiaje watu wakaandamane badala ya kutoamhoja kusubiri ujibiwe mikutanoi si mnafanya? maandamano ya nini kila mtu ajuwe la kuambiwa changanya na zako yatakayo kukuta ni wewe na familia yako ndiyo itateseka wenzio wanakunywa mvinyo wewe huna mguu
Wewe nawe ni zezeta, unazungumzia maslahi ya watanzania wapi ikiwa bandari zimetolewa kwa mwarabu kwa muda usiojulikana?Badala ya kuongea ongea Polisi wanatakiwa kuwachukulia hatua Kali waliotoa hayo matamshi ya kichochezi haraka sana Ili iwe funzo Kwa wengine.
Polisi acheni kuchekea manyani,Chukueni Hatua badala ya kutoa matamko.
Maslahi ya Mamilioni ya Watanzania ni muhimu kuliko hao wapuuzi wachache,tokomeza wakafie mbele huko.
Kwa hiyo wanaouza bandari za tanganyika sio wahaini ila wanaopinga uuzwaji ndo wahaini. Ooooh my tanzania
🤣 Bongo labda waandamane kwenye keyboard au kwenye comment.Kuandamana ndio kuzuia kuuzwa au ni kuleta machafuko kwanza ilo halina mjadala alieuza ni mhaini au sio ila kuandamana hawawezi 😀
😂😂Kwakweli ilo ndo lililobaki kula dagaa tu 😂😂🤣 Bongo labda waandamane kwenye keyboard au kwenye comment.
Ishu ya uhaini(kupinduana) labda watokee wanajeshi ndani ya jeshi ndio wampindue samia au wamteke samia kisha Nchi ikae kimyaaaa. Kisha jeshi liende live tbc kutangazia taifa kuwa jeshi limepindua serikali na kufunga mipaka yote. Kama walivyofanya huko west Africa Burkina Faso na Niger.
Zaidi ya hapo kelele zitaishia kwenye comments 🤣🤣 na vijiweni. Baada yapo tunakula ugali dagaa kisha tunalala.
Mimi nitawasha tv mapema sana niwaone waandamanaji wanajitoa ufahamu,hawawezi na hawatoweza waandamane wajionee [emoji3][emoji3][emoji3]
Njaa tu zinawasumbua😂😂Wanataka waandamane ili waje kutuibia bizaa zetu madukan [emoji74][emoji74][emoji74]
Ety wanataka kuanzia kariakoo maduka ya cm pumbav zao [emoji81]
Haha ah ha ah[emoji23]Mimi na umri huu sijawahi kusikia maneno ya aina hii. Yaani mpaka nimewaza au anatushitua kiaina?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbongo akipata chakula na K tamu ya moto anaridhika kabisa. Huku anasikiliza muziki au mpira. Kwisha kabisa. 🤣🤣😂😂Kwakweli ilo ndo lililobaki kula dagaa tu 😂😂
|
| ReplyForward
|
Mnapotosha na mnalazimisha hata baada ya kuangukia pua Mahakamani ,Sasa leteni vurugu MuoneKuna mtanzania gani katika wote wanaokosoa umemsikia anapinga uwekezaji katika Bandari...?
Hivi watu wakihoji ukomo wa mkataba, manufaa ya mkataba, masharti ya makataba, idadi ya bandari anazopewa mwekezaji hilo kwako ni uchochezi?
Shida ni ushabiki hadi mnaingiza imani ndo maana hatufiki na tutaendelea kubaki taifa maskini..!
ReplyForward