IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

Wewe nawe ni zezeta, unazungumzia maslahi ya watanzania wapi ikiwa bandari zimetolewa kwa mwarabu kwa muda usiojulikana?
Zikitolewa Kwa Mwarabu Serikali itakuwa haipati pesa? Ulitaka zitolwewe kwako?
 
Mkuu njia inayotumiwa na chadema ni kuleta mpasuko hawana maana hao
Wenyewe hawana hoja nzito zaid ya matuc na kebehi sasa utawajibu vp kwa hoja
Mtu jukwaani anatoa kauli za kibaguzi afu ndio tukubali kumskiza?
Watanzania tunajua nani anachochea uchochezi.

Polisi watudikwenye jukumu lao la kikatiba
 
Ndio kazi ya vijana kwenye maandamano [emoji74]
Mtu anadai bandari imeuzwa afu anavunja duka anabeba tv kupeleka gheto [emoji74][emoji74]
😂😂Wakaandane kwenye ukoo wao huko Tena waandae magari ya washawasha😂😂
 
Naunga mkono hoja.huezi leta machafuko kwa kutumia kete ya bandari
Yaani jeshi litumie nguvu haswaa kumaliza hao chawa wanaotaka kuaribu nchi
Najua wengi wanaosuport nia yao machafuko yakianza waanze vunja maduka na kuiba mali za watu
Jeshi lipi sasa.... 🙂
 
Watoe maonyo kadri wawezavyo lakini wakumbuke jana inatofautia sana na leo, kilichoshindikana jana leo kinaweza kuwezekana na kilichowezekana jana leo kinaweza kushindwa kabisa na kikawa ni mwanzo wasioutazamia wala kuitarajia.
 
Unaanzajeanzaje?
 
Ndio na wao wamesema tusiandikie mate ,tokeni mkaandamane shida Iko wapi?
 
Ishii! Serikali inaangushwa kwa maandamano! Labda ya wanafunzi wa vyuo.
 
Watoe maonyo kadri wawezavyo lakini wakumbuke jana inatofautia sana na leo, kilichoshindikana jana leo kinaweza kuwezekana na kilichowezekana jana leo kinaweza kushindwa kabisa na kikawa ni mwanzo wasioutazamia wala kuitarajia.
uwe wa kwanza kujitokeza, km umechoka amani utafundishwa maana ya amani ni nini. Tafuteni madaraka kwa njia halali, msije mkatafuta wa kumlaumu. Washenzi kweli. IGP punguza upole vunja viuno hao wapumbavu
 
Amani maana yake nini?
 
Huuzwaji wa bandari za watanganyika kwa waarabu hautamwacha mtu salama! Ni suala la muda tu!
Yeah, hususani hao haters wanaoongozwa na udini......naana wanajiropokea tu kutokana chuki zao. Wanatokwa na vipwenene kutangaza bandari imeuzwa lkn hawasemi imeuzwa shilingi ngapi. Wamekurupuka kwenda mahakamani ambako wamepigwa KO mbaya ya shingo, wanataka sasa kuleta usungo wao. Nasema WAPIGWE tu (in Pinda's voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…