Sijui umefanikiwa kumelimisha huyu jamaa anaekataa ukweli na anaukubali uongo wawazungu. Usijisumbue bro ameshajidharau huyo.Watu sio vichaa mzee, Daktari kutoka Uingereza ndiye aliyethibithisha, kuwa Mapharao walikuwa ni black, kupitia matokeo ya DNA ya ramsey lll, alithibitisha kuwa vinasaba avyovikuta katika mwili wa Ramsey lll, vinapatikana katika nchi za sahara Ethiopia Kenya na Sudan! soma wikipedia au
Acha ubishi usio na kichwa wa miguu mzee.
acha maneno weka kitabu mkuu twende sawaVichwani mwa wamisri wenyewe habari hizo zilishawatoka au? Hata kisipokuwepo, fasihi na historia huifadhiwa hata kichwani.
Hehehe unafurahisha kweli. Unajua hata mwehu huona wazima ndio wehu. PoleNawe macho yako yamekuonesha daraja hapo, sasa mm hata sijataja neno daraja, we ndo umesoma hivyo tu. Tofauti zetu za kuelewa inaanzia hapo. Ukishaanza kuwa na uelewa utanifatilia.
Ni kweli haswa! Ila yupi mwehu kati yetu? Mi nimekupa mfano wa daraja upambanue mambo, umeshindwa. Nani mwehu kati yetu? Haya nakutafunia, kila kitu hutendeka kulingana na hitaji husika, mfano wa daraja ulimanisha hivyo. Umeshamjua nani mwehu sivyo?Hehehe unafurahisha kweli. Unajua hata mwehu huona wazima ndio wehu. Pole
Pamoja na wewe kuweka mbwembwe za kisukuma,nafurahi kuslona waafrika mnaanza kujua historia yenu....maana viongozi wengi dini hasa wa kiafrika hawajui jambo hiliHata Yesu Kristo mwana wa Yoseph alikuwa mweusi tii na nywere za kipilipili! Na ndio sababu utotoni alifichwa Misri kumkwepa Herode, kama angekuwa mzungu kama tunavyoonyeshwa kwenye sinema huko Misri wasingemficha...ila kwakuwa alikuwa mweusi basi alichangwanywa na weusi wenzanke.
Lugha ya mifano aliyokuwa akiitumia Yesu kwa mujibu wa biblia, asili take ni hapa usukumani...wazungu hawafundushi kupitia mifano ya "mpanzi na mbengu zilizoanguka kandokando ya njia..."
Nilikupa point nyingi sana kuhusu nini hasa ni maendeleo.Ni kweli haswa! Ila yupi mwehu kati yetu? Mi nimekupa mfano wa daraja upambanue mambo, umeshindwa. Nani mwehu kati yetu? Haya nakutafunia, kila kitu hutendeka kulingana na hitaji husika, mfano wa daraja ulimanisha hivyo. Umeshamjua nani mwehu sivyo?
Haya sasa rudi kwa post za nyuma, utaelewa kipi kilimaanisha. Au we ulishawahi kuhisi au kusoma mahali kwamba, waafrika kwa mifumo ya maisha yao kabla ya wageni walikuwa na mapungufu yaliyowahitaji wageni waje?
Elimu bora ikoje? Kwanza nini maana ya elimu? Au ni majengo ya kisasa nk? Elimu ni taaluma imwezeshayo mtu kuyakabili mazingira yake. Sa mwafrika hakuyakabili vyema mazingira yake?Nilikupa point nyingi sana kuhusu nini hasa ni maendeleo.
Katika point hizo umedakia Daraja tu.
Mbona elimu bora huongelei? Mbona vifaa vya kisasa mahospitalini huongelei? Au umekaririshwa ?
Jinsi unavyokuja sasa ni kama uko nje ya mada vile. Unataka kumaanisha wakati wazungu wanakuja huku kwao walishafikia kuwa na zana bora mahositalini mwao au?Nilikupa point nyingi sana kuhusu nini hasa ni maendeleo.
Katika point hizo umedakia Daraja tu.
Mbona elimu bora huongelei? Mbona vifaa vya kisasa mahospitalini huongelei? Au umekaririshwa ?
Ndio walikua wameadvance kuliko sisi. Na ndio maana hata wakafika huku. Wewe Treni yenyewe mpaka wao walete ndio ukaifahamu.Jinsi unavyokuja sasa ni kama uko nje ya mada vile. Unataka kumaanisha wakati wazungu wanakuja huku kwao walishafikia kuwa na zana bora mahositalini mwao au?
Wewe mpaka hapo ulipofikia una kipi cha kujivunia ambacho hata siku ya mwisho Mungu akikuuliza utasema ulifanya, maana unaonekana mjuzi kweli..Ndio walikua wameadvance kuliko sisi. Na ndio maana hata wakafika huku. Wewe Treni yenyewe mpaka wao walete ndio ukaifahamu.
Unaweza ukajenga daraja la kigamboni Morogoro mjini? Hadi wazungu wanakuja huku hawakuwa na uwezo wa kukuna nazi..... kibao cha nazi. Halafu, nahisi unadhani wazungu wote walikua kitekinolojia kwa mfumuko mmoja tu. Eti kwakuwa wao ni wazungu wana akili.Ndio walikua wameadvance kuliko sisi. Na ndio maana hata wakafika huku. Wewe Treni yenyewe mpaka wao walete ndio ukaifahamu.
Kweli kabisa,mimi nilitegemea nitapata historia nzima ya ferauni lakini sijaonaNdo umemaliza?
"Ijue Historia ya Firauni na Uongo Aliozushiwa"
Je unaona ulichoandika kinaendana na heading?
Thread kama Bongo Movie.
Kweli kabisa,mimi nilitegemea nitapata historia nzima ya ferauni lakini sijaona
Watu wa mashariki ya kati,wakiwemo waarabu sio weupe,ila walioana sana na mataifa ya watu weupe.Na hii ilitokana na waarabu kusafiri sana hasa nchi za ulaya.Na bado wapo mpaka leo, waarabu wenye rangi za giza.Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II!
Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa, unarudi juu kesho yake!!![emoji4][emoji5][emoji5]
Hivi hili linawezekanaje!! tena watu wenye akili timamu kabisa wanaamini hili! wenye Degree na PHD!! Kwa kweli ni maajabu makubwa mno haya! hapa utaamini kuwa Binadamu ni dhaifu sana kwenye imani!, na ni rahisi sana kumteka mtu yoyote akili kwa kutumia kivuli cha Dini/Imani..
Leo hii kitabu chochote kitakatifu kingesema Kuiba si dhambi na mtu ili ufike mbinguni ni lazima uwe mwizi, basi tungeshuhudia watu wengi wasomi na wasio wasomi wakiwa ni wevi!! Yote ni kwa sababu binadamu wengi zaidi ni weak mno kwenye Imani!
Turudi kwenye maada.
Great ramesses ll alizikwaje?
Mwanzo alizikwa kwenye kaburi KV7 katika Bonde la Wafalme, lakini kwa sababu ya uporaji wa vitu vya thamani alivyokuwa amevishwa, makuhani walihamisha mwili kutoka eneo hilo na kuupeleka ndani ya kaburi la malkia Inhapy.
Miaka mingi baadae waliuhamishia tena mwili kwenye kaburi la kuhani mkuu Pinudjem II. Yote hii ni sababu ya kumbukumbu katika hieroglyphics.
Kutokana na matetemeko yaliyoikumba Giza miaka kati ya miaka 1000 AD hadi 1500 AD vitu vingi vilipotea huku baadhi ya masanamu mengi yakiharibiwa vibaya na matetemeko hayo, na baadhi ya makaburi, majumba, na makumbusho mengine kupotea kabisa!
Huku mwili Wa Great Ramesses ll Nao ukipotea katika matetemeko hayo.
Mwanzoni mwa miaka ya 1800, mwili huu ulipatikana tena pembezoni kidogo mwa Red sea.
Ramesses ll, hakufa kwenye Gharika la Mussa kama watu wanavyodai, mwili wake hadi sasa unathibitisha kuwa alikufa akiwa mzee, zaidi ya miaka 80 kwa maradhi ya kawaida.
Pia si mwili wa ramesses ll tu uliopo kwenye makumbusho ya misri, ni miili mingi ya Mapharao tofauti na baadhi ya watu walioishi kwenye Egypt ya kale.
View attachment 463571
MWILI WA PHARAO RAMESSES ll / Firauni Uliopo kwenye maonyesho ya Ancient Egypt.
View attachment 463572
SANAMU YA GREAT RAMESSES II ILIYOPO GIZA EGYPT
Nawasilisha
Secret Star
For sure..Watu wa mashariki ya kati,wakiwemo waarabu sio weupe,ila walioana sana na mataifa ya watu weupe.Na hii ilitokana na waarabu kusafiri sana hasa nchi za ulaya.Na bado wapo mpaka leo, waarabu wenye rangi za giza.
Na hii pia ndio inayopelekea waarabu wengi kurudi nchi za ulaya,bila wao kujijuwa wanarudi kwenye za asili ya mabibi zao.