Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

 
We jamaa kiazi kweli!! Just with Youtube video ndo unakuja with confidence kwamba eti "acha ubishi.....!!"

That's one but two; hata ukisikiliza hiyo video uliyoweka mwenyewe maelezo mengi ni "... is believed!" WHY is believed? Kwa sababu since then hadi sasa hakuna conclusive evidence kuhusu ancient egyptians. Akina nyie mnaokoteza hypothesis mbalimbali mnakuja na conclusion!!!

By the way, kama Ramses III probably ni Mkenya, Msudani, Mu-Ethiopia au yeyote kati ya hao uliowataja!! How come tena anakuwa babu yako wewe usiye Mkenya Msudan au yeyote miongoni mwa hao?! Au ndo yale yale niliyosema kwamba mnashindwa kujikubali mlivyo na matokeo yake mnaamua kujinasibisha na viumbe vinavyotajwa tajwa sana?!

The problem ya watu kama nyinyi ipo hivi: pakitokea crossbreeing kati ya Mzungu na Mwafrika... mtoto atakayezaliwa hata kama atakuwa mweupe namna gani na nywele nyoronyoro;Wazungu watamkataa na watamuita Mwafrika!!! There's no way atatambulika kama Mzungu!!!

Na ikitokea muhusika Mzungu Mwafrika amekuw mtu mzima na akakataa kwamba si Mwwafrika bali ni Mzungu; ni Waafrika ndio wataongoza kumlaani kwa "kujifanya mzungu!" Suala la kujiuliza ni kwamba, ikiwa mzazi mmoja ni mzungu na mwingine ni Mwafrika... kwanini asiwe Mzungu na ionekane kwamba yeye ni Mwafrika TU?!

Matokeo yake ndo haya! Hakuna evidence yoyote inayothibitisha (sio ku-claim) kwamba baba na mama wa akina Ramsey ni Wabantu lakini kwavile Waafrika ni zoa zoa kwavile hawana cha kujivunia; ndo hapo akina nyie mnakuja hapa na kusema eti Farao ni babu yenu!!!!

VERY FUNNY!
 
Umemjibu vizuri sana sana
 
Wayaudi unawafahamu?
Mapharao unawafahamu?
huyo sijui unayemwita Ibrahimu ulishawahi kumwona au kuhakikisha kuwa alikuwa ni mweusi au Mzungu?
Anacho maanisha hiyo mwenye fikra Hutu ni kwamba waafrika hatutokani na so watu ulio wataja, na wala kutoka na nao kama unavyotaka wewe haituongezei thamani ya ubinadamu wetu
 
Hadi Leo sheria za kurudisha teknolojia zinatungwa na wasomi bungeni, mfano ukitengeneza helicopter uungwi mkono, silaha zinaitwA haramu na kuchomwa hadharni halafu serikali inaagiza slaha halali zisizo na madhara kwa wazungu,
 
Anacho maanisha hiyo mwenye fikra Hutu ni kwamba waafrika hatutokani na so watu ulio wataja, na wala kutoka na nao kama unavyotaka wewe haituongezei thamani ya ubinadamu wetu
Binadamu gani!? hapa ninayemzungumzia ni mapharao na si hao aliowaongeza yeye, binafsi nataka weusi kama nyie mliokata tamaa kwa ni nothing, msikate tamaa na kukazana, sababu kizazi cha Mapharao kilichoweza kukimbiza ulimwengu katika kipindi fulani kilikuwa ni cha watu weusi! Leo ni utoe hayo mawazo kwamba kuna "Miafrika" ujione ukikazana utaweza sababu mababu waliweza!
 
Hadi Leo sheria za kurudisha teknolojia zinatungwa na wasomi bungeni, mfano ukitengeneza helicopter uungwi mkono, silaha zinaitwA haramu na kuchomwa hadharni halafu serikali inaagiza slaha halali zisizo na madhara kwa wazungu,
Hadi lini hili jambo liendelee mkuu? Nani na atatoka wapi huyo mjomba wa kuja kutubadilishia? Mi nadhani ni sisi wa kizazi hiki.

Huwa naamini hii dunia ina mambo mengi saana ktk utawala wake. Inawezekana hata kuna mikataba inayozuia ukuzaji wa teknolojia ktk baadhi ya nchi. Hainiingii akilini fundi gereji wa mtaani abuni kitu injinia, PhD Holder wa UD ashindwe.
 
Wale wale... eti ukoloni!!!

Sasa kama miaka ya 1400 tulikuwa sawa, ilikuwaje tena tukazidiwa maarifa na watu ambao tulikuwa nao sawa?! Hivi mbona mnakubali kudanganywa danganywa kirahisi hivi?!

Thanks God sikusoma history manake na mimi ningeishia kudanganywa danganywa kama ambavyo mmedanganywa wengine na hamkuwa na namna; mlilazimika kumeza hayo mauongo ili hatimae muweze kufaulu mitihani!!!

Kwa historia yangu hiyo hiyo ya kuunga unga, nafahamu mtu kama Vasco Da Gama alianza kuzunguka dunia miaka zaidi 600 iliyopita!

Hao Wakoloni mnaowasingizia, waliingia Afrika wakati kule kwao wakiwa wameshapiga hatua kubwa si ya kimaendeleo tu bali pia sayansi na teknolojia...!! Hapa Afrika walikuta nini zaidi ya hayo machuma butu?! Machuma ambayo huko Ulaya yalikuwa tayari yameshaanza kutumika industrially wakati sisi huku ndo kwanza mtu analazimika kushinda kwenye moto kutengeneza kifaa duni cha chuma!!!!

Uchumi ambao Wakoloni waliuacha kwao wakati wanakuja Afrika; sio tu kwamba Afrika hatukuwa na uchumi sawa na huo lakini hadi leo hapa tunapoongea bado hatujaufikia!!!!

Nchi ambazo ziliathiriwa na ukoloni utazijua tu! Kwa mfano India, Singapore and the like! Hawa wanaweza kuwasingizia wakoloni kwa sababu, baada ya Wakoloni kuondoka, wanaonekana walivyopiga hatua!

kinyume chake, Afrika bado tunaendelea kusingizia Wakoloni ingawaje hawakukuta chochote cha maana na hata baada ya kuondoka; majority ya vile vinavyoonekana vina mafungamano na Wakoloni!!!
 
Evidence za mummies za mafarao ndo zinathibitisha hilo mzee, Kuna mummies kibao pale Giza tembea uone, we unaweza kunionyesha mummies ya hao unaowataja, ili twende tukapate proof maabara?
Hakuna cha evidence... all are just hypotheses. By the way, nimetaja akina nani?!
 
Ni kweli tumedanganywa sana! Huwa najiuliza hivi kweli wajerumani walishatutawala au ndo hadithi tu kama za akina Yesu na mitume? Eti wamarekani weusi walichukuliwa tena bila ridhaa yao utumwani. Eti Bagamoyo ni kitovu cha utumwa East Afrika.

Eti mikonge na buni hayakuwa mazao yetu ya asili na tulilimishwa kwa nguvu. Akina Mkwawa, majimaji nk zote ni hadithi na kamwe hazina athari kwetu. Ukristo upo kiasili hapa nchini. Nilitakiwa kusoma sayansi bana, hongera zako.

Tuundie ndege sasa, au ndo historia ya sayansi tuisomayo huku? Tumesema tuna utumwa wa kifikra. Hatujazaliwa nao tumeingiziwa kichwani, na hatutafanya lolote ktk yote hadi tuutoe.
 

Nilipenda na kukubaliana kwa kiasi kikubwa na maelezo yako umenifukuza mbali kabisa na wewe kwenye eneo la Waafrika hamna cha kujivunia.Tuna vingi vya kujivunia tangu kale hata sasa.
 
Hivi imewezekanaje mpaka leo bado ana ngozi kwenye mwili wake? je kuna picha za hao wengine ?

Hao walikuwa na elimu kubwa sana ya kuhifadhi miili kwa muda mrefu, mtu akishakufa walikuwa wanamtoa internal organs zote (Figo, Moyo, Maini, utumbo, mapafu, bandama nk) ambazo mara nyingi huwa ni rahisi kuharibika, kisha wanaviweka kwenye vyungu maalumu, na mwili uliobakia bila viungo vya ndani, wanaupaka dawa ambazo zinauezo wa kutunza mwili pamoja na nywele na kisha wanauzunguzia sanda ana bandeji maalumu

Sio Mapharaoh tu ndio waliokuwa wamafanyiwa hivyo, bali hata watu maarufu, Baba yeke Yusuph/Joseph mzee Yakub/Jakob alifia Misri na alikaushwa kama hivyo na aliwekwa kwenye sanduku kama wanavyofanywa mMapharao na alipelekwa kuzikwa kwao
 
Kwani kwako maendeleo ni nini? Tatzo kuu letu ni tafsiri sahihi kwa kila jambo. Na huu ndo utumwa wetu mkuu. Ili uoneshe kuwa umeendelea lazima ujenge ghorofa hata kama uko na ardhi nyingi.

Lazima uunde treni hata kama wewe maisha yako ni Mafia na yanajitosheleza hukohuko Mafia. Uhuru wa kifkra ni muhimu sana. Ukipima kwa mawanda mapana sana, maisha ya Afrika baada ya ukoloni hadi hii 2017 yana ustawi butu ukilinganisha kabla ya ujio wa mgeni yeyote.

Wewe bado unafikra manzese ndo mjini kwa wajanja zaidi ya Kiluvya, au Kibamba..... Ila huyo umwitae mungu mzungu hawezi ishi manzese bali Kibamba.
 
Kwani kutosoma histori ndo kusoma sayansi...we wa wapi wewe!!! By the way, unadhani hayo uliyoongea ndo yanafuta ukweli kwamba mmedanganywa?!!

Badala ya kuruka ruka... jibu hizo hoja!

Wakati wakoloni wanaingia Afrika tayari huko kwao walikuwa wameshapiga hatua kubwa ya kimaendeleo kuanzia sayansi, teknolojia na tayari nchi zao zilishakuwa ni za viwanda!

SWALI: Hapa Afrika walikuta nini hadi mseme tulikuwa sawa? Hiyo ndo hoja... jibu!!

ANOTHER PROBLEM: Hapo juu nilitaja tatizo la kwanza la watu kama nyinyi! Tatizo la pili, mnadhani mtu akiwa na msimamo kama mimi ni kwamba huyo mtu ana utumwa wa kuabudu Wazungu!!! Msichofahamu ni kwamba, watu kama sisi huwa hatupendi blah blah za kusingizia watu matatizo ya kwetu wenyewe!! Ni kiroja hadi karne ya 21 bado watu wanaingizia ukoloni lakini cha ajabu hata ukiwauliza hao wakoloni walikuta tumepiga hatua ipi hakuna anayekupa jibu la kueleweka!!!

Kingine msichotaka kukubali ni kwamba vitabu vya historia hususani hivi vya Afrika vinaegemea kwa yule anaye-fund publication! There's no way kitabu kilichogharamiwa na Pan Africanist kama Nyerere kiandike eti Wakoloni waliingia Afrika wakati Waafrika wakiwa hawawezi hata kutengeneza njiti za kuchokonolea meno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…