Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Sasa nyie mjiulize siku hyo nan alikuwa anarecord hizo ni simuliz za manabii MTU akisoma anatengeneza ambavyo watu weupe walitutangulia kwa technologia
 
Mkuu hapa ni kwamba watu wamejichanganya farau yule wa musa sio huyu ila kwa kuwa majina ya wafalme wote wa misri walifanana kumbe misri ilitumia mwanya huo kujipigia pesa za kitalii kwa kuuramanisha mwili wa RAMESSES II na ule wa firauni wa musa na wana wa isleri. Tukubali matukio Yale yalikuwepo kwani ss wakristo tuna prove spiritually tunapo taja jina la yesu wachawi wanakula ngege sijui ninyi wapagani mna amini nn.
 
Mpaka sasa ukoo wa daud uliopo ni wa watu weusi ambao ni waethiopia pia Israel nayo iko Africa bahar ndo ilisababisha waipeleke kule
 
Umesema yesu alikua msukuma .mim najua yesu alikua mchagga tena wa marangu na mlima aliokua akienda kusali siku zile alizokua anafunga siku arobaini ni mlima kilimanjaro.
 
najivunia rangi yangu na uafrika wangu....sijali nimetokea wapi...naamini asili yng... ni bara la afrika... naamini uwepo wa mtu mweusi ni kusudio la mwenyezi mungu....
 
Ubishi wa nini? Si atarudi, tutamuona, kama alikuwa Mwarabu, Mchina ama Mmatumbi!
 
SIKIA KAKA UNAJUA UNAONGEA NA WASOMII HUMU JF sio FB kwamba ukipost watu watalike na kushare ovyo hovyo letee evidence bwana ulichokiongeaa ni utumboo mtupuu sijaonaa fact hata mojaa ..sijuii umeyatolea wapii wwkati wazungu na hao wazee wako wanaandika vitabu na kuprove uharisia wa firauni wa ndio yeye wewe unaletaa UONGO UONGO HAPAA
 
kaka CHIGE katika UZI nilipata kuona wa uongo wakwanza ni huu hivi unaletaa vitu vya kishamba ok fine letee evidence na umetoa kwa prof.ganii labda maana sijamuelewaa kabisa anachokusudia nini ....
 
Wakati wa Mussa kuondoka na Wana wa Israel .Farauni alikua na Miaka Mingapi?
kaka huyu jamaa najua anatumia makalio kwa ajiri ya kufikiliaa hawezii kutumia ubongoo .........anatuleteaa anavyofikilia matakoni mwakee tu..MSOMII HUWEZI LETEE UJINGA KAMA HUO KWA KUANGALIAA MOVES YOUTUBE ULETEE UZII KAMA HUOO.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako. Je wapi kuna maendeleo zaidi kati ya Afrika na Nchi za Ulaya? Na kwanini sisi ni third world ?
 
JAMAA LABDA ULISOMA CHUO GANII EMBUU TUAMBIRRE HUENDAA AKATOKEA UDSM huyu tusiwwe tunamlaumuu na historia zake
 
FACT BIGS MOVES
 
Timbuktu university, was the world's oldest university mkuu.
nakukosoa TIMBUKTU hakikuwa chuo ila ulikuwa ni mjii wa kiarabu na mjii uliendeleaa karne hiyo na waarabu walikuwa wanafundisha dini ya kiisalmu na enzi hizo paliitwaa mjii wa timbuktu na ndio NEGER ya sasa ila walipokujaa kugundua wafaransa kuwa waarabu wanautawala na kuenezaa dini ndipo walipokujaa kuanzisha vitaa na kuubomoa mjii ulee pia ni kulifundishwaa elimu za dini ya kiisaamu na lugha ya kiraabu ..na hata leo asili ya watu wale wa niger wamegawanyika tabaka mbili weupe na weusi ...coz ya muungiliano huo ...PALE KILIKUWA KITUO USISEMEE UNIVERSITY PLEASE
 
WAFARANSA walikuja kuibomoa elimu ile
 
NIMEITOA FB HII SASA NAIKUBALII AMEENDA KWENYE KEYPOINT.
UKWELI USIOZINGATIWA

Assalaam alaikum warahmatullah wabarakaatuh

Sifa zote njema zinamstahiki Allah tabaaraka wataala,na rehma na amani zimuendee kipenzi chetu na kiigizo chetu chema mtume Muhammad swallallahu alayhi wasallam na maswahaba wake na wote wenye kuwafuata mpk siku ya kiama.

Ndugu zangu leo tuusome ukweli huu kuhusu mal uuni fiaraun ambao wengi hatuujal wala hatuna mazingatio nao.

Firaun alikuwa mfalme aliyetawala taifa la misri.mfalme huyu aliyekuwa anamuabudia shetan alifika hatua ya kujiita mola wa waisrael. Aliwatesa sana huku akiwaua watoto wa kiume kwa hofu ya kupinduliwa utawala wake. Wakat mwingine Allah hufanya jambo lake kupitia adui yake. Baada ya nabii Mussa alayhi salaam kuzaliwa alilelewa na firaun.

Baadae Allah akampa unabii na kumtuma mjumbe wake huyo kwa firaun ili kuwaokoa wana was Israel. Wakat wakiyakimbia majeshi ya firaun Musa na waisrael walifika pwani ya bahar ya red sea alielekezwa na Allah apige fimbo yake bahar na baada ya kufanya jivyo bahar ikajitenga wakapita. Allah anasema

فَأَوْحَيْنَا إِلَىٰ مُوسَىٰ أَنِ اضْرِبْ بِعَصَاكَ الْبَحْرَ ۖ فَانْفَلَقَ فَكَانَ كُلُّ فِرْقٍ كَالطَّوْدِ الْعَظِيمِ

Tulimletea wahyi Musa tukamwambia: Piga bahari kwa fimbo yako. Basi ikatengana, na kila sehemu ikawa kama mlima mkubwa.

Baada ya kuvuka upande wa pili majeshi ya firaun nayo yakawa yameshaingia na kufik katikat ya bahar. Nabii Musa akawa hajui afanyeje kwa kuwa firaun hakuwa mbali nao. Allah akamwambia akamwambia Mussa alayhi salaam

وَاتْرُكِ الْبَحْرَ رَهْوًا ۖ إِنَّهُمْ جُنْدٌ مُغْرَقُونَ

Na iache bahari vivyo hivyo imeachana, hakika wao hao ni jeshi litakalo zamishwa.

Allah akayaangamiza majeshi ya firaun naye pia akaangamia. Baada ya tukio hill ndio ukawa mwisho wa mal uuni huyu yy na jeshi lake.

Mwaka 1898 kwa mara ya kwaza baada ya miaka mingi sana kupita mwili wa firaun ukaonekana kando ya bahar ya red sea nchini misri. Mwili huo ulikutwa haujaoza ,ulikuw kama umeopolewa siku chache. Ikaaminiwa na wamisri kwanba huo sio mwili wa yeyote yule said ya firaun, baadaye ukahamishiwa katika jumba la makumbusho mpk leo .

Mwaka 1981 rais wa ufaransa ,Fransisco mata aliutaka mwili wa firaun kutoka serekal ya misri ili waufanyie uchunguz na wabaini huo mwili ni wa nan na kwann hauozi.

Akaagiza jopo la wanasayans likiongozwa na dokta wa upasuaji( surgeon) bingwa duniani wa wakat huo aliyeitwa professor Maurice bucaille kuufanyia uchunguzi mwili huo. Wanasayans hawa hawakuon dawa wala kemikal yeyote ktk mwili huo inayosababisha mwili huo kutooza kama binadam wengine. Baada ya uchunguzi wao waligundua mwili huo ulikuwa umejaa chumvi nyingi inayothibitisha kuwa uliopolewa baharin. Baada ya njia za kisayansi kufel kupata ukweli kuhusu mwili huo ni wa nani na kwann hauozi ikabid wawahoji viongoz wa dini.

Wakatazama katika biblia na kukuta kuwa ndani ya biblia hakuna mahala popote penye maelezo kuhusu mwili huo. Biblia inasema:
KUTOKA 14 : 27-28

Mussa akaunyoosha mkono wake juu ya bahari na kulipopambazuka ikarudi kwa nguvu zake, wamisri wakakimbilia mbele yake na BWANA akawakukutia mbali hao wamisri kati ya bahar. Yale maji yakarud yakafunikiza magar na wapanda farasi hata jeshi lote la Farao lililoingia katika bahar nyuma yao hakusalia hata mtu mmoja.

Hapo biblia inabainisha kwamba firaun na jeshi lake lote waliangamizwa na hakuna aliesalia.

Swali likazid kuwa gumu na kukosa jibu kwa wanasayansi hao kuwa mwili huo ni wa nan na kwann hauozi????

Ndipo wakashauriwa kuiuliza qur an ( kitabu chetu waislam) ambapo baada ya kuiuliza qur an walijibiwa na kufahamishwa kila walichokuwa wakihitaj. Qur an ikawaambia kwamba huo mwili ni wa firaun na Allah aliamua kuuihifadhi ili uwe Ishara kwa watu watakaoishi duniani zama za mwisho. Allah anasema

فَالْيَوْمَ نُنَجِّيكَ بِبَدَنِكَ لِتَكُونَ لِمَنْ خَلْفَكَ آيَةً ۚ وَإِنَّ كَثِيرًا مِنَ النَّاسِ عَنْ آيَاتِنَا لَغَافِلُونَ
Basi leo tutauokoa mwili wako, ili uwe Ishara kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara zetu.

Mabwana hawa wakawa wamepata kilichowasunbua kwa muda mrefu lakini kubwa ni kwamba:

Hapa kuna mambo mengi tunajifunza sisi tunaoishi duniani hivi sasa kwa kuwa huyu mtu Allah alimuhifadhi ili awe ishara kwamba yeyote atakaewakadhibisha wajumbe wa Allah mwisho wake ni kuangamizwa( kama ambavyo leo waislam tunavyompinga mtume Muhammad swallallahu alayhi wasallam. Mfano hai:

Mtume swallallahu alayhi wasallam alisema tukiona Majumba yanaenda juu yaani maghorofa tujue ni dalili ya kiama. Leo waislam magorofa tumeyaona lakini tunasema MAENDELEO.

hivi kati ya mtume swallallahu alayhi wasallam na sisi anayeyajua maendeleo nan???

Kwa kauli yake kuwa ghorofa ni dalili ya kiama sie kusema ni maendeleo na baadhi ya misikiti yetu mpk majumba yetu ni ghorofa hapa hatujampinga????

Lengo la kutuambia ghorofa ni dalili ya kiama ni ili na sie tujenge????

Inna lillaah wainnaa ilayh raajiuun

Mtume swallallahu alayhi wasallam tunampenda mdomoni tu lakin mioyoni mwetu hayupo.

Allah anasema tena kuhusu firaaun Laanatullaah alayhi

فَجَعَلْنَاهُمْ سَلَفًا وَمَثَلًا لِلْآخِرِينَ

Kisha tukawafanya( firauni na waliomtwii) kuwa watangulizi na mfano kwa vizazi vitakavyokuja baadaye( ambao ndio Sisi tuliokuja baada ya firauni Laanatullaah alayhi)

Firauni alikataa ujumbe wa Allah tabaaraka wataala alioletewa na Mussa alayhi salaam. Akawambia watu wake

أَمْ أَنَا خَيْرٌ مِنْ هَٰذَا الَّذِي هُوَ مَهِينٌ وَلَا يَكَادُ يُبِينُ

Au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi kusema waziwazi?

Katika tafsir ya ibn kathiir asema Ibnu jariir ( radhi za Allah zimuendee) asema firauni alimaanisha musa alayh salaam hakuwa na jeshi, mamlaka ya utawala na hakuwa na mali sasa vp wafuate ilhal musa alayh salaam hana kitu( choka mbaya)

Watu wakamsikiza na kumkubal wakauacha ujumbe wa Allah mwisho wake wakaangamizwa wote.

Na hata ss wajumbe wa Allah haya ndio yanayowakuta kwa kuwa hawana mali, jeshi wala mamlaka hivyo watu wwanawadharau na kuwachukulia kama waomba misaada. Mfano wetu ni firauni Laanatullaah alayhi.

Allah atunusuru

Inasemekana professor MAURICE BUCAILLE alisilimu akaamua kujifunza na kiarabu na baadae aliandika kitabu kinachoitwa THE QUR AN, THE BIBLE AND SCIENCE akifafanua ukweli na usahihi wa qur an tukufu.

Tukio hili pia ni la ajabu na mazingatio kwa wenye kutafuta haki, mwili wa mtu kutooza mpk leo Kw zaid ya miaka 3000 kupita na mpaka NYWELE zake pia hazijanyonyoka.

Makosa aliyoyafanya mtu huyu ya kujiita na kujinadi kuwa yeye ni Mungu ni makosa makubwa yaliyosababisha Allah akaamua kumuweka ili kila atakaezaliwa hapa duniani amshuhudie mpk dunia itakapomalizika kabisa.

Makosa aliyoyafanya firaaun Laanatullaah alayhi ndio yanayofanywa na viongozi wetu wa sasa. Na wenye jukumu la kukemea ni sisi waislam ( Mashekh, maulamaa kwa kuwa wao ndio warithi wa mitume)

Msiba mkubwa ni kwamba mashekh na maulamaa( WAISLAM) tunayakubal haya ndio maana tu kimyaaaaaa. Na hii ndio moja ya sababu za waislam kupigwa na kudhalilishwa duniani, na mpaka jina zuri wakatuchagulia,saivi wanatuita GAIDI/ MAGAIDI

Ipo siku tutakutana na aliyetupa jukumu la kukemea haya yanayofanyika sijui tutamjibu nn.

Kwa elimu zaid ingia you tube andika zama za mwisho 1

Imeandaliwa na elber mmbaga

0675648283

na

hassan mrisho

0678932949
 

Umeandika kwa kejeli na dharau kuuuwakati kumbe unadhihirisha ujinga wako hasa katika mambo ya kihistoria... juzi juzi tu hapa oldiva gorge Dr Leaky na mkewe waligundua fuvu la binadama wakale kabisa kuishi duniani lenye umri wa zaidi ya miaka milion 4 aliishi Africa wewe na upumbavu wako unatuletea habari za agano la kale na jipya ambayo ukihesabu umri wa kuanzia adam mpaka yesu haijafika miaka elf 20.....

acha ubwege kama kuna mambo huyajua ni bora uulize au ukae kimya dawa ikuingie.........
 

Mjinga na mpumbavu ni nani kama sio wewe MPUMBAVU usiye na akili unayejiita mjukuu wa Firauni!!! Pumbavu mkubwaa na bwege lililopitiliza mipaka ya ubegwe!

Na ulivyo mpumbavu na bwege usiye na akili wala hufahamu kwamba hakuna aliyekataa uwepo wa firauni au masalia yake! Sasa huo mfano wa Dr. Leakey unaingiaje hapa? Au huyo Dr. Leakey alisema hilo fuvu ni la nani? Mpumbavu mkubwa ambae ulienda shule kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…