Ijue historia ya kaburi la Sharif Abdushakur Salim Al Attas lililopo Samora, Posta Jijini Dar es Salaam

Huna jipya zaidi ya udini
 
Aisee nimekunywa gahawa hapo tumekaa sana na washkaji na stress zangu za maisha hata sijui cha kaburi wala imam.
Tunapanga mipango kila mtu anaenda njia yake tukutane jioni.
Hilo kaburi si tulikua tunadhani kibaraza tu tunakalia tunapanga mipango yetu.
Kumbe ni kaburi duh🙌
 
ukweli kaburi hili wakristo wa tanzania waliichukia sana kuwepo kwa kaburi la muuislamu katika ya mji, walifanya mbinu zao zote kuliondoa na hasa walianza na mtukufu wao nyerere kutaka kuliondoa kaburi hilo. halmashauri ya jiji enzi za huyu nyerere walituma catappiller kuchimbua kaburi hilo lakini walishindwa kabisa catapiller lilishindwa kufanya kazi, walitumwa watu usiku kulibomoa na kuliondoa walipofika hapo hawakuona kaburi na wakasahau kilichowaleta na wakalala usingizi wa kufa, baada nyerere kuna kiongozi mwingine mgalatia nae alijaribu kuliondoa akashindwa, makonda nae alikuja na plani ya kuitengeneza bustani hiyo iwe ya kupendeza nae alijaribu kuondoa kaburi hilo halishindwa makonda akaona aliwekee marumaru ipendeze na akaweka viti kwenye bustani hiyo na kusafisha maana palikuwa pachafu sana, hawa masharifu wenye asili ya yemen makaburi yao hayaguswi, mfano nchini yemen mji wao mkuu ADEN katikati ya mji kuna kaburi tena lipo barabarani, waigereza walijaribu kuliondoa hilo kaburi ili wapitishe two way ya kupita magari walishindwa walitengeneza two way lakini ilipofika kwenye kaburi barabara ikapindishwe kuikwepa kaburi mpaka leo lipo katikati ya barabara,
 
Uislamu nijuavyo ulianzia kule Kilwa iweje huyu mtz azikwe pale? Je huko kilwa hakuna watz wa mwanzo kabisa walioamini uislamu? Kwanini waislamu hawamuenzi Imam wao wa mwanzo badala yake wanakaa kueneza udini kupitia kwa Alhaj JK mkweree?

kamuulize mama yako anajua historia ya waislamu walianzia wapi mpaka kufika wapi ww bado ni mtoto mdogo wa mwaposa
 
JE NI NANI HUYU ASIYEKUWA NA JINA?

Kuna kaburi la siku nyingi sana mitaa ya Clock Tower posta dar es salaam

Ni karibu mita 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam. Ipo bustani ya muda sana na inafikiriwa ipo hapo kama miaka 220 iliopita.

Kwanini kaburi hili liko peke yake tena katikati mwa jiji?

JE NI NANI HUYU?
 
Nasikia hilo kaburi lilishawah kuwashangaza wale ndugu zetu weupe walitaka kulihamisha wakajikuta wanakula bakora za kutosha na kuumwa na nyuki,

Mwisho wa siku badala ya kulihamisha ikabid walijenge vizur libaki hapo hapo,ila ajabu ni kwanini hawakuweka utambulisho wa aliekuwemo
 
Nalipitaga sn hpo ila sijuagi kuwa ni kaburi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…