Ijue Historia ya muasisi wa TANU, Ally Kleist Sykes (1926 - 2013)

Inasikitisha namna vyombo vya habari vilivyoupuuza msiba huu, Hii ni ishara ya upofu uliogubika Historia ya Nchi yetu.

Uko sahihi kabisa,

JF pia wameupuuza msiba, members wanasoma na kuondoka bila kujadili kwa kina. Ilitakiwa akina Mohammed said kuja kutoa promo za mwisho, kwani muda wote Mohammed said and Co. walikuwa wanataka Ally amilikiwe na kundi fulani tu la imani na kusahau kuwa ni mtu wa wote.

Sijapenda hata kidogo ninapoangalia pages za kifo cha Dk. Ferdenand masau na Ally Sykes? labda watu wamechoka na historia za uhuru wanataka mambo mapya?

Naona hata kifo cha Steven Kanumba kilipata promo zaidi ya Sykes kwenye vyombo vya habari.
 
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi......Amin.....!!
 

asante kaka kwa kuweka sawa uposhaji alioukusudia Ritz lakini si kosa lake ni matokeo ya ngano za mzee Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:

ritz; umefanya vizuri kupost hii page kwa ajili ya mzee huyu. Nashauri isiingie siasa zozote za thread nyingine

cc yericko, kadogoo
 
[h=3]MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA ALLY SYKES JIJINI DAR[/h]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mjane wa marehemu Ally Sykes, Zainab Ally, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki jana jijini Nairobi. Marehemu Sykes anazikwa leo jioni jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa marehemu Ally Sykes, wakati alipofika kuhani msiba huo wa mwasisi wa TANU, aliyefariki jana jijini Nairobi. Marehemu Sykes anazikwa leo jioni jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiaga na baadhi ya wazee waliohudhuria shughuli za msiba, wakati alipokuwa akiondoka baada ya kuhani msiba wa mwasisi wa TANU, Ally Sykes, aliyefariki jana jijini Nairobi. Marehemu Sykes anazikwa kuzikwa leo jioni jijini Dar es Salaam
 
du!!kaka nilidhani utamsubiri kwanza amalize arobaini ndio uje umkosoe.ninavyo mjua @Ritzhttps://www.jamiiforums.com/member.php?u=34266 akitoka tuu makaburi ya kisutu break ya kwanza ni kule kwenye mnakasha ili akujibu.RIP Mzee Ally Kleist Syke.
 

Very good point; there should a REASON!!!!!!!
 

RITZ??????? It took you soooooooo long and a death of this Mzee to say these words. We are all human after all. Thank you.
 

KAZIMOTO; This is an important point. Tunakoelekea in the next 30 years kila dhehebu litakuwa na its Tanganyika History. The sure thing ni kuwa Jina la Nyerere will stay in all madhehebu "texts" either for praise or ridicule.
 

kwahiyo walikuwa wanapigania uhuru kwa ajili ya familia zao siyo!!? kuwa mwadilifu basi, nadhani kama ambavyo haikuishia kwa familia ya mama nyerere pekee kipinde kile cha umauti wa baba wa taifa basi na hili ni similitude yake. kama hutaki kunywa sumu.
 
mungu aulaze pema roho ya marehemu. INNALILAH WAINNA ILAYHI RAJIUUNA!
 
Viongozi wa Chadema msibani hawakuonekana hata salama za rambirambi hakuna Dr.W.Slaa, Zitto, John Mnyika, mnashindwa kuwaenzi wazalendo waliopigania uhuru.
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa Chadema msibani hawakuonekana hata salama za rambirambi hakuna Dr.W.Slaa, Zitto, John Mnyika, mnashindwa kuwaenzi wazalendo waliopigania uhuru.

Viongozi wa dini wote walikuwepo?

Viongozi wa Dini ya KirastaFari walikuwepo?

Viongozi wa Dini ya Kiyahudi walikuwepo?

Viongozi wa Dini ya Su-Yang walikuwepo?

Viongozi wa Soka walikuwepo?

Viongozi wa ..... Walikuwepo?

Umeathiriwa na udini sana, halafu ajabu sana unalaumu kuwa "wazee wako" hawaenziwi na serikali huku wewe ni mfia ccm hiyo hiyo ya Julius Nyerere unaemdhihaki kila uchao!


Nikufunde ndugu,

Chama cha siasa misiba sio nembo ya siasa zake!

Mwenye nyota ya misiba ni mwenyekiti wa chama chako ccm tu katika nchi hii!
 
Last edited by a moderator:

Siku hizi hakuna mafundisho ya uzalendo, amesahau kwamba wakati Tanganyika inapata uhuru wale wote waliozaliwa Tanganyika kabla ya uhuru hata kama wazazi wao ni wa nje walikuwa ni raia halali wa Tanganyika mpya na ndio maana tuna Watanzania wenye asili ya asia ambao tunawaita wahindi (mbona hawa hawashangai)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…