Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Hapo ilikuwa 2006 ndio nikaingia kilingeni rasmi sasa
Imagine sebuleni nilikuwa na mziki wa 1.2 LG na kwenye gari nilifunga Panasonic ya laki 8 pamoja na subwoofer
Haha LG hiyo sikuletewa ofisini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mazabe.com

Hukuvipata kweli au ulipotezea

Ova
 
Raia wana hasira
Maisha yamebafilika
Mambo ya ubabe utamfanyia nani

Nilishawahi kumuonya yule bondia T.M
Tabia zake za utemi,ubabe usiyokuwa na maana

Ova
mtaani kwetu mwaka jana mwishoni kuna tabia za panya road kuvamia mida ya saa moja jioni giza inapoanza ,ubaya wanatoka huko wanakuja segerea hasa huku bonyokwa ,raia wakaona huu useng*e wakajipanga kwamba wakiingia anga tu ni vita,si wakajichanganya ,kwanza chocho zote ziliwahi wasikimbie ...kuanzia mwaka jana Hadi leo hawajarudi ,wakati kila week matukio mawili,Sasa hivi wananchi wana stress
 
Raia wakiamua lao hatoki mtu

Ova
 
Haha LG hiyo sikuletewa ofisini [emoji23][emoji23][emoji23]
Mazabe.com

Hukuvipata kweli au ulipotezea

Ova
[emoji3][emoji3][emoji3] yani ni story ndefu kidogo kwakweli ila bima walinilipa kila kitu.. Cha ajabu nikaja kuuziwa vifaa vyangu vya gari baada ya miezi miwili
Radio nilikuja kuikuta Picha ya ndege 2016 inauzwa laki 2[emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] yani ni story ndefu kidogo kwakweli ila bima walinilipa kila kitu.. Cha ajabu nikaja kuuziwa vifaa vyangu vya gari baada ya miezi miwili
Radio nilikuja kuikuta Picha ya ndege 2016 inauzwa laki 2[emoji23]
Wezi wanatia hasira

Ova
 
Kweli unapafahamu Kati ya hai Nani alipanda juu ya mabati kabla ya kupata usafiri was kwenda kwa baba juu mbinguni? Ili niwe na uhakika unapafahamu.
 
Marehemu John `Ngogo alikuwa na kitu chake kicheche mitaa ile,nadhani wale wa zamani wanamjua John Ngogo alikuwa nani jiji hili la Darisalaama, ile udongo huu unatufunika kwelikweli.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] yani ni story ndefu kidogo kwakweli ila bima walinilipa kila kitu.. Cha ajabu nikaja kuuziwa vifaa vyangu vya gari baada ya miezi miwili
Radio nilikuja kuikuta Picha ya ndege 2016 inauzwa laki 2[emoji23]
Acha basi masihara Mshana. Yani imeibiwa Mwananyamala 2006 ukaja kuikuta inauzwa Picha ya Ndege 2016? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
karume 2000, kagera niliishi nyuma ya msikiti wa pale barabarani
Ok kama uliishi nyuma ya msikiti kwa miaka hiyo bila shaka utakuwa unafahamu mtiti wa lile tawi maarufu la cuf ukanda wa gaza na utakuwa unawajua pia wale wezi maarufu wa mifukoni wa kuitwa wakali wa danta
 
Nilishawahi kumuonya yule bondia T.M
Tabia zake za utemi,ubabe usiyokuwa na maana
Bila shaka huyu ni thomas mashali, alikuwa anakuja mtaani kwetu kagera anatoka kwao tandale anakuja kuleta utemi usiokuwa na mpango wowote, tulikuwa tunamshtakia mzozo,, kwenye kwenye kamali akiliwa tu anaanzisha gwamvu,,, ila mzozo akiwepo anaufyata mkia.. miaka inasonga tumekuwa watu wazima sasa dah
 
Duh ila wewe jamaa kila uhuni wa dar unaujua na viunga vyake
Au nawewe ulikuwa ndy babalao
 
E.mzozo alikuwa mtata
Ah kweli mashali alikuwa
Na ushamba,utemi wa kijinga

Ova
 
Acha basi masihara Mshana. Yani imeibiwa Mwananyamala 2006 ukaja kuikuta inauzwa Picha ya Ndege 2016? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah ilikuwa na alama na niliikuta by chance kwa fundi radio ikiwa imechoka mno na spika ni moja.. Ni zile LG za 3 pieces, kipisi cha juu upande wa kushoto kiliwahi kumwagikiwa kidogo na ule wino wa mihuri, hiyo ndio ilikuwa alama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…