Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

Kingi Somo aliwai Siku mmoja mkaba Mwanajeshi na Magwanda yake mchana mida ya saa sita sita!! ila Police walimalizana nae .Pale Firstinn mpaka kwa Binti Kahenga CCM palikuwa ni moto wa Kuotea Mbali.Ila kwa sasa pako powa sana
Bad face
 
Hahaha[emoji23] .... Du wavimba macho walimfilimba?
 
Kingi Somo aliwai Siku mmoja mkaba Mwanajeshi na Magwanda yake mchana mida ya saa sita sita!! ila Police walimalizana nae .Pale Firstinn mpaka kwa Binti Kahenga CCM palikuwa ni moto wa Kuotea Mbali.Ila kwa sasa pako powa sana
Kaka unawakumbuka Jerusalem? Maskani yao karibu na kwa mzee Paul muuza mishkaki? Japo sisi tulikuwa wadogo miaka ile ya 90 lkn tulikuwa tunasikia habari zao
 
Kaka unawakumbuka Jerusalem? Maskani yao karibu na kwa mzee Paul muuza mishkaki? Japo sisi tulikuwa wadogo miaka ile ya 90 lkn tulikuwa tunasikia habari zao
Ya nawakumbuka sana! Police walimalizana nao Kwa kuvamia Nyumba moja baada ya nyingine na wajumbe wa Nyumba Kumi Kumi na kuwakamata wakiwa wamelala baada ya hapo Ndo amani ikaanza kupatikana pale firstinn na maeneo ya Jirani.
Enzi zile Juwata Jazz au Msondo Ngoma walikuwa wanapiga Amana Social club,watu waliokuwa wanarudi toka mziki walikuwa wanawakaba na pengine ata mademu zao kuwaachia hawa jamaa.
 
Umenikumbusha FRIDAY , CHRIS TURKER & ICE CUBE 1995
 
Upo vizuri kwa kumbukizi mzee
 
Upo vizuri kwa kumbukizi mzee



kaka ndo tulikozaliwa na kukulia huko kuanzia kino mkwajuni a.k.a kino moscow vuka barabara pita kuzungukia vijana shuka na mwananyamala. had uibukie mwananyamala shule urud kino bwawan ya chini nnyooaha had hadi kwa mzee kikwete kwa kaka yake pale kino

uvuke biafra ukatize kama unaenda ada estate ila kula chocho nyuma ya biafra sec ibukia kino shamba uje hadi nyuma ya open university pita juu kwa juu tokea shule ya muslim vuka ingia soko la tx pita kanisa katoliki tokezea baa ya Chez Temba a.k.a shetembaa ilipozaliwa ngwasuma band ya kina mkweji a.k.a Jose (Hozee) mara enz hizo ndo wanafanyia mazoez pale Mara rud kati ibukia lang'ata kino makaburi njoo american chips vuka pita kati uibukie kino mahakamani /shule bwanan pale vuka njoo kanisa la waluteri nyoosha urudi sogodo

ndo mitaa ya kujidai enzi hizo
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, mimi nimekulia Kinondoni Shamba...
 
Ok kama uliishi nyuma ya msikiti kwa miaka hiyo bila shaka utakuwa unafahamu mtiti wa lile tawi maarufu la cuf ukanda wa gaza na utakuwa unawajua pia wale wezi maarufu wa mifukoni wa kuitwa wakali wa danta
wote wanafahamu jomba, daah cuf ukanda wa gaza walikuwa tishio, dah umenikumbusha mbali sana
 
mz
Heri mzozo tumeenda nae sana safari za ndege beach, alitusaidia sana wajinga wajinga wasituletee undewa
 
Ndio mitaa yangu hiyo, bata letu la kigumu kichizi. Binti wa darasa la nne anakunywa dabokiki 6 kavu na ana mabwana wanne, wote wanajuana
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, mimi nimekulia Kinondoni Shamba...
Kino shamba nlikuwa na wana wengi
Wakina Bob samba Kwak kulikuwa na gym,alikwepugi chamsela marehemu,
Pale Muslim kulikuwa na skani kubwa ya msebenze...
Kweli maisha yameenda kasi sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…