Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Wakenya wao wanatamba wanajua kiingereza. hivyo hata kama wanalala njaa au hawana makazi lakini wanaongea kiingereza kama mzungu wa London basi iko poa tu hawana shida
 
Bongo pia yapo maeneo ya hivyo ila kwa sasa wengi wamewaandikisha TASAF na kuwajengea nyumba za kisasa hio ndio imekua ponapona yao bila hivyo msingekua mnaicheka Kibera wakati kwenu pia ndio hivyo hivyo
You might be right but not tru,
Try to see those Kenyans are being visited by Fan Wanyonyi, ndio utapata uhalisia wa Kenya
 
mkuu angalia usipigwe humu, hela ya tasaf ijenge!?,yani unamaanisha laki 1,elfu 80,wengine mpaka elfu 50 ndo zijenge.watoaji wenyewe wanachowasisitiza wapokeaji ni kwamba wanunue mifugo ...
Nimesema wanajengewa elewa Kiswahili
 
Km kitu haujui kaa kimya nyumba wanajengewa au mpaka tukupigie picha za nyumba zilizojengwa na TASAF tena zina machata km nyumba za NHC, unataka picha tukupe? Watu km nyinyi ndio mnapigwa mjini mnaitwa Wahadzabe wakaa maporini
 
weka ushahidi ili kumaliza utata
 
Wakenya wao wanatamba wanajua kiingereza. hivyo hata kama wanalala njaa au hawana makazi lakini wanaongea kiingereza kama mzungu wa London basi iko poa tu hawana shida
Tuwaachie Waingereza kiingereza chao period. Tembea Germany au France nenda na English yako, watakushangaa tu. Hawana taimu, wako kwenye lugha yao
 
Dah 🤔 inasikitisha sana kwa kweli:
Hayo ni maisha duni sana:
Sasa serikali inafanya nini jamani:
Mweh...!
Yaani hata Wahadzabe hawaishi maisha kama hayo:
Wana ardhi huru ya kuishi na kuwinda:
Sera ya Ubepari imewamaskinisha sana wakenya:
Tumshukuru sana Mwalimu Nyerere kwa uamuzi wake wa kuimilikisha ardhi kwa serikali:

Leo mtanzania yeyote ana uwezo wa kumiliki ardhi:
Ndio maana Wakenya walishauri ardhi iwe mali ya jumuiya ya Afrika Mashariki ili waje kuishi Tanzania:

Hivi ni kwanini Nyerere alishindwa kumshauri Kenyata kuhusu umiliki wa ardhi ?
It so sad to kenyans:
 
Mna tabia ya kuwatoa wenzenu kivumbi jichoni wakati mna kijiti jichoni mwenu.
The top 4 richest men in Tanzania
1. Mo Dewji $2.2 Billion
2. Rostam Aziz $900M
3. Bakhresa $400M
3. Ally Edha Awadh $120m

Total $3.62B
= Tsh. 8.6 Trillion
Sasa wewe unahangaika na top 4 Wakenya wanaomiliki Tsh 6.6 Trillion wakati top 4 Watanzania wanamiliki Tsh. 8.6 Trillion na hilo halikusumbui. Alafu to make matters worse, hao Watanzania hamna mwafrika hata mmoja, wote waarabu na Wahindi. Sasa kama 6.6 trillion inazidi 40% ya mali ya Wakenya wote hiyo 8.6 Trillion ya Bongolala tutasemaje? Kumbuka uchumi wa Tanzania ni mdogo kuliko wa Kenya.

Yani mnasumbuliwa na mambo ya Kenya sana hamuoni uozo uliopo hapo hapo kwenu mbele ya macho yenu.
 
Kenya 🇰🇪 niliwaona kama kuna njaa kile kipindi cha corona walivokua wanagaiwa kilo moja ya unga wa sembe ilikuwa vurugu mpaka wengine waliuwana
 
usisahau wachina pia wako njiani kuwamiliki..
 
Km kitu haujui kaa kimya nyumba wanajengewa au mpaka tukupigie picha za nyumba zilizojengwa na TASAF tena zina machata km nyumba za NHC, unataka picha tukupe? Watu km nyinyi ndio mnapigwa mjini mnaitwa Wahadzabe wakaa maporini
Wewe kumbe Punga! maneno mengi akili kisoda weka ushahidi wa hizo nyumba hapa, au walijengewa wazazi wako
 
Wewe kumbe Punga! maneno mengi akili kisoda weka ushahidi wa hizo nyumba hapa, au walijengewa wazazi wako
La mamayako nani punga? Wewe km unafirwa sio kila unaemuona humu JF anafirwa la mamayako halina mavuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…