Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Hapo serikali inaweza kujenga flats zikawachukua hao wakenya kwa wingi na kuacha eneo kubwa zaidi wazi likatumika kwa viwanja na maduka
Alie kuambia Kenya haijengi flats ni nani?.., Kenya sio mwenzenu mleta mada ameandika kishabiki tu., huyo aliambiwa hadithi za vijiweni kuhusu Kibera, ameweka chumvi kibao mno., Kibera ya leo iko na barabara za lami, street lights, Kisha inabomolewa na kujingwa upwa. Kwa sasa Kenya Kuna program inaitwa affordable housing, inatekekezwa Kenya yoote.,

Mukuru slums affordable housing.,



Kibera yenyewe ndio hiyo kwa sasa

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=aNck89lSYna1ZkqQ
Kenya sio mwenzenu, pia mjifunze kufanya uchunguzi ama utafiti kabla ya kukurupuka
 
Cc Nicxie nairobae NairobiWalker Don YF Rhaenyra Targaryen Reborn Ktb mwaiofhawaii kennedy0000 kujeni msikie watanzania waliofika Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Unatamani porojo ya kilaza mwenzako iwe ni ukweli, jamaa kaandika kwa uchungu, kishabiki tu na wivu., yaani anatafuta kuponda Kenya ila Kenya sio mwenzenu., poleni mafukara wa South, siku moja mtapata nafuu na nyie🤣🤣🤣.,

Kibera ndio hiyo 2025, progress ya mabadiliko.,

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=aNck89lSYna1ZkqQ
Mukuru Slums pia., kwa mpigo



Kisumu pia, affordable housing kwa mpigo



Eldoret pia


Tafuta Thika ujionee, Juja, Nakuru ndio usiseme., Mombasa ndio itakua mambo yote..,

Kenya sio Tanzania nyie mtaishi kwa uswazi miaka mingi sana hapa👇👇 hamtoki Karne hii.., liboya linajiliwaza na halijui what's happening kwa ground 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,




 

Umeandika kishabiki sana🤣🤣🤣., yaani unajaribu kupotosha vilaza wenzako na hadithi za vijiweni kwa kuongeza porojo eti?.., mbona uko na hasira ni Kenya sio Tanzania., utazoea Kenya inasonga mbele nyie mkikomaa kwa uswazi miaka yote🤣🤣

Kibera yenyewe 2025

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=aNck89lSYna1ZkqQ
Nenda ukakaririe wenzako vijiweni ukweli.., ama hauna bando ya kutazama YouTube clip? Najua wengi wenyu ni fukara sana!..,
Kibera ya leo iko na barabara za lami, taa za streets, maji na vyoo(public toilets) za ku flush sio za shimo kama uswazini Dar, yaani umeandika hali ya uswazi ,zenu ikija vyoo🤣🤣🤣🤣

Hapa mtaishi sana kilaza msipo badili fikra zenu, muache wivu, uongo na propaganda mtakomaa kwa ufukara hadi kifo🤣

Yaani ukubwa wa Dar ni uswazi kila eneo., mafukara ndio wengi mjini!!

 
Wakenya wao wanatamba wanajua kiingereza. hivyo hata kama wanalala njaa au hawana makazi lakini wanaongea kiingereza kama mzungu wa London basi iko poa tu hawana shida

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=aNck89lSYna1ZkqQ
Mtanyooka tu, mtu kaandika porojo ila Mitanzania kushirikisha ubongo kwa hoja ni zero., fanya utafiti ujionee Wacha hawa wenzako wa kuponda ameandika kishabiki tu., ujionee mwenyewe.,
 
Hatari dana
 
Kenya is another league yani, japo mi mndengereko tusijidanganye, Dar nzima ni Kibera ya zamani, period, mvua ndogo tu ikinyesha mafuriko ya majimavi hadi ikulu yani!

Mtoa mada anaongelea kijieneo, Dar majority specifically Manzese, Vingunguti, Buguruni, Keko, Mbagala, etc ni kibera tupu na hamna mwanasisiemu anajali sio kesho wala mwakani kuna plan yoyote, who cares, chadema inatukeep busy maskini wajihangaikie wenyewe hatuna habareee...

....tunanunua viwanja Arusha kwa malaki ya dola na dola yenyewe ni Sh 2800 sasa hivi!
 
Wakenya wao wanatamba wanajua kiingereza. hivyo hata kama wanalala njaa au hawana makazi lakini wanaongea kiingereza kama mzungu wa London basi iko poa tu hawana shida
Hakuna mkenya yeyote anayetamba kuwa anajua kiingereza.
Hicho kiingereza ni lugha ya kawaida Tu kwa wakenya wengi kama jinsi Kiswahili kilivyo huko kwenu Tz
 
Ninakubaliana na wewe.
Just imagine, viongozi wa kisiasa badala ya kutuliza akili na kuona jinsi gani ya kuboresha maisha ya wananchi, wao wameshaanza kampeni za uchaguzi wa 2027.
Na bado kazi inaendelea nyie hamuna kelele na uswazi zinazidi kutapakaa kila eneo.,

Kibera yenyewe
Your browser is not able to display this video.

Kibera

Mukuru slums new housing


Kisumu



Eldoret


Kenya sio mwenzenu kaka., nimekupa tu kionjo
 
Stuxnet wewe kama mleta mada utakua haujui lolote kuhusu Kenya ya leo hii, unakaririwa tu ama uko na picha ya miaka tano nyuma., Wacha nikujibu kwa facts

Kibera ya leo imefanyiwa mabadiliko mengi mno., barabara ni za lami, maji iko public toilets ziko , na pia inafanyiwa massive transformation., yaani apartments kubwa zinajengwa kwa mpigo, sehemu ndogo itabeba watu wengi sana kumaanisha kutakua na nafasi kubwa ya kiwanja itabaki kwa matumizi mengine. Wewe umesukumwa na hisia za wivu na chuki hauja angazia uhalisia wa hali ilivyo sasa, umeandika kishabiki, hadithi za vijiweni hizi🤣

Swali kwako pale Dar ambapo uswazi ndio makazi rasmi ya raia zaidi ya 70%, je, serikali yenu inabomoa na kujenga nyumba za wastani?., yaani standard housing? Nijibu kwa kuweka facts

Ujenzi wa affordable housing unaoendelea Kibera sasa hivi.,









Kisha YouTube video ndio inakuonyesha picha halisi kwa ground.., uone nyumba zenye watu wengi wanaishi, kando na zile za mabati na matope., 2025 sio miaka Tano nyuma.,

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=aNck89lSYna1ZkqQ
je serikali ya Tanzania inafanya nini kuondoa hii aibu?👇👇👇, usijibu kishabiki, Dar naijua yoote, Kuna mikakati imewekwa kubomoa haya na kujenga kama vile serikali ya Kenya inavyofanya?


Mukuru slums wanabomoa na kujenga upya kwa mpigo



 
Umaskini upo Tanzania lakini siyo kwa kiwango cha Kenya.

Wewe iulize Google ikupe "Top 5 largest slums in the world" , utaikuta Kibera ya Kenya ni namba 2.

Tanzania haina slums za sampuli ya Kibera
Halafu wanakuja Tanzania mawakili wao kufuatilia kesi za Tanzania.Wakati kwao kumeoza.
 
Halafu wanakuja Tanzania mawakili wao kufuatilia kesi za Tanzania.Wakati kwao kumeoza.
Mwenzako ameandika kishabiki kasukumwa na hisia za chuki na wivu, ameongeza porojo🤣
Kwenu ndio kumeoza..,, mawakili wa Kenya na koti za Kenya zinajielewa., itabidii mmenyooka muwache kuimba mapambio za mama, na uswazi zinazidi kutapakaa, ufukara ndio wimbo!

Ruto anaondoa Kibera slums, ila wakenya hawamtaki kwa vile ako na mapungufu kadhaa.,

Ujenzi wa Kibera






Mukuru slums upgrading




Kisumu affordable housing



 
Lol mbona umepiga off-point?? Hayo ni makazi mapya yanajengwa na bado watu hawajaingia.

Kwa sasa huko bado wanaishi kwenye haya maboksi:-

Na usijidanganye kwamba hizo projects zitaweza kuhifadhi hao 2 Million slum dwellers
 
Hata Dar es Salaam projects kama hizi zipo nyingi tu Magomeni Quatrers, Kawe na mikoani. Usidhani kama zipo Kenya tu
 
Kenya bado ipo kwenye top 10 countries zenye watu wanaishi kwenye makazi ya hovyo (slums) ikiwa na watu 10 Million. Orodha ya mwaka 2025 kutoka Business Insider hii hapa:-
 
Wacha mbwembwe zako, nyie bado mmaishi maisha duni sana kwenye mabanda. Angalia hii link pia utaikuta Kenya kwenye top 10-:


View: https://www.tiktok.com/@afritv/video/7268441510931074309
 
Katika Wakenya 57 Millioni, kuna 10 Millioni wanaishi kwenye mabanda kama ya kufugia mifugo. Ni kweli Kenya siyo wenzetu kwa vile hakuna Mtanzania anaishi kama ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…