Ijue Kibera- Nairobi, Kenya:- Moja ya makazi duni ya mabanda (slums) makubwa 10 katika dunia

Tatizo kibera kuna umaskini wa kuzaliwa, hata uwajengee nyumba mpya wote baada ya miezi michache panageuka pipeline tena mara 100 ya pipeline. Fuatilia sehemu ya makazi inaitwa pipeline kule Kenya alafu urudi hapa.
Yaani unaandika uongo pipeline yenyewe hauijui, uliona picha wakati ilikua na tatizo ya barabara mvua ikinyesha inakua na matope na uchafu. Nyumba zenyewe ni self contained sio kama uswazi zenu 🤣🤣🤣🤣🤣., utakufa wewe




 
Siku mkiacha haya matakwimu uchwara ya mitandoni, ndio mtapata akili
 
Huu siyo uzi wa siasa za CCM na CHADEMA
 
Huko ni pabaya brathe nilikuwa south B juzi juzi kuna difference kubwa sana ya mwenye nacho na asiyenacho kenya.
 
Mkuu kuna mahali kama mathare hapa TZ? tuambie ni wapi.
Mathare ni sehemu ndogo sana, na ni mchanganyiko, pia apartments zimejaa kibao, tazama google earth, Wacha porojo, sio kama Tanzania uswazi imetapakaa approximately 80% ya jiji ama zaidi, mko hovyo wacha kutetea ufukara, nielezee ni nini viongozi wenu wanafanya kuwakomboa kutokana na maisha duni? Kenya wanafanya yao, Tanzania je??.,
 
Unaweza kuta wanaotukana kuwa watatufukuza huko kwao wanatoka huku 😂 😂 😂
Ni kweli kabisa. Wakenya wenye fedha zote za nchi ni wachache, wengi ni choka mbaya na ndiyo maana wana makasiriko full time kama mama yao Martha Karua
 
Hao wa Mukuru Kwa Njenga waliopata leo ni wangapi? Kumbuka Kenya ina wananchi 10 Million wanaoishi kwenye makazi holela
 
Kitu kinaitwa GDP per capita kinachukua pato lote la nchi na kugawanya kwa watu wote. Yaani pesa za matajiri kama Kenyatta, Raila, Ruto, Shah, Chandaria na za mapimbi kama Don YF na wakenya wengine zina jumulishwa pamoja kisha wanagawanya kwa Kenyan population ambayo ni 57 Million.

Essentially hiyo metric ni arbitrary kwa vile mkazi wa sweken ya Mathare anachukuliwa sawa na mkazi wa Karen.

Lakini basically 70% ya Wakenya wanaishi maisha below poverty line
 
Hizo ulizoweka hapa siyo slums hata kidogo bali ni unplanned settlements. Ziko passable by 60% na huduma za jamii kama maji na umeme vipo
Endeleeni kujiliwaza, eti sio slums, sawa basi, hehehehe
 
Weka humu kilaza, usiogope, Sina haraka🤣🤣🤣🤣 lipumbavu🤣🤣🤣🤣
Google them; NHC housing projects utazikuta, sina muda wa kukomaza shingo kumpigia mbuzi guitar
 
Data zipo, uongo sana, Tanzania ndio taifa ya mafukara wengi wa kutupwa in EAC., mbona unakurupuka bila dhibitisho? uko timamu kweli?.., andika kama mtu mwenye ako na elimu.., weka facts, show credible data.., mko hovyo sana in East Africa na kulingana na data ya IMF mnaongoza kwa watu wengi wenye wanaishi kwa slums, hilo najua haujui, huwa mnajidanganya kweli, ama serikali yenu ya CCM imewalisha propaganda hadi basi ndio makapuku kama wewe udhani uko na nafuu, mko hovyo, la sivyo omba omba wenu hawangekua Kenya kwa wingi., pole bro, hauna lako, you are merely clutching at straws, usha zama! hhehehe
 
Google them; NHC housing projects utazikuta, sina muda wa kukomaza shingo kumpigia mbuzi guitar
Nazijua zote, najua hauna pumzi, hakuna project Tanzania ya nyumba same magnitude na ya Kenya.., nilikua nakutafuta tu ujifunge, bro tulia, imeisha, ulijiaibisha kubali yaishe kaka hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…