Wana JF leo nimeamua kuanza kuielezea North Korea. Kuna watu wengi sana wanaijua North Korea kwa mambo hasi(Negatives) kutokana na propaganda nyingi sana za watu wa magharibi. Nitaongelea yafuatayo:-
1. North Korea Infrastructure
2. Majengo marefu
3. Michezo na Utamaduni
4. Elimu
5. Kilimo, Uvuvi na Ufugaji
6. Usafiri na Usafirishaji
7. Ulinzi na Usalama
8. Madini na Misitu
9. Utalii
10. Maisha ya watu.
Jengo refu kuliko yote huko korea ya kazikazini linaitwa
Ryugyong Hotel
Urefu: 330.02m
floors: 105
Ni la 12 kwa urefu duniani
Lilikamilika mwaka 2011
View attachment 2704550
Hili jengo ni
jengo la 12 kwa urefu duniani likifuatiwa na jengo la Empire State Building la USA lenye floor: 102.
View attachment 2704558