Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #161
Alikuwa na bahati sana, aliangukia ndani ya mpaka wa Korea Kusini akiwa na risasi za kutosha.Kuna video moja NK soldier anavuka mpaka na kukimbilia SK alikuwa anatupiwa risasi kama njugu ila alisurvive.
SK ina madefectors wengi wa NK kuna documentary nyingi zinaeleza hivyo.
Uongo.Alikuwa na bahati sana, aliangukia ndani ya mpaka wa Korea Kusini akiwa na risasi za kutosha.
Hii mbona nzuri, inakuaje utoke kwenu uje mjini huko kwenu kutajengwa na nani. Watu wabakie katika miji waliozaliwa washiriki katika ujenzi wa miji hiyo, unakimbilia mjini nani apeme maendeleo katika mji wako. N Korea wapo vizuri sana kama hizo ndio sera zao nawakubali.
Mafala kweli hawa watuKuna wakati Television ya taifa ilionyesha mtangazaji wa habari analia kwa furaha kwa sababu mvua imenyesha siku ya kumbukumbu ya birthday ya baba yake Kiduku!
aiseee, hawa watu wako mbali sana!
Nafikiri Kuna sehemu una tatizo kidogo,sio Bure.Huko YouTube tafuta pia
North Korea famine
Escape from North Korea
Camp 14 North Korea
Julian Assange alikimbilia wapi na akarudishwa wapi?North Korea ni nchi mojawapo yenye raia watoroka nchi wengi zaidi duniani "defectors"
Wengi wao hukimbilia zaidi Korea Kusini kwa sababu nchi majirani za Urusi na China ni marafiki wa Kiduku hivyo ukikimbilia huko unarudishwa kunyongwa North Korea.
Kwa kifupi Hawa watu Wana akili sana.aiseee, hawa watu wako mbali sana!
Hawa watu Wana akili sana .ama mtu anapenda habari hii ama hapendi.Sungri Motor Complex (Tokchon) | factory, industrial area, car assembly factory
Korea (North) / Pyongannamdo / Tokchon
View attachment 2705984
View attachment 2705985
View attachment 2705986
View attachment 2705988
View attachment 2705992
View attachment 2705998
View attachment 2705999